Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu

Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.

Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over
Biashara kichaa hiyo.

Niliwahi kuifanya miaka ya nyuma sitaki hata kuisikia.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu

Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.

Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over
Matajiri hawaombi ushauri kwa masikini mkuu
 
Tafuta watu wengine wa kutapeli, hadi umeipata hiyo 200mil. means wewe sio mtu wa kuuliza maswali ya aina hii mitandaoni.., ungekuwa na jopo la consultants binafsi
Mil200 siyo hela nyingi kama unavyodhani
 
Fraud inaleta hasara mataifa mengi duniani
Hapa tu watu wanapitia za watu kila siku
Na mwaka jana tu wametapeli £7b kwa madafu ongeza masifuri mengi mengi tu
 
Sema una hela Mil.200, mtaji ni ule ambao umeshaingiza kwenye biashara unazunguusha,

Sijasoma business administration lakini nadhani ni hivyo
 
Wenye mtaji wa Milioni 200 haombi ushauri jamii forum,wanakua na washauri wao wa kibiashara,huku ni wale wa nina mtaji wa Milioni moja nifanye biashara gani

200 siyo nyingi mkuu
Ukiipata hata wewe utaona hivyohivyo kwenye kuizungusha ,
Na usichoke kutafuta maarifa na usizarau mawazo ya watu hata kama hana pesa , wewe mwenyewe utachekecha walicho kushauri.
 
Kwanini magari, unajua chochote kuhusu biashara hiyo?

Mi kwa mtazamo wa amateur nadhani inaweza kuwa ngumu nadhani profit margin ni ndogo sana na inabidi ushindane na zile kampuni za japani unless una adavantage fulani labda ni bora upanue hizo biashara zako ulizofanya "kiusahihi". Pia fikiria labda kupata mkopo ili usirisk hela zako.
 
Back
Top Bottom