Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Alafu anawivu balaa🤣🤣🤣🤣Yani Kila nikiongea anawaza mbususu yangu tu
Sasa mwanaume akiwa na mwanamke mnataka awaze nini kama sio mbususu🤣🤣🤣
Acha uchoyo wee mpee hiyo tamuu. Sii wote wawili mnapata raha.
 
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hivi na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na ex wake na mwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizuri zaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivyo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapenda sana yeye familia yake na hata mtoto wake na nilikuwa nawaona kama ndugu zangu kabisa lakini baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakini atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu

Ndugu zake Bado wananitafuta mara hivi mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakati. Mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habari zao kabisa.
Wakati anafanya maamuzi ya kurudiana na ex wake aliconsider hisia zako? Aliconsider heshima yako kwake na nduguze?

Maamuzi uliyochukua ndiyo heshima yako. Usiutupe moyo wako kwa mtu anayekuona ni mkweche. Sana sana atakufanya ujute zaidi
 
Kumbe mkono wa birika halafu unataka uolewe 😂😂😂 endelea kuswampa tu! Sikuhizi watu wanaangalia na investment zimekaaje sawa tu na nyie mnavyolengaga.
Mimi siwez kuswampa aisee Yani kama ndoa yeye ndo alikuwa ananichelewesha na ujinga wangu mwenyew kujifanya navumilia visivovumilika ofcourse siwez muhonga mpenzi kabisa maybe kumsaidia vitu vya kawaida sio et laki 5 laki 6 labda Kwa mumewangu otherwise siwez
 
Wakati anafanya maamuzi ya kurudiana na ex wake aliconsider hisia zako? Aliconsider heshima yako kwake na nduguze?

Maamuzi uliyochukua ndiyo heshima yako. Usiutupe moyo wako kwa mtu anayekuona ni mkweche. Sana sana atakufanya ujute zaidi
Kabisa sahiz Niko cool moyowangu umetulia sana na nafikiri mapenz in positive way sidhani kama nitakosa kupendwa na kuwa na furaha
 
Unaonyesha ukitafutwa na ndugu au jamaa unajibu msg na kupokea (UNAKOSEA HAPO)

mimi na udomo zege wangu huu siwezi tongoza mwanamke anikatae halafu awe anajibu

ukiwa unajibu msg zangu au kupokea simu zangu (kwisha habari yako) hata uwe kisiki ya

mpingo nitakukula tu, mwanamke ninae muogopa chini ya JUA ni mwanamke BUBU,piga simu

hapokei,tuma msg hajibu,unakutana nalo barabarani au popote unalisalimia KIMYA,unaliongelesha KIMYA yani nawaitaga MAROBOTI.

Mimi naamini wanawake maroboti hutusua sana wakiamua yao,hebu na wewe geuka roboti akikutext mute,ulikosea ulipo mu unblock,wewe kila namba alokua anatumia kazi yako ni kublock

kwani simu ina limit ya watu wakublock? block namba zote zenye connection nao,akipga ukigundua yeye KATA then BULOKU.

yakikushinda hayo yote (ya kuwa roboti) seems una vichembe vya upendo juu yake so NEXT step ujue ni nini?

Tafuta mpenzi, (unipate mimi lakini) mashtaka yao yalete kwangu,wakipiga simu napokea mimi wanaskia nakoroma,akipga usiku unanipa tu simu naongea nae nampa za USO halafu ajibu pumba TUTAFUTANE VIZURI.

Ninavyopenda ugomvi uliomshinda mpenzi wangu,yani lazima nimuonyeshe baby mimi ndio kidume Huyo kenge mbona nikianza mtafuta tukikutana Hatorudia tena Atajua hapa nishamkosa Sophy maana Tutamalizana ki panya road zaidi sio ki otsterbay central,No way.

Option n hizo mbili tu,Zikigonga mwamba au zote kama unaona ni ngumu, HEBU mrudie mwenzako ukawe hata mke wa pili yaishe.
 
Wala usihangaike kumblock Wala Nini, akikupigia simu kausha,akituma message kausha...atajiongeza mwenyewe
 
Mwaka mmoja tu tulikuwa karibu miwil tumeishi mbali sema tu unawivu🤣🤣🤣🤣
Dada yangu hapa ndio ulipokosea. Yaaani miaka miwili upo mbali na mtu alafu bado unamuwekea matumaini? Angekuwa ni mumeo wa ndoa kisha mna miaka walau 10 ya ndoa hapo sawa ila kwa vijana wa kwenye uchumba ni ngumu sana.
 
Inawezekana mbona lkn Imani ndo inatakiwa kunachangamoto nyingi kwenye maisha
 
Inawezekana mbona lkn Imani ndo inatakiwa kunachangamoto nyingi kwenye maisha
Nimefurahi sana kujua kuwa unatambua maisha yana changamoto nyingi. Hiyo ni hatua nzuri sana kwako katika kuipata future iliyo njema zaidi. Ninakutakia kila la kheri huko mbeleni.
 
Nimefurahi sana kujua kuwa unatambua maisha yana changamoto nyingi. Hiyo ni hatua nzuri sana kwako katika kuipata future iliyo njema zaidi. Ninakutakia kila la kheri huko mbeleni.
Amiin inshallah🙏
 
Dada yangu hapa ndio ulipokosea. Yaaani miaka miwili upo mbali na mtu alafu bado unamuwekea matumaini? Angekuwa ni mumeo wa ndoa kisha mna miaka walau 10 ya ndoa hapo sawa ila kwa vijana wa kwenye uchumba ni ngumu sana.
Alikuwa bado na yale mapenzi ya kifilipino...hakujua kuwa mwanaume anahitaji doze ya mbususu mara nne kwa wiki🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom