USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

1. Anamiliki phamacy na jina la hiyo biashara inasomeka jina la mke wake ikiwa ni pamoja na hati ya hilo eneo
2. Wakati anakopa mdhamini ni mwaajiri wake.
3. Hana mali yeyote anayomiliki kwa jina lake hapa Tanzania. Mali alizonaxo xote zinamajina ya mke wake, watoti wake na ndugu zake
Ni nini hatima ya huo mkopo kama amaecha kazi
X=Ndiyo Nini Umeandika?
 
Process ya kuacha kazi ni pamoja na kukabidhi ofisi na wakati anafanya clearance ndio atakutana na deni lake, dhamana muhimu ni leseni ya Udaktari wakirevoke inakula kwake
 
kwani waswahili si walisema "deni halimfungi mtu"
 
Dawa ya deni ni kulipa. Wewe ni professional una operate kwa kuwa registered na pharmacies zote zinakuwa registered hivyo ni rahisi wewe kuwa traced. Endelea na kazi huku ukilipa deni na kusimamia biashara zako alternatively muone mkopeshaji yeye atakuja kutathmini miradi yako akiridhika anaweza kuandika mkataba mpya kuwa utalipa kutoka kwenye mradi wako. Ikiwa hivyo basi una acha kazi. All the best.
 
Vijana mnapenda short cut sana yanini uchukue pesa za watu halafu hutaki kulipa(unataka kuacha kazi)?
Bora ungeenda Mombasa ungepewa pesa zaidi ya hizo bure kabisa na ungekuwa huru bila deni.
Tafadhali subiri umalize deni ndio uende unakotaka.
Acha haraka kwenye maisha.
 
Mombasa qmmk
 
Usiache kazi lipa deni la watu ndio uache.
 
Wewe ni genius.
Ushauri: Anza kuwa mtoromtoro, wiki hii unaenda wiki nyingine unatulia na mishe zako.
Mwisho wa siku utafukuzwa kazi na mafao yako utalipwa.
Njia nyingine: Omba ruhusa ya miaka 3 isiyo na malipo.
Hutalipwa mshahara. Then ukiona biashara imechanganya fungua dispensary hapo ndo uache kazi kwa mbinu nambari 1 hapo juu
 
Mimi niongezee swali , una mkopo Benki lakini unataka kutimkia Nje ya Nchi kuna njia yeyote ya kuku trace ukitaka kusepa abroad?
 
Sasa wewe wakati unapanga huu mpango wa kpata ajiri huku ukijua unataka kuchumpa hukulifanyia utafiti hili u alotuuliza sie hapa
mzabzab Jana ulinifurahisha sana kwenye ile thread 😅😅😅😅😅😅😅

Long live asee
 
USHAURI.

MIKOPO YA SERIKAL MZAMINI NI MWAJILI PIA INAKUWA NA BIMA.

IKITOKEA UMEKUFA,UMEFUKUZWA KAZI NA MENGINE BIMA NDIYO INAHUSIKA.

NINA MIFANO YA WATU WALIOKOPA WAKAACHA KAZI SIKUONA WAKIFATILIWA KULIPA PESA HIZO.

Mfano, watu wa Vyeti Fake waliondoka kimya kimya.

ingawa kuna usumbufu unaweza kujitokeza kama kupigiwa cm na bank ila huwa unaisha.

NB.
Kabla ya kuacha kazi kwa madharau nakushauri OMBA LIKIZO HATA YA MIAKA 2 AU 3 BILA MALIPO.

Ndani ya muda huo utapata picha halisi kuwa maamuzi yako ni sahihi au si sahihi, pia itakupa tathmini halisi ya maendeleo ya biashara hiyo.

Ukiacha kazi kwa DHARAU bila kufuata taratibu HUTAAJIRIWA TENA NA SERIKAL YA TZ hata mambo huko yakigoma basi ujuwe huna msaada tena.

Lakini ukiacha kazi kwa Adabu SERIKAL HAINA ROHO MBAYA cku ukizidiwa unarudi tena unalia lia wanakuajiri.

M 35, Ni nyingi pia ni kidogo, zinaweza kuisha au zinaweza kukutoa HASARA HUWA HAIPANGWI LAKN HUWA INATOKEA NI VYEMA KUWA MAKINI KABLA YA KUFANYA MAAMUZI.

MWISHO.

Tafuta mtu wa Bank muuziwe wazi bila kuonesha kuwa wewe ndiyo mhusika.

Mwambie mdogo wangu ameniomba ushauri yeye ni mfanyakazi amechukua mkopo milion 10 lakini anataka aache kazi,

Nimeona kabla ya kumpa ushauri niambie je mkopo wake itakuwaje.

KILA LA KHERI BWANA MKUBWA.
 
ile natafuta mume.

ukajibu eti mambo unaeza dojistaili? au wewe hupendi? 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hahaha wewe bwana unajua wengine wamesema hawataki kuchunguliwa chura zao wakati mie napenda doggy maana napata mwanya wa kifyonza kinyeo....kale kaharufu kananipa stimu
 
Habari za asubuhi?

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara.

Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali haiwezi kunitafuta kunipeleka mahakamani ili nilipe deni lao?

Je, hata wakinipeleka mahakamani wakitaka nilipe deni nitalipa vipi wakati kazi sina?

Au watanifungulia kesi ya uhujumu uchumi?

Naombeni ushauri katika hili?

NB: Lengo la kupata ajira serikalini ili nipate mkopo na kufungua miradi yangu kwa haraka na si kufanya kazi na serikali
Unawaza kukimbia mkopo ambao mdhamini ni serikali? Hama nchi kabisa maana umesajiliwa nida hata wazazi wako watakamatwa ili wewe upatikane.
 
Habari za asubuhi?

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara.

Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali haiwezi kunitafuta kunipeleka mahakamani ili nilipe deni lao?

Je, hata wakinipeleka mahakamani wakitaka nilipe deni nitalipa vipi wakati kazi sina?

Au watanifungulia kesi ya uhujumu uchumi?

Naombeni ushauri katika hili?

NB: Lengo la kupata ajira serikalini ili nipate mkopo na kufungua miradi yangu kwa haraka na si kufanya kazi na serikali
tutakupa money laundering na economic case,
 
Back
Top Bottom