Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

Mwana kulitafuta, mwana kulipata twende tu ,utapata unachokitaka
 
safi sana mkuu umedadavua vyema
 
Yaani unamshawishi mtu usiempenda ili uishi nae ???? Alafu baada ya kumzalisha unaona ni mateso kuishi nae?? Utakua na tatizo
 
Sija maliza mpaka mwisho lkn nacho weza kusema sisi wanaume kuna wakati tuna potea sana kutafta wanawake wenye mvuto wa kimapenzi, wakati ukisha muoa unamuona wakawaida sana na kuaza kutamani wengine.
Na asililimia kubwa hawa wanawake wenye mvuto vichwani ni weupe sana hawana akiri za maisha zaidi ya kutaka kumantain uzuri wao. Na mara chache sana hutoa mawazo ya kiendeleza familia kwa maani mawazo ya kuiingiza kipato. Mda mwingi yeye atatoa matumizi tu.
I stand to be corrected
 
Sasa ngoja umpate huyo unayempenda nayeye hakupendi,utakuwa mtumwa maisha yako yote......oa huyuhuyu uliyezaa naye......hao wengine watakusumbua utakuja kumpigia magoti huyu too late
 
What's goes around comes around ,

Broo utampata unayempenda na asiyekupenda pia
 
Comment bora kabsa ya kufungia mwaka.
 
Mungu alivyokuwa fundi, utampata mpya huyo unayehitaji kuwa na hisia naye na atakuchapa matukio uanguke ufe kwa stress na depression... meanwhile kamama samia ka baadae katakuwa kameshapata baba wa kambo anayejali na atalelewa safi tu..
&*& zako. Kama hukuwa ukimpenda ulimwita mara ya pili ukae naye na kumtia mimba vya nini!?
 
Jambo moja ambalo huwa asilani nashindwa kuelewa watu. Mkuu, wewe kwanza ni opportunist. Ukiachilia mbali kwamba hukumpenda ulitaka kujiburidisha tu.

Mara ya pili kwakua mambo yako hayakua yakiwnda poa ndo ukaona umtafute ili akisaidie shughuli zako. Kwahiyo baada ya kukusaidia na uchumi ukapanda ghafla basi ndo ukaona hafai. From the scratch wewe ni mbinafsi. Hii ya kisema sijui ulitaka uendelee kujifunza kumpenda ni uongo na mnafiki. Ulitaka kupunguza gharama za operating kwa kumuweka yeye kama mpenzi ili usimlipe. Mambo yamekua mazuri ndo hafai.

Inafurahisha zaidi una mpenz ndo kwanza yuko advance[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] niko eager sana kujua umri wako mkuu. Unayajua mambo ya chuo wewe? Unaijua safari yake bado ni ndefu kiasi gani? Sitaki kusema sana.

Nikuhakilishie, kuna wanawake wengine wajapo katika maisha yako ni barakaa. Na biashata yako ukute ilichanua kwa kupitia mgongo wake. Siku ikiyumbaaaaaa ndo utaelewa vzr.

Sikuambio umuache ama umrudie, akili kumkichwa. Wewe ndo umenishangaza kulala na kuishi na mtu mpaka kuzalishana na humpendi. Muda wako waja
Tuko hapahapa. Kama utakua na mwingine, nakushauri sana epuka hili. Epuka sana. Naongea kwa experience. Ni mbaya sana nakuambia. Baadae usije kuishia kumtafuta unamuomba msamaha akusamehe ili mambo yako yaende
 
Kwa uwezo huu aliotuonesha anaonekana kabisa bado ni mtoto hajapevuka. Umejitahidi kumwelezea kwa mapana kama akielewa itakuwa bahati yake
 
Kwa uwezo huu aliotuonesha anaonekana kabisa bado ni mtoto hajapevuka. Umejitahidi kumwelezea kwa mapana kama akielewa itakuwa bahati yake
Lets hope ataelewa mkuu. Haya mambo tumetapitia. Mtu anakwambia kbs sijawahi kukupenda i was just having fun. Haya machozi huwa ni mabaya sana asikwambie mtu. Wala sikumshtakia mtu kwa Mungu. Umashangaa tu unaombwa misamaha ya kutosha ili mambo yake yaachiliwe Mungu anamuadhibu sana. Kuna watu wana dharau nyie acheni tu. Mpaka leo wanahangaila na dunia tu
 
Mkuu nakuona unaomgea through Experience..
 
Unajikuta unapambana kumfurahisha mtu ambaye anakuona option. Hii ni mbaya zaidi kwetu wanaume sababu mwanamke wako kuna possibility ya 90% atakazwa nje tu na watu wampendao.
Ukishaligundua hilo hata ile furaha utakuwa huna tena.
Mkuu hiz point unamwaga hapa ni Hatari sana..
Nakuona nakuona ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…