wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
ππππ Na Uzi mwingine kasema pharmacy Ni ya mama mkwe Hahah.Hahaha mwaka jana biashara zilikuwa za wazazi na hawakutaka aajiriwe
Mwaka huu biashara zake na wazee wanataka aajiriwe.
Kajamaa ukute hata kibanda cha kuchaji simu hakana.
Muongo ana njia fupi sanaNjia ya muongo ni fupi, ogopa Mungu na technology
Jamaa muongo muongo huyu......ππππ Na Uzi mwingine kasema pharmacy Ni ya mama mkwe Hahah.
Muacheni mjeda jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza jamaa ana story za uongo utadhani ana undugu na kina dangote wa tandale
πππ Mwingine pale juu yeye aliomba kabisa hio nafasi aachiwe yeye maana yeye mpk Ana cheti Cha JKT ππMi mwenyewe wakati nasoma nikajikuta ninapata kawivu tu aisee. π€£
Kwamba mwaka jana alikuwa clinical officer na ana miaka 24, mwaka huu ni Medical doctor na ana miaka 28
π π Hatari Mkuu.πππ Mwingine pale juu yeye aliomba kabisa hio nafasi aachiwe yeye maana yeye mpk Ana cheti Cha JKT ππ
Nacheka kama mazuriKaka yako alionewa wewe ndio inafaa ungechomwa moto maana huna akili. Kwa mujibu wa thread zako
Kukomesha hizi chai baridi, jamii forum iweke sehemu ya kurekodi sauti ili asikie vile tunamcheka aone aibuHahaha mwaka jana biashara zilikuwa za wazazi na hawakutaka aajiriwe
Mwaka huu biashara zake na wazee wanataka aajiriwe.
Kajamaa ukute hata kibanda cha kuchaji simu hakana.
Laki 5 pure profit. Unamaanisha kwa mwezi unatengeneza Mil 15. Miaka 28 haaaaaa Basi sawa.
Umemjibu vizuri sana.Mzee kuhenya hakuna mchongo ,kozi haitaangalia wewe ni nani ,jiandae kiakili kwa asilimia 2,na kinguvu kwa asilimia mia .Unaweza enda kozi ukawa private au hata ukafeli kozi ukapoteza future yako .
Unaweza kua private vigezo vya cardet vikakutoa nouma ukabaki ukiwa private .Hii itakuumiza sana kwani utakua kila ukiiona elimu yako na cheo ulichonacho inakuumiza moyoni.Baki na ujira ulionao Hakuna pesa yenye nembo ya jwtz mzee nimemaliza
Njia ya muongo ni fupi, ogopa Mungu
Kumbe jamaa jau asee, watu tunapoteza muda...Njia ya muongo ni fupi, ogopa Mungu na technology
Anajila tu mzee mie nimeongea ukweli ambao hatoambiwa na mtu mwingine na ofcourse yuko ndotoni anasotea tu ajira akiipata hatoamini uhalisia ulivyoUmemjibu vizuri sana.
Hata nawe, neno "ufati" ndio nini?doctor kwa mwandiko huo....?? ufati aya na taratibu za kuandika aya ndefu
kama hizi kweli?? sawa karibu daktari>