Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

Habari wana jamvi.

Kijana wenu nikiwa na umri wangu wa miaka 33 kamili, nimedhamiria kwa hiyari yangu mwenyewe, bila kushurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote; kuacha kula kabisa vyakula vyenge wanga. Vyakula vyenye wanga kwa wingi ni kama mahindi, mpunga, mihogo, viazi, magimbi, ngano, mtama n.k
Inaaminika kisayansi vyakula hivi vikitumika kwa wingi vinasababisha sana kitambi na unene, kisukari na magonjwa ya moyo.

Juzi Jumatatu, 21.03.22 nikaanza movement yangu bila kuwa na mpango maalum. Asubuhi sikujua ntakula nini...mpaka imefika saa 5 sijala kitu. Sehemu za kula zote zina vitafunwa tulivyovizoea maandazi, chapati, vitumbua, mikate, viazi, mihogo and the likes. Ikafika saa 7 njaa inauma vibaya sana mpaka nikahisi kutetemeka mwili. Nikajisemea cha kufia nini? Nikala zangu dona safi, nyama, maharage na spinach. Baadae nikawa nakunywa tu maji.

Sasa najiona kabisa sina plan na sielewi hii game inachezwaje. Najua humu kuna wazoefu wa haya mambo. Naomba mnisaidie wenzangu msiokula wanga ama heavy meals mnafanyaje? Mnakula nini hasa? Na mliishindaje njaa hizi siku za mwanzo mpaka tumbo lizoee? Maana ile juzi nilihisi mpaka kizungu zungu.
Mimi napenda sana nyama iwe ya kuku, ng'ombe, mbuzi, kuku n.k. Ndio udhaifu wangu mkubwa.

Nipeni ushauri wadau. Hili ndio lengo la uzi.
Asanteni.
Kama haujaoa unaweza kulala hata bila ya kula.
 
Asante sana mdau kwa mchango wako mzuri. Kwa faida ya wengi zaidi naomba ufafanue hii intermittent fasting inakuwaje?
Well ni mfumo wa kula kwa baadhi ya masaa na ku-fast a.k.a kufunga kwa masaa yaliyobaki katika masaa 24. The one ambayo nimeitumia mara kwa mara ni ya 16/8 hrs. Yaani kwa masaa 16 nafunga, alaf masaa 8 nakula. So in essence mlo wangu wa kwanza unaanzia saa sita mchana na wa mwisho unatakiwa uwe by saa mbili usiku. Then after hapo hakuna ninachokula zaidi ya maji na kahawa (bila sukari), pia kahawa sio lazima. Kwenye hayo masaa 8 unaruhusiwa kula chochote (lakini kwa kiasi, sio unafukia kama unaenda kuchinjwa). Hvyo mlo wa kwanza unaeza kua a light meal, japo sio lazima kutegemeana na kipato. Personally hua huo mlo wa kwanza ni lunch. After hapo, jioni kama saa kumi na mbili unaeza pata dinner. After hapo hata ukipata maziwa before saa mbili n sawa pia. Hakuna rwstrictions. Do what works for you lakini tu muhimu iwe katika hiyo timeframe. Mwanzon itakua ngumu kucover hizo 16hrs but in 2 to 3 weeks mwili unazoea na unasahau kabisa suala la njaa.
Angalizo. Huo muda wa kuanza kula (the 8 hour block) sio lazima uanze saa sita kamili mchana, ni mapendeleo yako na shughuli zako. Cha muhimu uwe unakula in 8 hrs block na unafunga hozo nyingine.
 
Pia to add on that, epuka kabisa sugars and processed foods. Hasa hasa soda. Pia product za ngano digestion yake hua inachukua muda so sio nzuri. Pendelea kukula vyakula vya asili kama ugali n.k.. Uandaaji pia ni suala lingine, the food should be nutritious zaidi kuliko ya kujaza tumbo tu
 
I know I'll die, but what if I suffer alot before dying?
Yote ni matokeo tu.
Nafanya subtitling ya mapractioner wa Marekani na Canada, yani kila kitu tunachokula wanasema ni sumu, bado wanasema tunafanye sijui chanting, yoga, sijui madude gani na kusisitiza tule sana viungo na tujiepushe na vyakula vyenye gluten na gmo.
Mambo mengi yanaweza kuwa reversed hata kisukari according to them
 
Pia to add on that, epuka kabisa sugars and processed foods. Hasa hasa soda. Pia product za ngano digestion yake hua inachukua muda so sio nzuri. Pendelea kukula vyakula vya asili kama ugali n.k.. Uandaaji pia ni suala lingine, the food should be nutritious zaidi kuliko ya kujaza tumbo tu
Karibu jamii zote amabzo ugali ni chakula chao kikuu zimejaa umaskn. Na hii ni afrika kusini mwa jangwa la sahara
 
Vyakula vya wanga ndio source ya energy kwenye mwili wako .

