Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

Hauna mchumba hapo una kiburudisho
 
Kama mwanamke yupo chuo na umejihakikishia kabisa sio bikra achana nae mkuu, huyo hafai kuolewa na kwa rejea ya somo lako..hapo jiandae kufa lasi hivyo piga chini hiyo mali ni mke wa mwanachuo wewe angaza huki mtaani saizi yako mkuu...
 
1.Mueleze kuwa hupendi hilo.

2.Mpigie kwa namba zingine.

3.Mtembelee kwa surprise

4.Usimtumie pesa mchana mzingushe zungushe tuma usiku tuu
 
Moja ya kipimo cha mpenzi au MTU mko mahusisno ni pomoja na kushtua na simu za usiku kama mnaishi mbalimbali. Ukiona hazipokelewi au haongei kwa uhuru basi jua huna chako. Kijana kama umewekeza hapa basi jua hiyo ni total loss.

Chapa mwendo huyo hakufai kabisa. Anakukamua Tu na anazila na huyo Bwana. Kama Una moyo wa chuma funga safari nenda chuoni kwa kushtukiza na ufike usiku. Nikuombe tu usibebe silaha maana utaua.
 
Mkuu sio Kila mtu anaweza kukabiliana changamoto zake, tatizo unaloliona wewe dogo Kuna mwenzio limemshinda
Elimu ya kujitambua ndo msingi mkuu kwanza
 
Kijana umepigwa ndolema tayali kadai mahali yako auna mchumba apo uyo analiwa na muhuni fulani huko jiongeze mzee baba
 

Runzewe=Shamba la Nyege.

Usije kusema hukuambiwa. Period
 
Achana nae fasta,wadada wachuo tunawapiga huku simu zipo mkononi wanaongea na mabwana zao wa kitaa .Unapoteza muda bob
 
Pesa Kwa wazazi wako hutumi, kazi kutuma Kwa wake za wenzio.

Cha kufanya: simama mbele ya kioo, jitazame, jichape makofi
 
Nimekusudia kusoma comments zote za uzi huu kwa sababu kwa namna yoyote ile inaweza kunipata au hii hali naipitia, hvy comments za wana hapa zitanifunza jambo.
Endeleeni kushusha mabomu ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…