Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza


Nakuomba PM...hakuna namna zaidi ya kucheat
 
Hiyo inaitwa SEX MANIAC or Advanced Libido

That's it come for different forms
1 . prostitution
2.masturbation
3 .exhibition of sex

Hii hali inamfanya mtu kutojizuia kbs kufanya mapenzi bila kujali ypo mazingira gani,

Pia inaweza kupelekea mtu kuwa na matatizo mbalimbali kama vile:
: depression
: anxiety
: obsessive na decrease concentration and productivity at work.

Nakushauri nenda kamwone
doctor ili aweze kukupatia matibabu ya kuweza kuondoa hiyo hali.


NB. Inapelekea kupata mimba zisizotarajiwa na magonjwa mbali mbali.
 
Babe....
Dunia inabadilika kwa mwendo wa kasi zaidi ya Standard Gauge.
Yaani nashangaa jinsi wamama walivyo kosa aibu na maadili ya kuitunza siri kama wamama wa nyumba
Heeeh hilo ni tatizo bro tena kubwa ni vema hata yeye kafunguka kuna wengi sana wanalo hili tatizo na hawajijui kama ni tatizo,
mara nyingi huanzia zamani kama aliwahi kua sexual abused kwa namna yoyote ile na hii ipo for both men and women.

Itafute movie inaitwa Addicted utawaelewa kidogo hawa watu.
 
Mkuu
Sidhani kama kuna mwanamke anayeweza kuisaliti ndoa sababu ya maneno ya Jf, huyo atakuwa sii mwanamke timamu.

Wachache wamo wenye busara zao, na hao wenye mawazo mgando huwezi wabadilisha kamwe. Ndivyo walivyo na ujue tabia haina dawa Mkuu!!!

La muhimu humu kila mtu asimamie anachoamini tu, za kuambiwa changanya na zako!!

Punguza hasira, ya humu ni mengi mno!!!
 
"Punguza hasira, ya humu ni mengi".
 
We kaka umesema kweli
 
Na hawa ndio wanawake zetu, mjomba yupo mkoa anajua kaacha mzigo salama kumbe mzigo unaliwa halafu unasema kucheat
 
Akienda kwa doc amwone doc anaehusika na magonjwa yepi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…