How are u going to survive without carbs?
Asije kuwa kama mtoto wa willy smith baada ya kuamua kuwa vegetarian akapata utapi wa mlo mpala wazazi kuingilia kati kumuokoa
 
Well ni mfumo wa kula kwa baadhi ya masaa na ku-fast a.k.a kufunga kwa masaa yaliyobaki katika masaa 24. The one ambayo nimeitumia mara kwa mara ni ya 16/8 hrs. Yaani kwa masaa 16 nafunga, alaf masaa 8 nakula. So in essence mlo wangu wa kwanza unaanzia saa sita mchana na wa mwisho unatakiwa uwe by saa mbili usiku. Then after hapo hakuna ninachokula zaidi ya maji na kahawa (bila sukari), pia kahawa sio lazima. Kwenye hayo masaa 8 unaruhusiwa kula chochote (lakini kwa kiasi, sio unafukia kama unaenda kuchinjwa). Hvyo mlo wa kwanza unaeza kua a light meal, japo sio lazima kutegemeana na kipato. Personally hua huo mlo wa kwanza ni lunch. After hapo, jioni kama saa kumi na mbili unaeza pata dinner. After hapo hata ukipata maziwa before saa mbili n sawa pia. Hakuna rwstrictions. Do what works for you lakini tu muhimu iwe katika hiyo timeframe. Mwanzon itakua ngumu kucover hizo 16hrs but in 2 to 3 weeks mwili unazoea na unasahau kabisa suala la njaa.
Angalizo. Huo muda wa kuanza kula (the 8 hour block) sio lazima uanze saa sita kamili mchana, ni mapendeleo yako na shughuli zako. Cha muhimu uwe unakula in 8 hrs block na unafunga hozo nyingine.
Been to this mpaka wife ananisema sana. Mimi naweza kula asubuhi saa 2 nikala tena saa 2 usiku. Wife akijua sijala mchana anawaka balaa though. Thanks sana mdau.
 
Karibu jamii zote amabzo ugali ni chakula chao kikuu zimejaa umaskn. Na hii ni afrika kusini mwa jangwa la sahara
🤣🤣🤣🤣kwa hiyo ugali unaleta umaskini?
Well, to be fair chanzo cha umaskini ni vitu mbalimbali. Lakini hapo kwenye ugali maybe ungesema unbalanced diet ndo inaleta shida because watoto wanapata utapiamlo hivyo brain development inakua haiko fiti. Mahindi ni corn, hata wazungu wanaikula sana tu kwenye vitu kibao kama zile syrup zao wanazoeka kwenye pancakes e.t.c., tofaut ni kwamba hawafinyi tu kama sisi tunavokula ugali.
So shida kuu ni kukosa aina zingine za chakula to go with ugali. Maana ukienda vijijini, ugali ni mlima lakini mboga ni kakisosi kadogo so mostly watu wanakula ugali mwingi na mchuzi
 
Ndicho nachosema mtu unashindilia ugali debe, mboga kijiko cha chai. Wakati unahitaji protein kujenga akili, unaishia kuwa na miraba minne ya kufanya kazi ngumu lakini mambo ya kureason na IQ inasoma 0.5
 
Asije kuwa kama mtoto wa willy smith baada ya kuamua kuwa vegetarian akapata utapi wa mlo mpala wazazi kuingilia kati kumuokoa
Amything done in moderation haina shida. Jam inakuja kwa mtu anaekwenda extreme kwenye hizi mambo. Unakuta mtu ako anafanya dieting na at the same time analimit ammount of food so anaunyima mwili the required nutrients
 
Vyakula vya wanga ndio source ya energy kwenye mwili wako .

How are u going to survive without carbs?
Carbs mwilini hugeuzwa kuwa simple sugars tena ndio zigeuzwe energy. So kuna alternatives
 
Ndicho nachosema mtu unashindilia ugali debe, mboka kijiko cha chai. Wakati unahitaji protein kujenga akili, unaishia kuwa na miraba minne ya kufanya kazi ngumu lakini mambo ya kureason na IQ inasoma 0.5
Uko sawa. Then hapo shida sio kushindilia ugali, shida ni jamii kutopata elimu kuhusu suala la ku incorporate aina zingine za chakula kwenye main dish a.k.a ugali. Hilo likifanyika i think watu watafunguka akili maana watanzania wengi wanahusudu mboga zaidi so n kama wanajibania.
I wil give you an example, watu wanaoishi maeneo ya ziwani, chakula chao kikuu ni ugali lakini huez kukuta wana utapiamlo kwa sababu wanapata samaki wengi hivyo chakula chao kinakua na protein ya kutosha
 
Back
Top Bottom