Ushauri: Niende jeshi au niendelee na biashara zangu?

nashauri jamii forum moderators waanzishe utaratibu wakuchuka wajinga wao iharibu jf??? kama huyu inabidi apigwe ban ya kudumu
 
Mkuu fikiria hili jinsi haya maisha yalivyo matamu je? Upo tayari kufa kwa ajili ya wenzio
 
Mkuu kwanza nkushauri tu achana na kazi ya jeshi komaa hapo hapo ulipo kikubwa kuwa na malengo pili naomba kazi mm ni Clinical officer (C.O) natoka familia duni ,naomba mchongo niweze saidi familia yangu kama hutojali.
 
Ni kama Vile Unataka Kuoa halafu Unaomba Ushauri Uchague mchumba mwenye Maadili Au Mjasiriamali.Utanielewa Baada ya Maamuzi huko miaka ijayo.
 
Ahahahaha wana jf balaaa
 
MANUNUZI YAKO KWA MWEZI AU KWA MWAKA NI KIASI GANI?
 
Nimeishia hapo kwenye unaingiza faida ya laki 5 kwa siku kisha unaomba ushauri wa kuacha kazi kwenda jeshini. Haijawahi tokea MD akawa ngumbaru, zezeta au zwazwa wa kufanya maamuzi ambayo hata chekechea anaweza
 
Mtu anaeingiza hicho kiasi hawezi kuomba ushauri wa swala dogo kama hilo humu, acha kutuchora aisee.
 
Nilichogundua huyu jamaa yupo chuo third year au fourth year hivi.
Sikia ukipewa mtaji fanya biashara japo mwanzo ni mgumu.
 
Mkuu jeshini hauwezi kuhamua kituo cha kazi kiwe hapo kwenye biashara, pia hauwezi kua huru ndani ya ajira. Kuna kozi mbali mbali utaenda kufanya nje na ndani kwa miaka mitano, au chini ya hapo. Jiandae kw ilo pia
 
Hahaha mwaka jana biashara zilikuwa za wazazi na hawakutaka aajiriwe

Mwaka huu biashara zake na wazee wanataka aajiriwe.

Kajamaa ukute hata kibanda cha kuchaji simu hakana.
Huyu akili za kitoto, misifa plus, tumsamehe bure.
 
Dr mzima unahoji vitu vya namna hii? Kweli wewe ni Dr? Au mfamasia?, Sina Imani na wewe hasa kwa hiyo laki 5 ni fix sio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…