Eng Mose
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 242
- 322
Ila nikushauri kitu mkuu, kuwa makini sana maana humu wapo matapeli, wengi watajifanya ni mawakala na wengine wanajua kukuunganishia kazi mahali, watakupiga hela sana, mfano wa matapeli hao kuna katerlo, britannica na kuna mwingne jina limenitoka, ni matapeli hawa watu. So kuwa makini na bora ukakaa chini tuliza akili usikubali mtu wa hapa akuambie umtumie hela yeyote kwaajili ya ishu yako hiiWadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauli ninayo hivo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahali pa kufikia ????? Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.