Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

Wavivu kwa kulalamika,ndio kawaida yenu.Fanyakazi,anzisha miradi,fuga kuku,kuku wa nyama,kuku wa mayai.Lima bustani ya mboga mboga,fuga ng'ombe wa maziwa, fuga mbuzi,acheni uvivu.Watu wavivu wa kazi,hamuachi kulalamika.
 
Wengi wanaolalamika ni wavivu wa kazi.Fuga kuku,kuku wa nyama,kuku wa mayai,ng'ombe wa maziwa,lima bustani ya mboga,fuga mbuzi,acheni uvivu.
 
Point nyngine ni kukithiri kwa rushwa
Dereva wa daladala za kutokea huko ...kwenda Kawe kupitia Mikocheni ..kituo kimoja kabla ya cha JKT mtaniunga mkono juu ya hili. Wale Askari pale gari haipiti...


Mnaoenda ku - renew leseni pale TRA Makumbusho mnalijua hili yule Dada pale ndani ukienda bila kupitia kwa agent unazungushwa .. hadi upitie kwa agent ili utoe Rushwa ya sio zaidi ya 100,000 ndipo upate leseni na unaelezwa kabisa kwenye hii pesa 10,000 ni ya askari.
 
Unaelewa maana ya kichaa?. Kwa hivyo marekani na intelligence yao yote wakaokota kichaa wakampa urais?. Tatizo mtu akijisimamia na misimamo yake tunamuita majina Kama kichaa nk kisa tunapenda wanafiki.
Kichaa Ina tafsiri nyingi sio hio unayomaanisha
 
Kwani Yule Jiwe kichaa alistahiki nyie vipi? Mnamfananisha mama na Jiwe mnaakili za wapi rais PhD holder anashindwa kunyosha sentence moja iliyo nyoka ya kiengereza?

Alifanya nini Zaid ya kutaka kuwafilisi kila aliemuona amefanikiwa?

Alifanya nini zaidi ya Kufanya Bodi ya Mikopo kama kifaa chakuwakamulia pesa wanafunzi maskin

Mmesahau utekaji wakijinga UTAWALA wakilimbukeni ushamba uliokisir

Unaongoza Nchi kisha unajitenga na dunia eti mabeberu diplomas ya dunia huifahamu kisha ujenge Nchi Kwa kujifungia CHATO

KAFUGENI NGOMBE UTAWALA C KAZI YENU

TUKUTANE 2030
 
Mh. Rais Mama Samia hakika kama unaupitia huu uzi, elewa kabisa lile kundi la yule mzee aliyekuambia adui yako yupo ndani ya CCM na lililokuaminisha kuwa mbaya wako alikuwa Dkt Magufuli na mfumo wake ndiyo hili ambalo linakuandalia shutuma/mashitaka kwa watanzania. Lengo lao tangu mwanzo ni kuhakikisha wanakupa ushauri wa kukupotosha ili uonekane hujui/huwezi kuongoza na wao tena wakushauri eti usiendelee na urais. Hili genge ni kubwa na ukikaa vibaya maandamano yataanza ili wakuondoe kwa kigezo umeshindwa kuendesha nchi ili waweke mtu wao. Kumbuka JF tulikupatia tahadhari tangu mwanzo kuwa wewe mama ulikuwa na msingi mzuri wa kutawala kwa sababu Dkt Magufuli alijenga mfumo ambao uliaminiwa na watanzania wote, wewe hukupaswa kabisa kuanza kujitutumua kuonesha wewe ndiye rais bali ulitakiwa ujue watanzania walikuwa tayari wanayaogopa na kuheshimu mamlaka ya rais, ila wewe tu ulipoanza hizo ngojera basi watu wakajua kumbe wewe ni dhaifu na haukuwa pamoja na Dkt Magufuli.

Chakufanya:
Bado muda unao na Watanzania Mama tunakupenda mno (yaani mpaka machozi), wewe ni mwanamke wa kwanza rais tena msomi mwenye exposures ya kimataifa.

Kaa ujitafakari wewe kama rais, tengeneza mfumo wako wa ushauri ambao wenye maslahi ya nchi. Angalia moja wa washauri wa Dkt Magufuli, watafute watumie.

Kubali tu kujitoa muhanga kwani bora ufe kwa kukataa masharti ya magenge ya waharifu.

