Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Biashara kichaa hiyo.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu
Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.
Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over
Matajiri hawaombi ushauri kwa masikini mkuuKama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu
Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.
Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over
Unaingiza kwa msamaha wa kodi au siyo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]IST 5=50mil
Corola 3=30mil
Spacio 3=30mil
Harrier 2=40mil
Balance 50mil kwa ajili ya matumizi ya office.
Inatosha kikubwa ni ishu ya kujitangaza tu kwa wateja
Mil200 siyo hela nyingi kama unavyodhaniTafuta watu wengine wa kutapeli, hadi umeipata hiyo 200mil. means wewe sio mtu wa kuuliza maswali ya aina hii mitandaoni.., ungekuwa na jopo la consultants binafsi
Ww shida yako nn, toa ushauri kama huna tulizaWee si chawa wa Lumumba? Haujapata ushauri huko?
Wenye mtaji wa Milioni 200 haombi ushauri jamii forum,wanakua na washauri wao wa kibiashara,huku ni wale wa nina mtaji wa Milioni moja nifanye biashara gani
Tarehe 9 AprilMkuu ungeniambia tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi wako wa kuzaliwa ningekwambia ufanye biasara gani ambayo itakayo weza kukutajirisha. Ukitaka nifuate PM.
Hizo gari mpya au za mkononi? Maana sio kwa hiyo beiIST 5=50mil
Corola 3=30mil
Spacio 3=30mil
Harrier 2=40mil
Balance 50mil kwa ajili ya matumizi ya office.
Inatosha kikubwa ni ishu ya kujitangaza tu kwa wateja
Used Japan from Japan,hapo nimeweka bei za makadirio tu hata kama itatofautiana na bei halisi haitaachana sanaHizo gari mpya au za mkononi? Maana sio kwa hiyo bei