Uchaguzi 2020 Ushauri: Ole Sabaya nakuomba Mbowe akikimbilia Moshi Mjini mfuate huko huko

Uchaguzi 2020 Ushauri: Ole Sabaya nakuomba Mbowe akikimbilia Moshi Mjini mfuate huko huko

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu.

Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya siasa ambazo Mbowe hajawahi kuziona kabla.

Mbowe baada ya kukaa na kamati kuu ya chama hicho wameshauriana ni aibu kwa Mwenyekiti wa chama kilichokuwa kikuu cha upinzani kuangushwa na mtoto mdogo Ole Sabaya kwenye uchaguzi.

Kamati kuu ya chama hicho imemuomba Mbowe aende kugombea Moshi Mjini ile hata akiangukia pua awe amepigwa na mtu mzima mwenzake kuliko kupigwa na mtoto mdogo Ole Sabaya.

Maombi: Ole Sabaya naomba akikimbilia Moshi mjini, mfuate hukohuko ukamchape fimbo.
 
Ni ngumu sana kumlinganisha Kiongozi na Mtawala. MBOWE ni Kiongozi, Sabaya ni Mtawala. Sisi kama wananchi tunahitaji Uongozi na Viongozi. Watawala aina ya Sabaya, ni ngumu kupita kwenye sanduku kihalali dhidi ya Kiongozi mwenye haiba ya aina ya Mbowe. Labda Sabaya apite kwa sabuni ya bafuni=Goli la Mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani siasa za Bongo bwana, unakuta huyu anayeamka anantukana mbowe hata chai ya 500 hajanywa, kwanini mnashindwa siasa za kistaarabu?
Hvi ulishawahi kujiuliza hvi vyama vya siasa visigekuwepo ungeishije? Kueni na heshima .
 
Hayo mapambio na matarumbeta mnayo piga hayaana ala za muziki zinazo weza kuchezeka, kwasababu kama kweli sabaya Anaweza kupambana na mbowe mbona miaka yote minne amekuwa akizuia mikatano ya mbowe jimboni ? Haitiwasaidia saana wengine jela znawasubiri Mara baadae ya utawala huu kufika mwisho wake , tusubiri tu hamtaamini
 
Ebu wajaribu tu kuacha kutumia police kwenye huu uchaguzi kama watafanikiwa kupata jimbo hata moja watapata.
Alafu yule demu wa sabaya aliepigwa simu na wahuni pale kabesta idi kashaipata
 
Back
Top Bottom