Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Nadhani alikiri hapo ndo sikumbuki factsLazima ataripiza tuu.
Sasa hapo sijajua kama mume ndo yeye mwenyewe alimwambia tuu au vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani alikiri hapo ndo sikumbuki factsLazima ataripiza tuu.
Sasa hapo sijajua kama mume ndo yeye mwenyewe alimwambia tuu au vipi?
Haya ni hivi: Mimi nilipokutana naye alikuwa na mtoto mmoja na hakunificha. Huyo mtoto baba yake ni wale wanaume wala maisha na hakuwa na habari naye wala alikuwa hamtunzi wala kuulizia lolote juu yake. Kwa kifupi ni kama alikuwa amemsahau. Basi akawa mmoja ya familia yetu na tukafanikiwa kupata wengine wawili. Vituko vilianza hapa. Nikapata safari ya kikazi ya miezi kadhaa. Nikiwa safarini nikasikia maneno maneno mengi juu yake, ya kutotulia na kuonekana na wanaume japo sikutilia maanani sana. Kurudi nikakuta kuna mtoto wa kiume mdogo kama miaka 12 nyumbani. Nilipoulizia huyu mtoto ni wa nani nikaambiwa ''mama yake alishafariki'' (alisema mama yake alikuwa rafiki yake sana) na huyo mtoto anaishi na baba yake. Nikaambiwa yuko likizo na amekuja kusalimia. Mambo yakaisha. Siku moja nilisafiri kwenda Arusha kwa wiki moja. Kumbe nilipoondoka ndugu zake walikuja na wakawa wanapiga story. (haya nilikuja kupenyezewa na mama mmoja mmbeya sana.) Na akaniambila alisikia wanapiga story huku akisema kuwa katika mimba ambazo hakuteseka kabisa ni ile ya yule wa mtoto wa kiume ambaye alisema ni mtoto wa rafiki yake aliyefariki. Hili likanifungua macho. Kuchunguza nikaona kuna ufanano kati yake na yule mtoto. Nikazama sehemu nikiwa na jina la mtoto. Nikakuta imeandikishwa mama ni yeye. Nikachunguza zaidi nikakuta kumbe nilipokuwa safari nikaambiwa alionekana na jamaa ni kweli na ni baba wa yule mtoto. Sasa niambie. Unataka niwe ''rijali'' (kama ulisevyosema wewe) na kusamehe upuuzi kama huu kwa sababu tu tumezaa na tulishaishi wote miaka kama kumi?Haya nasubiri story yako
Wanawake ni wasiri mno mno.kabisa kabisa harafu ndio ukute watoto hao wanne mmoja ambae wa kwanza hata humuelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mm nilitaka kukumbana nalo hilo janga nashukuru Mungu kwanza sikuwa n mpango wa kuoa, ila yule bint nimemvulia kofia kwa usiri ule.
Kingine mwanamke akizaa anajurikana tu
Habari wana JF.
Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15.
Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto,
Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake.
Mume alijua kwa mawasiliano ya simu.
Mama alipokuwa anaongea na mwanae.
Na mtoto anaumri wa miaka 20.
Mume wa ndoa kazaa nae watoto 4.
Dawati la suruhisho walijaribu kuweka sawa ili wasiachana ila ilishindika. Hata wachungaji walishauri kuwa asamee tuu kwani hata mtoto kashakuwa mkubwa hakuna shida yoyote lkn ndo hivyo ndoa imevunjwa jana na mahakama.
Huyu mama alizaa kipindi anaumri wa miaka 21.
Sasa wanajamii hivi vitu vinatokana na nini mpk mmoja anaamua kuficha mtoto?
NI NINI CHA KUFANYA BAADA YA KUJUA HATA KWA MUME KAMA ALIFICHA KUWA ALIKUWA ANAMTOTO.
Wewe utakuwa umeficha mtoto au katika ukoo wenu kuna mpumbavu mmoja kafanya hiloSababu lazima anayo, hayo ni mambo yanayoongeleka na sio kuvunja ndoa, angemfumania hapo sawa ila sio hilo ni dogo sana kikubwa ni kumpa nafasi atoe sababu zake.
