Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Bima inafanya kazi kama ikifukuzwa au kufariki. Ila ukiacha kazi unatafutwa kokote ulipo ili ulipe deni lako.Ukisepa ni kwamba Bima watalipa, mikopo mingi ya benki huwa ipo insured
Tatizo mhusika anataka kuendelea kuitumia taaluma yake ambayo serikali bado ndio humpa leseni annually sasa akijifanya mjanja wanaweza kumfungia pia na leseni yako akabaki na vyeti tu.Nimesoma comments hadi hapa naona wengi wanashauri kulipa mkopo, swali moja tu nimejiulizaβ¦.. ni lini wabongo mmekuwa malaika namna hii?
Habari za asubuhi?
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara.
Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali haiwezi kunitafuta kunipeleka mahakamani ili nilipe deni lao?
Je, hata wakinipeleka mahakamani wakitaka nilipe deni nitalipa vipi wakati kazi sina?
Au watanifungulia kesi ya uhujumu uchumi?
Naombeni ushauri katika hili?
NB: Lengo la kupata ajira serikalini ili nipate mkopo na kufungua miradi yangu kwa haraka na si kufanya kazi na serikali
πBima inafanya kazi kama ikifukuzwa au kufariki. Ila ukiacha kazi unatafutwa kokote ulipo ili ulipe deni lako.
Hata mimi nimekopa, ila subiri deni liishe then acha kazi ili uwe safeHabari za asubuhi?
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara.
Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali haiwezi kunitafuta kunipeleka mahakamani ili nilipe deni lao?
Je, hata wakinipeleka mahakamani wakitaka nilipe deni nitalipa vipi wakati kazi sina?
Au watanifungulia kesi ya uhujumu uchumi?
Naombeni ushauri katika hili?
NB: Lengo la kupata ajira serikalini ili nipate mkopo na kufungua miradi yangu kwa haraka na si kufanya kazi na serikali
Benki Zina bima kwenye mikopo yao... Mtu akifa, akifukuzwa kazi wao hawana Cha kudai zaidi wanapatiwa fedha zao na watu wa insurance Company na wewe wanakukaushia.Habari za asubuhi?
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara.
Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali haiwezi kunitafuta kunipeleka mahakamani ili nilipe deni lao?
Je, hata wakinipeleka mahakamani wakitaka nilipe deni nitalipa vipi wakati kazi sina?
Au watanifungulia kesi ya uhujumu uchumi?
Naombeni ushauri katika hili?
NB: Lengo la kupata ajira serikalini ili nipate mkopo na kufungua miradi yangu kwa haraka na si kufanya kazi na serikali
Ushauri mzuri sana huu. Akijaribu tu kuomba ushauri kwa watu wake wa karibu, basi anakuwa ameshaharibu kila kitu. Kwa sababu hakuna kati yao, atakaye muunga mkono.HONGERA kwa uamuzi uliochukua,,,, hakika umeukimbia Umasikini kwa Akili kubwa sana
Mikopo ya namna hio huwa analipa Mdhamini wako,,,,ambaye ni Serikali.... na huchukua Jukumu hilo pale ambapo Serikali imekusimamisha kazi......
so mbinu ya KITAPELI ni kuanza kuchelewa Job,,na FIgisu ambazo zitafanya usimamishwe, au usiende ilimradi usimamishwe then endelea na mishe zako kitaaaa....Note: hakikisha hufanyi Msala wa kwenda Police,,,zingua tu taratibu binafsi za kazi..mf,,kuwahi kazini n.k
But JIFUNZE KUNYAMAZA WAKATI WA KULA,,,,hili lengo lako hata mkeo asijue,,wala Mzazi.,,wala mfanyakazi mwenzako.
Utanishukuru baadae
Ngoja niongeze mkopo mwingine bank ya CRDB Kama mil 50 ili nitembee mazimaHONGERA kwa uamuzi uliochukua,,,, hakika umeukimbia Umasikini kwa Akili kubwa sana