USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

Yaani ukope halafu ukimbie deni!?

Haya umekopa ukafanikiwa, ujanja wa kukimbia deni huna!!

Fanya kazi ulipe deni kijana, acha tamaa.
 
Ukisepa ni kwamba Bima watalipa, mikopo mingi ya benki huwa ipo insured
Bima inafanya kazi kama ikifukuzwa au kufariki. Ila ukiacha kazi unatafutwa kokote ulipo ili ulipe deni lako.
 
Mkopo hua una bima hivyo bima hulipa ila katka situation za kufukuzwa kazi au kifo.
Cha kufanya tengeneza mazingira ya kufukuzwa kazi tu hapo japo kwa hiyo hela 35M ni ndogo sana kukufanya ufukuzwe kazi atleast ingekua double ya hiyo.
Nakushauri vumilia tu mkopo wako uishe kisha uje uvute nyingine ya kutosha ndio usepe ukasimamie mambo yako.
Ila pia nakukumbusha kua kufukuzwa kazi kunaweza kukupelekea pia kufungiwa leseni yako so be very carefully on that, if u wish to continue practicing as medical doctor.
 
Nimesoma comments hadi hapa naona wengi wanashauri kulipa mkopo, swali moja tu nimejiuliza….. ni lini wabongo mmekuwa malaika namna hii?
Tatizo mhusika anataka kuendelea kuitumia taaluma yake ambayo serikali bado ndio humpa leseni annually sasa akijifanya mjanja wanaweza kumfungia pia na leseni yako akabaki na vyeti tu.
Hela yenyewe ndogo inalipika 35M
 
Habari za asubuhi?

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara.

Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali haiwezi kunitafuta kunipeleka mahakamani ili nilipe deni lao?

Je, hata wakinipeleka mahakamani wakitaka nilipe deni nitalipa vipi wakati kazi sina?

Au watanifungulia kesi ya uhujumu uchumi?

Naombeni ushauri katika hili?

NB: Lengo la kupata ajira serikalini ili nipate mkopo na kufungua miradi yangu kwa haraka na si kufanya kazi na serikali

Hakuna haja ya kujiingiza kwenye mizengwe:

1: Endelea kufanya kazi huku miradi yako ikiimarika na deni lako kupungua.

2: Kadri utakavyopata kuimarika kwa miradi na deni kupungua, unaweza kulipa deni kwa mkupuo mmoja na kuendelea kivyako.

3: Unaweza kufanya mizengwe leo kesho ukahitaji kazi au mkopo wa kujiendeleza zaidi, ukajikuta umejifungia wewe mwenyewe.

4: Kumbuka vyeti vyako vyote viko registered pamoja na usajili wa NIDA NA TRA. Haya yote yanaimarisha utambulisho wako. Usijitie mikosi na kutokujiamini kwenye lolote unaloenda kuliganya kimaisha.

NB: Maisha ni safari na bado ni safari ndefu, milima na mabonde ni sehemu ya hii safari. Uendako inawezekana bado ni mbali kuliko ulikotoka
 
[emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1510998594.jpg
 
Habari za asubuhi?

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara.

Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali haiwezi kunitafuta kunipeleka mahakamani ili nilipe deni lao?

Je, hata wakinipeleka mahakamani wakitaka nilipe deni nitalipa vipi wakati kazi sina?

Au watanifungulia kesi ya uhujumu uchumi?

Naombeni ushauri katika hili?

NB: Lengo la kupata ajira serikalini ili nipate mkopo na kufungua miradi yangu kwa haraka na si kufanya kazi na serikali
Hata mimi nimekopa, ila subiri deni liishe then acha kazi ili uwe safe
 
Habari za asubuhi?

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara.

Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali haiwezi kunitafuta kunipeleka mahakamani ili nilipe deni lao?

Je, hata wakinipeleka mahakamani wakitaka nilipe deni nitalipa vipi wakati kazi sina?

Au watanifungulia kesi ya uhujumu uchumi?

Naombeni ushauri katika hili?