Hapana kwa tukio lako ni tofauti kabisa, huyo mwanamke alikudanganya tena vibaya, kitendo cha kumleta mwanae na kudai ni wa marehemu rafiki yake huo ni uongo mkubwa hata mimi siwezi kuusapoti hata kidogo,Haya ni hivi: Mimi nilipokutana naye alikuwa na mtoto mmoja na hakunificha. Huyo mtoto baba yake ni wale wanaume wala maisha na hakuwa na habari naye wala alikuwa hamtunzi wala kuulizia lolote juu yake. Kwa kifupi ni kama alikuwa amemsahau. Basi akawa mmoja ya familia yetu na tukafanikiwa kupata wengine wawili. Vituko vilianza hapa. Nikapata safari ya kikazi ya miezi kadhaa. Nikiwa safarini nikasikia maneno maneno mengi juu yake, ya kutotulia na kuonekana na wanaume japo sikutilia maanani sana. Kurudi nikakuta kuna mtoto wa kiume mdogo kama miaka 12 nyumbani. Nilipoulizia huyu mtoto ni wa nani nikaambiwa ''mama yake alishafariki'' (alisema mama yake alikuwa rafiki yake sana) na huyo mtoto anaishi na baba yake. Nikaambiwa yuko likizo na amekuja kusalimia. Mambo yakaisha. Siku moja nilisafiri kwenda Arusha kwa wiki moja. Kumbe nilipoondoka ndugu zake walikuja na wakawa wanapiga story. (haya nilikuja kupenyezewa na mama mmoja mmbeya sana.) Na akaniambila alisikia wanapiga story huku akisema kuwa katika mimba ambazo hakuteseka kabisa ni ile ya yule wa mtoto wa kiume ambaye alisema ni mtoto wa rafiki yake aliyefariki. Hili likanifungua macho. Kuchunguza nikaona kuna ufanano kati yake na yule mtoto. Nikazama sehemu nikiwa na jina la mtoto. Nikakuta imeandikishwa mama ni yeye. Nikachunguza zaidi nikakuta kumbe nilipokuwa safari nikaambiwa alionekana na jamaa ni kweli na ni baba wa yule mtoto. Sasa niambie. Unataka niwe ''rijali'' (kama ulisevyosema wewe) na kusamehe upuuzi kama huu kwa sababu tu tumezaa na tulishaishi wote miaka kama kumi?
Njoo nikulishe na ukoo wako wote ewe faiza foxy usiye na maadili[emoji23][emoji23][emoji23]Kati yangu mimi na wewe nani mwenye makasiriko, ndoa ya wengine mishipa ya vidole gumba unatunisha wewe, utasumbuka sana na mie mwenzio sina habari, nikilog out nina mawazo mengineeeee,
Peleka njaa zako kwa mama ntilie huko mwambie akujazie ukoko mwingi leo
Koma kuhusisha ukoo wetu na ujinga ujinga, pia koma kunichulia eti nimeficha mtoto,Wewe utakuwa umeficha mtoto au katika ukoo wenu kuna mpumbavu mmoja kafanya hilo
Yaani unamnyima haki mtoto wako kufurahia na kaka/dada zake...!! Huoni huyo mtoto unavyomtesa kisaikolojia?
Hujui km atakuwa mkubwa na kujua kwamba ulimficha kwa upumbavu wako wa kung'ang'ania penzi la ujanani?
Hujui familia yako pia utaitesa maisha yao yote kwa kuficha upumbavu wako kwa mmeo/mkeo?
Mwanamke/ mwanaume anaeficha mtoto kisa mapenzi hana tofauti na MUUAJI..
kiumbe ulichokileta duniani kuwa na fahari nacho hata kama kinaulemavu maana wengine wamekosa kabisaa...
Hatimaye nimempata bibi faizafoxy amefunua makucha wakuu.Koma kafiri mkubwa weeee, single maza labda mama ako na wacheza vigodoro dada zako, unataka mawazo yote yafanane kama sio ushenzi ni nini?
