Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Acha kutuma pesa Yuko na bwana akeWadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Mkuu tunaomba utupe mrejesho....AF kuwa makin yasije yakakukuta ya RAPCHA kwa LISSA.Angalia usije uwawa kwa kuitiwa mwizi
[emoji38]kmmaeKaolewa tayar uko,
Kaamua kuheshimu ndoa yake
Anajua kama unaenda?AKHSANTE SANA MKUU
Ila nimeamua kumsafiria aiseee na hapa nipo njiani kwenda DODOMA
UmemalizaKuna mwana anaua third year pale nikupe no yake?[emoji23],,
Sikia mzee wasichana wengi wa chuo, wanampenzi wa chuo na pia wanampenzi wa nyumbani, kwahiyo saizi probably ni zamu ya huyo wa chuo we subiri arudi na huna namna utafanya kuzuia hilo labda ukawe lecture pale,,nimesema PROBABLY ila chance ni 80%
Ushauri
Iwe safari yake Bado(kama first au second year) au ndio mwaka wa mwisho wae amua kumsubiri, nimesema AMUA kumsubiri,Yani vumilia yote haya kwasabab wakiendaga chuo wanakuwaga na wenge sana ila wakimaliza ndo akili inawakaa kichwani
Lakini kumsubiri kwako kunaweza kusizae matunda maana uko uko chuo akampata wenyewe wanaitaga soulmate[emoji23], wake afu mwamba ikala kwako
Kwahy kama umeamua kuamini kwamba one day one time mambo yatakuwa yesi, fresh we believe mungu atakusaidia ila jiandae Kwa lolote chuo ni kiwanda cha uzinzi
Mkuu huyo binti ana wazazi wake na wewe umeongezwa kwenye list na kuwa mlezi wake endelea kumlea akikua ataenda sasa kwa mumewe ........soma mara tatu alafu kunywa maji mengi anza upya samehe na kusahau kama kweli anakupenda atajua alipokosea atakuangukia kwa msamaha na kuendeleza gurudumu la maishaWadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
[emoji23][emoji23]R.I.P
Women value strength in men they desire. They already have a pussy they don’t want to deal with another one.Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Kikubwa afunge safar ya siri hadi hapo chuo afuatilie nyendo za huyo mchumba ila ajiandae kwa lolote na ajiandae asijevunja sheria. Binafsi nilifanya ujinga kama huu na nilienda mbali zaidi nilibeba majukum ya wazazi kwa kumsomesha na kulipa kila kitu hadi kusuka nywele,mavazi nk. Siku anapata kazi nikamnunulia kila kitu cha kuanzia kwenye ajira yake mpya tv,redio,godoro nk na kodi ya miezi 6 juu. Ilikuwa mwezi wa 7 naenda kumtembelea kazini kwake huko mwanza mwezi wa 12 nakuta anamimba ya mkuu wake wa idara.[emoji848]Saivi unayo kitu inaitwa perceptual blind spot. Kiufupi hauna mke ameshakuzoea amekuona huna value kwake. Nakuambia ukweli sema hutonielewa Mana saivi unayo iyo perceptual blind spot in your mind. Yaani huwezi ona. Already you're operating under fight/flight mode of our survival ancestry caveman brain mode mkuu. Yaani narudia kopi hii isevu in your email baada ya miaka mitano utakuja kunielewa. Kama vipi nipe namba yako wozapu nikuokoe Kuna Kodi nyingine Naona tunaenda kupoteza ama kupunguza Mana huwezi fanya kazi zako vizuri. Nikuambie tu mie nimesoma na hao wanachuo mpaka nje kwa Putin nimesoma nimewachakata mbususu zote adi za kirusi Ila nimerudi bush kwetu nikaoa lasaba mkuu. Can you imagine like.
Naomba tuwasiliwane nikuambie ukweli ambao sahihi hutoelewa Ila ubongo utataka kulazimisha kuona ambacho inataka kuuona. Nakuhurumia niliyapitia hayo mkuu.
Noma sana!Huyo sio mchumba. Huyo ni muwekazaji. Na wewe ndio biashara yenyewe. Akihitaji faida ya biashara yake anakutafuta.
Asipopokea siku nyingine basi elewa yupo kwenye kufuatilia biashara zake nyingine. Kawaida kuna biashara huwa zina faida zaidi na hizo ndizo wawekezaji hupenda kutumia muda mwingi nazo.
Hawa wachumba wa chuo vizuri muwasubirie wakirudi likizo tu, kuwafata chuo ni kutafuta kifo tu. Pana mmoja alitoka mtaani akaingia chumba cha mchumba wake wa kike kuingia ghafla anakuta jinsia mbili tofauti zinafanya mazoezi kitandani ile kuhamaki tu, akiitiwa mwizi na mchumba wake wa kike,ukiishaitiwa mwizi hostel unategemea zaidi ya kifo.Mkuu tunaomba utupe mrejesho....AF kuwa makin yasije yakakukuta ya RAPCHA kwa LISSA.