USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

Lazima kakumbuka mengi alikuwa haelewi kamaa kusikia au kuona matendo ya mkewe.

Ila watoto wake ni wake asiwqtupe
 
Bora huyo alimficha, wengine wanawaua kabisa, hii Dunia Ina mengi!! Ila Kwa kumzalia watoto wanne, ajihakiki kama ni wake then asamehe saba Mara sabini, Kwa uzoefu looser mwisho WA game atakuwa baba
Asamehe na ndoa imevunjwa na mahakama. Nadhani kuna mengi zaidi ya hili, kosa hilo tu sidhani mahakama ingevunja hiyo ndoa
 
Basi nilidhani una akili kumbe wale wale, unasemaje watoto waliolala tumbo moja na kunyonya ziwa moja sio ndugu kisa baba zao tofauti?

Hebu usinichoshe mie kama unatafuta comments nyingi ushazipata
Sio ndugu hata kiroho sio ndugu
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Nawaza Kuna angle... Huyu baba alikuwa akitamani kumuacha huyo mwanamke na Sasa imepatikana.... Kalala nayo sambamba🤣😂
 
Bora huyo alimficha, wengine wanawaua kabisa, hii Dunia Ina mengi!! Ila Kwa kumzalia watoto wanne, ajihakiki kama ni wake then asamehe saba Mara sabini, Kwa uzoefu looser mwisho WA game atakuwa baba
Hawezi kuloose maana yeye anaendelea na maisha yake na anaoa mke mwingine basi
 
Asamehe na ndoa imevunjwa na mahakama. Nadhani kuna mengi zaidi ya hili, kosa hilo tu sidhani mahakama ingevunja hiyo ndoa
Kwani mahakamani Tanzania kama kosa kama hio inakataa kuvunja ndoa???

Kwa hio hata mtu akitakaa kuachana na mwenza wake hata bila fumanizi.
Yani kama ni kosa alifanya kipindi sio mke wala mume.
So mahakama inakaa kuvunja ndoa hio??
 
Wewe dada nimefuatilia posts zako una vitu hivi;

1. Una tabia ya faizafoxy
2. Una kisani sana utakuwa singo maza wewe.
3. Utakuwa akina mwajuma ndala ndefu wacheza vigodoro

Koma kafiri mkubwa weeee, single maza labda mama ako na wacheza vigodoro dada zako, unataka mawazo yote yafanane kama sio ushenzi ni nini?

Toa maoni yako sepa kule acha kudandia comments za wengine chokoraa mkubwa weee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa maelezo ya mtoa mada ni kua, mwanamke aliolewa akiwa ana miaka 21, na sasa mtoto ana miaka 20, hatujui sababu ya yeye kutengana na mtoto wake na hatujui sababu ya yeye kutokumwambia mumewe kua ana mtoto, mtoto alikua analelewa na baba ake, what if alinyang'anywa mtoto akaamua kuanza upya na huyo mume wake? Kwanini umuite muhuni kisa tu hakukwambia kuhusu mtoto,

Kwanini uumie sana hadi utoe talaka, alikuomba matumizi ya mtoto? Kama miaka yote mlikua vizuri hilo tu ndio umuache? hapo ni wazi ulikua unamtafutia sababu hakuna kingine unless kuwe na jambo lingine mleta mada halijui.
Sijamwita muhuni, nimesema that was my impression sio lazima iwe kweli, alaf wanawake wengi wanaoficha watoto kwa mume wao wanakuwaga ni wahuni hio inafahamika hata usimtetee.

Ww naelewa kwann unaona simple kwasababu ni mwanamke mwenzako ila ingekuwa vice versa mwanaume ndo kamficha mtoto usingekuwa unamsupport mwanaume.

Kuna siku mada kama hii ilianzishwa nikiwa kazini "kwamba mwanaume umefunga nae ndoa alaf baada ya miaka mitano analeta mtoto pale nyumbani anasema ni mtoto wake"
Aisee wanawake wanaliichangamkia ile mada hadi nilishangaa, kila mmoja anasema hio ndoa imekufa, alaf nyie mkileta watoto mnataka isiwe issue kubwa.

Hamna mtu mbinafsi kama mwanamke.
 
Braza huyu atakuwa mzaliwa wa pwani hasa mzaramo, kitu mapenzi hawajui zaidi ya kukulana tu na kushindana kukata viuno
Kati yangu mimi na wewe nani mwenye makasiriko, ndoa ya wengine mishipa ya vidole gumba unatunisha wewe, utasumbuka sana na mie mwenzio sina habari, nikilog out nina mawazo mengineeeee,

Peleka njaa zako kwa mama ntilie huko mwambie akujazie ukoko mwingi leo
 
Nawaza Kuna angle... Huyu baba alikuwa akitamani kumuacha huyo mwanamke na Sasa imepatikana.... Kalala nayo sambamba[emoji1787][emoji23]
Ukisema hivyo machokoraa wa humu watakuita majina yote, wao wanataka umsapoti huyo mjinga mwenzao ili wakupigie makofi na kukupa sifa kede kede, [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanaume anaachaje Ndoa yake kizembe hivyo kama sio kutafutiana sababu.
 
Back
Top Bottom