USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

Pole sana, kama utakuwa na gari basi Platinum Credit tunatoa mkopo kwa dhamana ya kadi ya gari.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0675581811

InShot_20220701_103422753.jpg
 
ingekua enzi za Kikwete ungeacha kazi tena bila taarifa, na hilo deni lingeendelea kukatwa ktk mshahara wako (ungekua huupati)
Ila kwasasa hiv usijaribu kufanya upuuzi wowote utafia jela unajiona, utafilisiwa na utaona maisha machungu... Sasa hivi serikal haijumuwi watch out
Ni heri uvumilie
Muongo wewe
 
Back
Top Bottom