Iga hata mfumo wa Dkt Mwinyi au wa Mwl Nyerere na ule wa Dkt Magufuli.

Ondoa kabisa wateule wenye viashiria vya kukosa maadili kama Nape, Makamba, Kinana (hapa nakukumbusha, yule mkwe wako Mchengerwa wala hakuna anayemsema vibaya kwa sababu ana maadili ya kiuongozi), ila hao akina Nape ni bomu.

Tengeneza imani kwa watanzania kwa kushusha mfumuko wa bei.
 
Hata kwa jeki atoboi bora tumpe Lisu, we lamba asali za mikopo za mwisho mwisho
 
Kelele nyingi kwa sababu hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Bepari2020 hapana kabisa nakataaa hivyo vitu siyo kisingizio. Mama yeye alijichanganya kwa kuanza kufuata ushauri potofu. Yaani kuna ka kikundi kapo busy kumpotosha ili achukiwe. Mama kama yeye hana tatizo ni kiongozi mzuri mno. Ukitaka kujua hana tatizo wewe ona tu mkwe wake Mchengerwa hakuna nayempigia kelele amuondoe ila cheki huyo Makamba na Nape na Kinana. Ningekuwa mi rais ningetumia mbinu ya kuwaondoa akina Makamba
 
Usinikumbushe balaa nililokutananalo Tazara wale wutu wanataka sio wanaomba nilipambanao walinipigisha kwata wiki nzima sikutoa hata mia ila chamoto nilikipata ofice za TRA za lesen sijui uhamiaji kutafuta pasport au kubadilisha passport jipange bila kupitia kwa vishoka utasumbuliwa sana,nfano kwenye kubadili passport ukiingia kwenye wesite ya uhamiaji kuomba form kuna kipengele kimewekwa makusudi kubabaisha watu ni lazima ujaze nchi unakotaka kwende nikajiuliza passport ninayo zaidi ya mika sita muda wake wa matumizi bado nalazimishwa kubadili gharama za kubadili nikubwa bado naulizwa nataka kubadili passport kwenda nchigani jambo la kusikitisha sana
 
Japo sijasoma kumaliza lakini nimeona ni maandishi yenye mundelezi wa kijinga jinga tu.
Mleta mada hauna akili kabisa. Rais mama Samia anaendeaha nchi vizuri sana kwa msingi wa kisheria na katiba.
Tanzania inapiga hatua mbele na kama kuna changamoto yoyote basi ni hali ya dunia yote kama Corona, na vita ya Ukraine iliyosababisha baadhi ya vitu kupanda kama Chakula na mafuta duniani kote

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu
Umeanika nondo ambazo kila mwenye fikra akizipitia anazikubali...

Bunge butu haliwezi kumuwajibisha rais
 
Hata kwa jeki atoboi bora tumpe Lisu, we lamba asali za mikopo za mwisho mwisho
Umeongea point kwasabu gani ukifatili mtifuano ni ccm timu JPM na timu SSH sio kwamba wanauchungu na nchi bali wamekatiana milija ndiomaana wanasutana , hizi nyuzi zimeongezeka sana siku za karibuni tunasoma na kuzipita bilakuongea chochote hawa watu ni ccm tumbo moja mama tofauti
 

Hapa lengo la kumponda mama ni kutaka kumsifia Magufuli. Kwa ujanja sana hujamtaja ili tusione dhamira yako ilipo. Ni hivi, Magufuli alipora uchaguzi akaweka wanaccm kila mahali kuanzia watendaji, madiwani, mpaka wabunge. Sasa kama nchi inaongozwa na CCM ambao tuliambiwa ni wazalendo, kwanini hawahakikishi haya malalamiko yako yanafanyiwa kazi? Simsifii huyu mama wala kumtetea, lakini yeye ni bora kuliko Magufuli fullstop.
 

Sawa kabisa, halafu wanadhani hatujui dhamira yao ni nini? Hizi nyuzi za sasa za kumponda mama Samia, zinaletwa na kundi dhalimu la Magufuli wakiamini tumesahau ukatili tuliifanyiwa chini ya Magufuli. Hakuna mwanaccm bora, bali kuna afadhali tu kati yao.
 
Ulivyoitaja Ghana nikaacha kusoma
 
Wewe huoni huyu mama wanamzunguka,na yeye ame base Zanzibar??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…