Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

Mboga mboga ndio yenyewe ila Anza kwa kupunguza sio kuacha kabisa ila inakwamishwa sana na kipato mfano asubuhi upate supu tu mboga mboga na maji basi nadhani unaruhusiwa kuweka ndizi Moja
Matunda yawe parachichi zaidi na sio Yale ya sukari
Kula kiasi pata mda wa kutembea angalau dk 45 kwa siku
Parachichi ni protein bdo ataongeza mwili
 
Nani kakukaririsha hayo matango Pori mkuu? Kwa hiyo Kwa uelewa wako uadhani sukari haihitajiki mwilini?
Sources of energy kwa mwili zinaanza na carbs, then fats, then proteins, then vitamins. Carbs zinakua metabolised kwa haraka sana to provide high ammount of energy. Shida inakuja kwenye matumizi ya hiyo energy. Kama haitumiki ndo inakua stored kwenye adipose tissues sehem kama tumboni, mapajani, kwenye wezere n.k.
The body by nature iko kwenye fight/flight mode so kama hakuna expenditure lazma zitakua stored. Thats why mtu anaefanya kazi ngumu anaeza kula the same meal na mtu anaekaa ofisini siku nzima na only mmoja wao ndo akapata kitambi na magonjwa ya lishe.
Therefore mtu anaewacha kula carbs anasababisha mwili utafte energy from fats, thats why unakuta anapungua mwili because mafuta yanachomwa zaidi for energy production. Thats why this keto diet inafanywa mpka pale mtu anapofikia malengo yake ya BMI then ndo anaeza kuendelea kula wanga but in moderation ili asiweze kuslip back to being obese .
Kwa mtu anaefanya kazi zinazohitaji energy nyingi, haitaji kujilimit kwa kuacha carbs
 
Nimeeleza hapo juu. Sina ugonjwa wowote unaonizuia kula chochote.
Kama unachosema ni Kweli basi Ur just stressing ur self in vain...

Nimesema kama kauli yako kwamba huna tatizo lolote ni ya ukweli Kwa Sababu hicho unacho taka kukifanya huwa kinafanywa Na watu wenye matatizo kama obesity kiriba tumbo sukari etc wewe utakuwa wa Kwanza duniani ambae haupo kwenye kundi Hilo.

Akili yako imeanza kuzeeka kabla ya wakati wake. Na hiyo Ni Kwa Sababu Kuna aina ya chakula ambacho hukitumii kabisa . Je unajua ni chakula Gani hicho mkuu?
 
Nakazia
 
Haya niambie ni chakula gani hicho?
Mimi si wa kwanza kuacha kula wanga. Na nimekuita hapa unishauri. Kama unaona nakosea unasema nipunguze. Sio kuleta kashfa mkuu. Tuheshimiane.
 
Unakazi nini wakati mdau alichoeleza ni OP kabisa na ulichoandika. Hivi unadhani kwa nini amekureply hapo?
Usijifanye mjuaji bwana mdogo.

Haya endelea na zoezi lako kijana. Kila la heri.
 
Kila la heri katika kutekeleza maamuzi magumu ila usisahau kufanya mazoezi ya kufa mtu. Kubadili chakula peke yake haitoshi kama ulishanenepa
 
Moderator kujifanya wajuaji kubadilisha heading ya uzi wangu. Sasa ona mlichoandika.
Halafu haya mambo muwe mnatupa notification kuwa Mod kaedit heading/tittle. Msituchukulie poa, platform ni yenu ila hii platform ni user generated hamtusaidii kuyatoa yaliyo ndani ya vichwa vyetu.
 
Back
Top Bottom