USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

Haya nasubiri story yako
Haya ni hivi: Mimi nilipokutana naye alikuwa na mtoto mmoja na hakunificha. Huyo mtoto baba yake ni wale wanaume wala maisha na hakuwa na habari naye wala alikuwa hamtunzi wala kuulizia lolote juu yake. Kwa kifupi ni kama alikuwa amemsahau. Basi akawa mmoja ya familia yetu na tukafanikiwa kupata wengine wawili. Vituko vilianza hapa. Nikapata safari ya kikazi ya miezi kadhaa. Nikiwa safarini nikasikia maneno maneno mengi juu yake, ya kutotulia na kuonekana na wanaume japo sikutilia maanani sana. Kurudi nikakuta kuna mtoto wa kiume mdogo kama miaka 12 nyumbani. Nilipoulizia huyu mtoto ni wa nani nikaambiwa ''mama yake alishafariki'' (alisema mama yake alikuwa rafiki yake sana) na huyo mtoto anaishi na baba yake. Nikaambiwa yuko likizo na amekuja kusalimia. Mambo yakaisha. Siku moja nilisafiri kwenda Arusha kwa wiki moja. Kumbe nilipoondoka ndugu zake walikuja na wakawa wanapiga story. (haya nilikuja kupenyezewa na mama mmoja mmbeya sana.) Na akaniambila alisikia wanapiga story huku akisema kuwa katika mimba ambazo hakuteseka kabisa ni ile ya yule wa mtoto wa kiume ambaye alisema ni mtoto wa rafiki yake aliyefariki. Hili likanifungua macho. Kuchunguza nikaona kuna ufanano kati yake na yule mtoto. Nikazama sehemu nikiwa na jina la mtoto. Nikakuta imeandikishwa mama ni yeye. Nikachunguza zaidi nikakuta kumbe nilipokuwa safari nikaambiwa alionekana na jamaa ni kweli na ni baba wa yule mtoto. Sasa niambie. Unataka niwe ''rijali'' (kama ulisevyosema wewe) na kusamehe upuuzi kama huu kwa sababu tu tumezaa na tulishaishi wote miaka kama kumi?
 
Wanawake ni wasiri mno mno.
 

Kama hana kosa lingine unasamehe
 
Sababu lazima anayo, hayo ni mambo yanayoongeleka na sio kuvunja ndoa, angemfumania hapo sawa ila sio hilo ni dogo sana kikubwa ni kumpa nafasi atoe sababu zake.
Wewe utakuwa umeficha mtoto au katika ukoo wenu kuna mpumbavu mmoja kafanya hilo
Yaani unamnyima haki mtoto wako kufurahia na kaka/dada zake...!! Huoni huyo mtoto unavyomtesa kisaikolojia?
Hujui km atakuwa mkubwa na kujua kwamba ulimficha kwa upumbavu wako wa kung'ang'ania penzi la ujanani?

Hujui familia yako pia utaitesa maisha yao yote kwa kuficha upumbavu wako kwa mmeo/mkeo?

Mwanamke/ mwanaume anaeficha mtoto kisa mapenzi hana tofauti na MUUAJI..

kiumbe ulichokileta duniani kuwa na fahari nacho hata kama kinaulemavu maana wengine wamekosa kabisaa...
 
Hapana kwa tukio lako ni tofauti kabisa, huyo mwanamke alikudanganya tena vibaya, kitendo cha kumleta mwanae na kudai ni wa marehemu rafiki yake huo ni uongo mkubwa hata mimi siwezi kuusapoti hata kidogo,

Tukija kwenye tukio hili la mleta mada, Mama hakumwambia kama ana mtoto hadi pale mtoto alipomtafuta mama ake, so Mama alipaswa apewe nafasi kwanza kujua why alificha pili ibaki hivyo kama alivyotaka kuishi
 
Njoo nikulishe na ukoo wako wote ewe faiza foxy usiye na maadili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Koma kuhusisha ukoo wetu na ujinga ujinga, pia koma kunichulia eti nimeficha mtoto,
Kama una hasira sana kaolewe wewe jimbo la huyo mjinga mwenzio lipo wazi ni wewe tu na uaminifu wako.
 
Koma kafiri mkubwa weeee, single maza labda mama ako na wacheza vigodoro dada zako, unataka mawazo yote yafanane kama sio ushenzi ni nini?

Toa maoni yako sepa kule acha kudandia comments za wengine chokoraa mkubwa weee [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatimaye nimempata bibi faizafoxy amefunua makucha wakuu.

Tulia usingo mama sio makasiriko acha gubu japo umekoma siku zako ulee wajukuu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njoo nikulishe na ukoo wako wote ewe faiza foxy usiye na maadili[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyooooooo, una hela wewe chokoraa ya kulisha ukoo wangu, akili zenyewe huna sasa huyo Faiza Foxy ulomkazania yupo wapi hapa,

Acha kutafuta kiki kwenye nyuzi za watu, wahi kwa Mama ntilie huko Ukoko usije ukaisha ukalala njaa.
 
Umegonga penyewe, huyu ni mayala kabisa, eti kuzaa na kuficha mtoto ni privacy????
Hata wamakonde sio wachafu kiasi hiki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini alificha. Jibu naweza kubuni japo sisemi kuwa niko correct. Alificha kwa sababu wanaume wengi hughairi kuoa wanawake wenye mtoto/watoto. Hili ni kosa ambalo wanawake wengi hulifanya. Ni bora useme ukweli kuliko kuficha. Ukificha hawa kama bwana hata-mind sana lakini maisha hayatakuwa kama yalivyokuwa asilan. Utajengeka ukuta mkubwa sana wa kukosa uaminifu kati yenu. Hata kwenye issue yangu alijitetea kuwa alificha kwa sababu aliona akisema ukweli kuwa ana watoto wawili ningeachana naye.
 
Ukisema hivyo machokoraa wa humu watakuita majina yote, wao wanataka umsapoti huyo mjinga mwenzao ili wakupigie makofi na kukupa sifa kede kede, [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanaume anaachaje Ndoa yake kizembe hivyo kama sio kutafutiana sababu.
Tuliwa wewe bibi kidawa muhun..i[emoji23][emoji23]
 
Hatimaye nimempata bibi faizafoxy amefunua makucha wakuu.

Tulia usingo mama sio makasiriko acha gubu japo umekoma siku zako ulee wajukuu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli wewe ni mwehu naona kuna jambo zito ulifanywa na Faiza sio kwa kuweweseka huku,

Hebu usiniambukize njaa zako mie, sina muda wa kujibizana na machokoraa.
 
Ndio ukisikia unakula kuku na mayai inakuwa Kama ivyo.
 
Huyo Dream queen ni wale wale wasio watulivu na hawataki kuulizwa kisa anaiita privacy, huyo dada hovyo sana
 
Huyu inaonyesha alizaa kabla ya ndoa, anatetea upupu sana
 
P
Tatizo hatujui majibu ya mwanamke baada ya mwanaume kujua.
 
Uongo huu hauna tofauti na aliondika mleta uzi...funguka akili wewe ajuza mwenzangu au ulizaa kabla ya ndoa ukaficha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…