Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Ye alisema mumewe alimuomba msamaha sana akasema hatorudia ila yeye bado ana hasira nae ndo maana tukawa tunai discuss issue yake. Ana kinyongo sasa asije akalipizaOk ila pia ni ashiria kuwa mume wake sio mwaminifu.
Sasa wanaugomvi na mume wake ??
Braza huyu atakuwa mzaliwa wa pwani hasa mzaramo, kitu mapenzi hawajui zaidi ya kukulana tu na kushindana kukata viunoHuyu Demu ana makasiriko hatari...
How!??Siwezi kujua kiundani ila labda walibananishana na mumewe.
Mi najuaje sasa. Labda uniulize haya maswali kesho nikiwa na huyu dada ofisini niwe na facts za uhakika.How!??
Asamehe na ndoa imevunjwa na mahakama. Nadhani kuna mengi zaidi ya hili, kosa hilo tu sidhani mahakama ingevunja hiyo ndoaBora huyo alimficha, wengine wanawaua kabisa, hii Dunia Ina mengi!! Ila Kwa kumzalia watoto wanne, ajihakiki kama ni wake then asamehe saba Mara sabini, Kwa uzoefu looser mwisho WA game atakuwa baba
Sio ndugu hata kiroho sio nduguBasi nilidhani una akili kumbe wale wale, unasemaje watoto waliolala tumbo moja na kunyonya ziwa moja sio ndugu kisa baba zao tofauti?
Hebu usinichoshe mie kama unatafuta comments nyingi ushazipata
Why??Mchinje mtoto
Lazima ataripiza tuu.Ana kinyongo sasa asije akalipiza
Sasa offini huko mmemshauri nini?tukawa tunai discuss issue yake
Nawaza Kuna angle... Huyu baba alikuwa akitamani kumuacha huyo mwanamke na Sasa imepatikana.... Kalala nayo sambamba🤣😂Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Hawezi kuloose maana yeye anaendelea na maisha yake na anaoa mke mwingine basiBora huyo alimficha, wengine wanawaua kabisa, hii Dunia Ina mengi!! Ila Kwa kumzalia watoto wanne, ajihakiki kama ni wake then asamehe saba Mara sabini, Kwa uzoefu looser mwisho WA game atakuwa baba
Kwani mahakamani Tanzania kama kosa kama hio inakataa kuvunja ndoa???Asamehe na ndoa imevunjwa na mahakama. Nadhani kuna mengi zaidi ya hili, kosa hilo tu sidhani mahakama ingevunja hiyo ndoa
Wewe dada nimefuatilia posts zako una vitu hivi;
1. Una tabia ya faizafoxy
2. Una kisani sana utakuwa singo maza wewe.
3. Utakuwa akina mwajuma ndala ndefu wacheza vigodoro
Sijamwita muhuni, nimesema that was my impression sio lazima iwe kweli, alaf wanawake wengi wanaoficha watoto kwa mume wao wanakuwaga ni wahuni hio inafahamika hata usimtetee.Kwa maelezo ya mtoa mada ni kua, mwanamke aliolewa akiwa ana miaka 21, na sasa mtoto ana miaka 20, hatujui sababu ya yeye kutengana na mtoto wake na hatujui sababu ya yeye kutokumwambia mumewe kua ana mtoto, mtoto alikua analelewa na baba ake, what if alinyang'anywa mtoto akaamua kuanza upya na huyo mume wake? Kwanini umuite muhuni kisa tu hakukwambia kuhusu mtoto,
Kwanini uumie sana hadi utoe talaka, alikuomba matumizi ya mtoto? Kama miaka yote mlikua vizuri hilo tu ndio umuache? hapo ni wazi ulikua unamtafutia sababu hakuna kingine unless kuwe na jambo lingine mleta mada halijui.
Kati yangu mimi na wewe nani mwenye makasiriko, ndoa ya wengine mishipa ya vidole gumba unatunisha wewe, utasumbuka sana na mie mwenzio sina habari, nikilog out nina mawazo mengineeeee,Braza huyu atakuwa mzaliwa wa pwani hasa mzaramo, kitu mapenzi hawajui zaidi ya kukulana tu na kushindana kukata viuno
Mahakama mpaka kuvunja ndoa basi kuna tatizo zaidi ya hilo.Kwani mahakamani Tanzania kama kosa kama hio inakataa kuvunja ndoa???
Kwa hio hata mtu akitakaa kuachana na mwenza wake hata bila fumanizi.
Yani kama ni kosa alifanya kipindi sio mke wala mume.
So mahakama inakaa kuvunja ndoa hio??
Ukisema hivyo machokoraa wa humu watakuita majina yote, wao wanataka umsapoti huyo mjinga mwenzao ili wakupigie makofi na kukupa sifa kede kede, [emoji23][emoji23][emoji23]Nawaza Kuna angle... Huyu baba alikuwa akitamani kumuacha huyo mwanamke na Sasa imepatikana.... Kalala nayo sambamba[emoji1787][emoji23]
Tumemshauri kitu cha kumfanya asiwe na hasira. Tumemwambia amsikilize huyo mmewe kama kasema kaacha basi kaaacha. Ila kiukweli hata sijui kama ni sawa au si sawaSasa offini huko mmemshauri nini?