Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

🤜🤛💪
Mr kiranga the gritaaa😅😅
 
🤜🤛💪
Mr kiranga the gritaaa😅😅
Mwanamme anamuogopa mke wake, halafu anafanya michezo ya hatari.

Chagua moja, unataka kuishi kwa kumuogopa mke wako au kwa kucheza michezo ya hatari?

Ukitaka kufanya yote kwa pamoja unaji contradict.

Yani unapoteza hata ule u barubaru wa kusema wewe ni dume la mbegu umesambaza mbegu duniani.

Unakuwa dume la mbegu la kusambaza mbegu duniani, halafu, unaogopa mke?
 
Kama namuogopa mwanamke/mke huku nasambaza mbegu inabidi nijitoe kwenye uwanaume.
💪niwe mvulana tu.
 
Mkuu hizi mali yeye kaniambia kashilikiana na mkewe kwa 100% .
Walikuwa wote hawana kitu , yeye na mkewe ndo wameshirikiana pamoja wakazipata hizo mali.
Sio yeye kachangia kwa 100.
Ni kama 50 kwa 50 hivi ba mkewe.
 
Hapo hakuna mke ni kufukuza tu labda kama jamaa ni marioo
 
Mkuu hizi mali yeye kaniambia kashilikiana na mkewe kwa 100% .
Walikuwa wote hawana kitu , yeye na mkewe ndo wameshirikiana pamoja wakazipata hizo mali.
Sio yeye kachangia kwa 100.
Ni kama 50 kwa 50 hivi ba mkewe.
Kwani wapi nimesema hakushirikiana na mke wake?
 
Kama ni mimi hapo wife angehama home na mtoto wake. Usiniulize kwanini. Hata simba wa porini hawezi kukubali kuletewa mchepuko kwenye himaya yake sembuse mtoto? Kama mtaita ubabe na mfumo dume sawa tuu.
 
Njia nyingine ya ku deal na hii ishu ni kuwajengea maisha hao watoto wa nje huko huko waliko wao na mama zao. Mfano unaweza kumfungulia mama yao biashara na ukawajengea mji wao, ili wajitegemee huko wasije kudai urithi uliochuma na mke wa ndoa.
 
Hii ndo njia mzuri nafikilk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…