Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 1,064
- 2,076
Single maza mwingine huyoooo!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo dada ana roho katili sana.Kuna vitu huwa havifichwi, yaani unafichaje damu yako kwa mfano? Kama anaona hawezi kuikubali damu yako asepe huko, mtoto ni zawadi na baraka, unamfichaje?
Una utani na wazaramo 😁Wewe unajielewa, msomo mzaramo/mtani wangu anaitwa Dream Queen anapuyanga sana humu
Kabila lenyewe ni la utaniUna utani na wazaramo [emoji16]
MnoooHuyo mwanaume ni mjinga mnmnoo
Mi nawaogopa,wanaweza wakakuchamba mpaka mpaka ukatoka damu puaniKabila lenyewe ni la utani
Kwangu atachamba hadi afe kabisaMi nawaogopa,wanaweza wakakuchamba mpaka mpaka ukatoka damu puani
Alichopitia huyo mwanaume si bure avunje ndoayaani lazima lazima alikuwa akikutana na Baba mtoto! haiwezekani mama amsahau mtoto wake daima aliyemweka kwenye tumbo lake miezi tisa.
naamini mpaka ndoa jamaaa ameamua kuivunja kuna vitu vingi sana vimepelekea ndoa hiyo kuvunjika.
uongo haudumu.
unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya wakati wote.
Huyo mwanamke Mungu anamuonaNamuelewa Mleta mada,
Itakuwa anajiuliza kama ni hivyo huyo mwanamke atakuwa amemdanganya mambo mangapi nyeti tangu wajuane
na kuanza kuishi pamoja hadi leo?
Hawezi kumuamini tena!
Wanasema ..it takes 7 to 10 yrs hiviWatu hawajuagi tu.
It takes years to be build a trust, but it takes a minute to destroy it.
Asomaye Na afahamu.
Nahisi mila zilizonikuza zimechangia kwa kiasi kikubwa kuwa hivi.Mkuu wewe ni mwana sana kama ndivyo ulivyo
Umesema sahihi Mkuu, ndiyo maana inashauriwa usifanye maamuzi ukiwa katika hali ya Furaha sana ama Hasira kali.Huyo jamaa walikua wameshachokana, amepata sababu tu ya kumwachia mkewe.
Kingine, angejipa muda wa kutulia na kutafakari, kama amefanya haya maamuzi haraka akiwa na hasira inaweza kuja kimgharimu mbele ya safari na kubadili mambo itakua mchakato mrefu.
Kingine unawezakuta huyo Mama alificha haya mambo akijua analinda ndoa yake matokeo yake mambo yameenda kinyume, inatokea kwenye maisha unawezafanya jambo Kwa Nia nzuri likapokelewa tofauti au matokeo yakawa sio yaliyotarajiwa.
Mwisho, hapa tumepata habari Kwa juu juu tu, Kuna mengi hayajasemwa, inakua ngumu kutoa maamuzi au ushauri Kwa hizi taarifa zilizoletwa. Mfano, huyu Mama alikua anahusikaje na matunzo ya huyo mtoto? Kulikua na mahusiano au mawasiliano ya aina Gani kati ya hao wazazi?
Ukute jamaa aliwahi kuulizia akaambiwa hakuna kitu kama hicho, Sasa akija kubaini lazima awe kifaru.
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.