Toa maoni yako sepa kule acha kudandia comments za wengine chokoraa mkubwa weee [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyooooooo, una hela wewe chokoraa ya kulisha ukoo wangu, akili zenyewe huna sasa huyo Faiza Foxy ulomkazania yupo wapi hapa,Njoo nikulishe na ukoo wako wote ewe faiza foxy usiye na maadili[emoji23][emoji23][emoji23]
Umegonga penyewe, huyu ni mayala kabisa, eti kuzaa na kuficha mtoto ni privacy????Sijamwita muhuni, nimesema that was my impression sio lazima iwe kweli, alaf wanawake wengi wanaoficha watoto kwa mume wao wanakuwaga ni wahuni hio inafahamika hata usimtetee.
Ww naelewa kwann unaona simple kwasababu ni mwanamke mwenzako ila ingekuwa vice versa mwanaume ndo kamficha mtoto usingekuwa unamsupport mwanaume.
Kuna siku mada kama hii ilianzishwa nikiwa kazini "kwamba mwanaume umefunga nae ndoa alaf baada ya miaka mitano analeta mtoto pale nyumbani anasema ni mtoto wake"
Aisee wanawake wanaliichangamkia ile mada hadi nilishangaa, kila mmoja anasema hio ndoa imekufa, alaf nyie mkileta watoto mnataka isiwe issue kubwa.
Hamna mtu mbinafsi kama mwanamke.
Kwanini alificha. Jibu naweza kubuni japo sisemi kuwa niko correct. Alificha kwa sababu wanaume wengi hughairi kuoa wanawake wenye mtoto/watoto. Hili ni kosa ambalo wanawake wengi hulifanya. Ni bora useme ukweli kuliko kuficha. Ukificha hawa kama bwana hata-mind sana lakini maisha hayatakuwa kama yalivyokuwa asilan. Utajengeka ukuta mkubwa sana wa kukosa uaminifu kati yenu. Hata kwenye issue yangu alijitetea kuwa alificha kwa sababu aliona akisema ukweli kuwa ana watoto wawili ningeachana naye.Hapana kwa tukio lako ni tofauti kabisa, huyo mwanamke alikudanganya tena vibaya, kitendo cha kumleta mwanae na kudai ni wa marehemu rafiki yake huo ni uongo mkubwa hata mimi siwezi kuusapoti hata kidogo,
Tukija kwenye tukio hili la mleta mada, Mama hakumwambia kama ana mtoto hadi pale mtoto alipomtafuta mama ake, so Mama alipaswa apewe nafasi kwanza kujua why alificha pili ibaki hivyo kama alivyotaka kuishi
Tuliwa wewe bibi kidawa muhun..i[emoji23][emoji23]Ukisema hivyo machokoraa wa humu watakuita majina yote, wao wanataka umsapoti huyo mjinga mwenzao ili wakupigie makofi na kukupa sifa kede kede, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume anaachaje Ndoa yake kizembe hivyo kama sio kutafutiana sababu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli wewe ni mwehu naona kuna jambo zito ulifanywa na Faiza sio kwa kuweweseka huku,Hatimaye nimempata bibi faizafoxy amefunua makucha wakuu.
Tulia usingo mama sio makasiriko acha gubu japo umekoma siku zako ulee wajukuu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ukisikia unakula kuku na mayai inakuwa Kama ivyo.Ndani ya hizi ndoa wengi tunaowaita mashemeji mara nyingi huwa ni watoto wa wake zetu.
Unakuta katoto unatambulishwa kama mdogo wa mwisho au mtoto wa dada/kaka kumbe ni mtoto wa mkeo.
Ni nadra kwa wanaume kuficha watoto waliopatikana kabla ya mahusiano ila wanawake mara nyingi wanahusisha kuwa na mtoto kabla na kushuka kwao kwa thamani kupelekea kuficha watoto wao wa kabla ya ndoa/mahusiano.
