MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu.
Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya siasa ambazo Mbowe hajawahi kuziona kabla.
Mbowe baada ya kukaa na kamati kuu ya chama hicho wameshauriana ni aibu kwa Mwenyekiti wa chama kilichokuwa kikuu cha upinzani kuangushwa na mtoto mdogo Ole Sabaya kwenye uchaguzi.
Kamati kuu ya chama hicho imemuomba Mbowe aende kugombea Moshi Mjini ile hata akiangukia pua awe amepigwa na mtu mzima mwenzake kuliko kupigwa na mtoto mdogo Ole Sabaya.
Maombi: Ole Sabaya naomba akikimbilia Moshi mjini, mfuate hukohuko ukamchape fimbo.