NB: Lengo la kupata ajira serikalini ili nipate mkopo na kufungua miradi yangu kwa haraka na si kufanya kazi na serikali
Benki Zina bima kwenye mikopo yao... Mtu akifa, akifukuzwa kazi wao hawana Cha kudai zaidi wanapatiwa fedha zao na watu wa insurance Company na wewe wanakukaushia.

Ila ukiacha kazi mwenyewe hapo ndio unatakiwa ulipe mkopo sababu wewe ndio umesitisha mkataba ila wakikufukuza wao Ina maana unakuwa hauna Tena responsibility ya kulipa mkopo wao isipokuwa wao wanapeleka file lako kwa watu wa insurance them wanalipwa.

Sasa basi kuwa mtoro kazini au fanya kosa lolote ambalo utafukuzwa tu kazini na wao example kuwa mtoro kazini... Wakulime barua ya utoro na kufukuzwa kazi... Kachukue barua yako hayupo wa kukudai mkopo isipokuwa Kuna watu watakupiga mkwara tu lakini Kimsingi hawakugusi kwa lolote.

Daktari afu unajishauri kuacha kazi, temana nao ukishindwa maisha njoo nikuajiri uwe Daktari wangu binafsi.

Au unasemaje?
 
Nashauri umalize deni kwanza mkuu, then omba likizo ya bila malipo. Kafanye yako ukiona yanaenda unaondoka mazima, yakiwa magumu unarudi kujipanga upya
 
Nenda benki ukaongee nao, na mtakubaliana, utakuwa unalipa wewe marejesho kila mwezi. Hakuna kesi, kaingie mkataba mpya na benki
 
noma na nusu yani mil 35 ndo unaacha kazi kabisa mzee..
 
Hakuna kesi Wala Nini? Mm nilishawai kuacha kazi nikiwa nimekopa instantly na Wala hakuna kilichotokea! Au kama vipi usiende kazini kwa siku kadhaa watakufukuza wenyewe
 
Unakopa hutaki kulipa deni
Alaf na ww ukute unataka ufisadi uishe nchi hii 😀😀😀
 
HONGERA kwa uamuzi uliochukua,,,, hakika umeukimbia Umasikini kwa Akili kubwa sana

Mikopo ya namna hio huwa analipa Mdhamini wako,,,,ambaye ni Serikali.... na huchukua Jukumu hilo pale ambapo Serikali imekusimamisha kazi......

so mbinu ya KITAPELI ni kuanza kuchelewa Job,,na FIgisu ambazo zitafanya usimamishwe, au usiende ilimradi usimamishwe then endelea na mishe zako kitaaaa....Note: hakikisha hufanyi Msala wa kwenda Police,,,zingua tu taratibu binafsi za kazi..mf,,kuwahi kazini n.k

But JIFUNZE KUNYAMAZA WAKATI WA KULA,,,,hili lengo lako hata mkeo asijue,,wala Mzazi.,,wala mfanyakazi mwenzako.
Utanishukuru baadae
 
Ushauri mzuri sana huu. Akijaribu tu kuomba ushauri kwa watu wake wa karibu, basi anakuwa ameshaharibu kila kitu. Kwa sababu hakuna kati yao, atakaye muunga mkono.
 
HONGERA kwa uamuzi uliochukua,,,, hakika umeukimbia Umasikini kwa Akili kubwa sana

Mikopo ya namna hio huwa analipa Mdhamini wako,,,,ambaye ni Serikali.... na huchukua Jukumu hilo pale ambapo Serikali imekusimamisha kazi......

so mbinu ya KITAPELI ni kuanza kuchelewa Job,,na FIgisu ambazo zitafanya usimamishwe, au usiende ilimradi usimamishwe then endelea na mishe zako kitaaaa....Note: hakikisha hufanyi Msala wa kwenda Police,,,zingua tu taratibu binafsi za kazi..mf,,kuwahi kazini n.k

But JIFUNZE KUNYAMAZA WAKATI WA KULA,,,,hili lengo lako hata mkeo asijue,,wala Mzazi.,,wala mfanyakazi mwenzako.
Utanishukuru baadae
Ngoja niongeze mkopo mwingine bank ya CRDB Kama mil 50 ili nitembee mazima
 
Back
Top Bottom