Huyo Dream queen ni wale wale wasio watulivu na hawataki kuulizwa kisa anaiita privacy, huyo dada hovyo sanaHaya ni hivi: Mimi nilipokutana naye alikuwa na mtoto mmoja na hakunificha. Huyo mtoto baba yake ni wale wanaume wala maisha na hakuwa na habari naye wala alikuwa hamtunzi wala kuulizia lolote juu yake. Kwa kifupi ni kama alikuwa amemsahau. Basi akawa mmoja ya familia yetu na tukafanikiwa kupata wengine wawili. Vituko vilianza hapa. Nikapata safari ya kikazi ya miezi kadhaa. Nikiwa safarini nikasikia maneno maneno mengi juu yake, ya kutotulia na kuonekana na wanaume japo sikutilia maanani sana. Kurudi nikakuta kuna mtoto wa kiume mdogo kama miaka 12 nyumbani. Nilipoulizia huyu mtoto ni wa nani nikaambiwa ''mama yake alishafariki'' (alisema mama yake alikuwa rafiki yake sana) na huyo mtoto anaishi na baba yake. Nikaambiwa yuko likizo na amekuja kusalimia. Mambo yakaisha. Siku moja nilisafiri kwenda Arusha kwa wiki moja. Kumbe nilipoondoka ndugu zake walikuja na wakawa wanapiga story. (haya nilikuja kupenyezewa na mama mmoja mmbeya sana.) Na akaniambila alisikia wanapiga story huku akisema kuwa katika mimba ambazo hakuteseka kabisa ni ile ya yule wa mtoto wa kiume ambaye alisema ni mtoto wa rafiki yake aliyefariki. Hili likanifungua macho. Kuchunguza nikaona kuna ufanano kati yake na yule mtoto. Nikazama sehemu nikiwa na jina la mtoto. Nikakuta imeandikishwa mama ni yeye. Nikachunguza zaidi nikakuta kumbe nilipokuwa safari nikaambiwa alionekana na jamaa ni kweli na ni baba wa yule mtoto. Sasa niambie. Unataka niwe ''rijali'' (kama ulisevyosema wewe) na kusamehe upuuzi kama huu kwa sababu tu tumezaa na tulishaishi wote miaka kama kumi?
Huyu inaonyesha alizaa kabla ya ndoa, anatetea upupu sanaWewe utakuwa umeficha mtoto au katika ukoo wenu kuna mpumbavu mmoja kafanya hilo
Yaani unamnyima haki mtoto wako kufurahia na kaka/dada zake...!! Huoni huyo mtoto unavyomtesa kisaikolojia?
Hujui km atakuwa mkubwa na kujua kwamba ulimficha kwa upumbavu wako wa kung'ang'ania penzi la ujanani?
Hujui familia yako pia utaitesa maisha yao yote kwa kuficha upumbavu wako kwa mmeo/mkeo?
Mwanamke/ mwanaume anaeficha mtoto kisa mapenzi hana tofauti na MUUAJI..
kiumbe ulichokileta duniani kuwa na fahari nacho hata kama kinaulemavu maana wengine wamekosa kabisaa...
Tatizo hatujui majibu ya mwanamke baada ya mwanaume kujua.Kwa mtu mwenye akili timamu, rijali, aliyepitia malezi bora ya wazazi wote wawili hawezi kuacha mke aliyeishi nae miaka 15 na kuzaa nae watoto wanne kisa alimficha kua alizaa kabla, hilo ni kosa dogo sana na linazungumzika.....
Na kama mtu hayupo tayari kuzungumza ya nyuma kwanini alazimishwe??? Kila binaadam ana siri yake na maamuzi yake yanapaswa kuheshimiwa, huwezi jua hilo tukio lilimuumiza vipi akaamua kulifukia na kuanza upya.
Uongo huu hauna tofauti na aliondika mleta uzi...funguka akili wewe ajuza mwenzangu au ulizaa kabla ya ndoa ukaficha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana kwa tukio lako ni tofauti kabisa, huyo mwanamke alikudanganya tena vibaya, kitendo cha kumleta mwanae na kudai ni wa marehemu rafiki yake huo ni uongo mkubwa hata mimi siwezi kuusapoti hata kidogo,
Tukija kwenye tukio hili la mleta mada, Mama hakumwambia kama ana mtoto hadi pale mtoto alipomtafuta mama ake, so Mama alipaswa apewe nafasi kwanza kujua why alificha pili ibaki hivyo kama alivyotaka kuishi