Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sana mkuu umedadavua vyemaNimesoma comment zote so far zilizotolewa
Zaidi ya asilimia 90% wanashauri kuwa usifanye hivyo kwani karma itakuja kukuwajibisha. Ni wachache wenye mtazamo kinzani na huo kuwa usiogope kutafuta kile unachokipenda coz sio afya either kuishi kwa kuogopa kuonekana mbaya.
Kundi la kwanza mbali na kusisitiza uwajibikaji ila hoja yao imejengeka kihisia ya hofu, kuwa bila shaka utalipia na utateseka pia. Swali ni kuwa mbona hata sasa unavyoishi nae pia unateseka na hauna furaha???
Maisha siku zote ni kuchagua. Hakuna maisha yaliyokamilika ila ni vizuri kuchagua yale yanayokupa amani na kijisikia vizuri. Maisha yana maudhi sana hivyo ni busara kujaribu kuyaishi katika mazingira yenye shock absorber and stress relief.
Sina uzoefu mkubwa na maisha haya ila naamini always kuna fursa ya kuchagua vyema Kama unahisi umekosea. Kuanza upya sio ujinga wala udhaifu ila ni kuwa na mtazamo chanya wa kuwa you deserve the best.
Daima Kuna changamoto kupata ushauri wa mambo ya mahusiano hasa kunapokua na msingi wa kihisia ndani yake Kama hilo la kutojulikana hatima ya mtoto, na bahati mbaya hujaeleza unavyowajibika au una mipango ipi umeiweka juu ya future ya mwanao.
Ni vizuri kuwa mwajibikaji. Sifa hii ndo inafanya watu ku surcrifice maisha na ku compromise a lot ili tu kubalance mambo . Ndoa nyingi Kama sio zote wanandoa sio kuwa wanafurahia Sana na kulizika bali kinachowaweka pamoja ni hiyo sense ya uwajibikaji.
Hivyo bro ni wakati wako wa kufanya maamuzi. Zingatia mantiki na uhalisia wa mambo na sio hofu pale unapotaka kufanya maamuzi. Zaidi Sana zingatia ndoto zako na maono ya maisha yako. Tunaishi mara moja huna sababu ya kuishi maisha yako kwa huzuni na majuto.
We jamaa wewe dahNipe namba yake nimsagie kunguni, uhusiano ufe fastaaaa
Sija maliza mpaka mwisho lkn nacho weza kusema sisi wanaume kuna wakati tuna potea sana kutafta wanawake wenye mvuto wa kimapenzi, wakati ukisha muoa unamuona wakawaida sana na kuaza kutamani wengine.Habari wadau! Katika mihangaiko ya hapa na pale kuna binti nilimkuta mahali, kifupi nikamtamani na nikataka nipite tu.
Baada ya mbinu za hapa na pale, alinipa namba na tukajikuta penzini, baada ya mawasiliano ya kama wiki, nilimwambia aje home.. nilitaka kula mzigo akabana na mimi kulazimisha huwa siwezi na ukizingatia sikumuelewa kabisa ikabidi nimpotezee mazima.
Yule binti baada ya hapo hakukata tamaa aliendelea kunitafuta mara kwa mara, kila mara alikuwa akianza yeye, pamoja na kumchunia kote hakukata tamaa na kipindi hicho alikuwa hayupo tena mkoa niliokuwepo!
Muda ulienda ikapita kama miaka miwili, mimi juhudi zangu za kupata mwenzi zikawa zinagonga mwamba, kuna wakati uchumi wangu uliyumba sana na kwa vyovyote nilikuwa nahitaji mtu wa kusimamia shughuli zangu ili mimi nipambane kivingine.
Huyu binti nilimpanga nianze kuishi naye akakubali, hapo kiukweli moyo haukuwepo kabisa kwake, kilichonivuta kwake ni ule uvumilivu na kutoomba hela kabisa. Nikajipa moyo pengine nitampenda nikianza kuishi naye.
Baada ya kama miezi mitatu, alipata ujauzito na mimi mambo yangu angalau yakaanza kwenda mbele. Hapo kuna mwanamke wangu ambaye alikuwa bado A level nilikuwa nachatt naye bado. Kuna siku alikuta sms, akatishia kuondoka akafunga mpaka mabegi, nikaona isiwe kesi nikaomba msamaha nikaita mpaka mtu akaniombea msamaha maisha yakaendelea.
Wakuu kuishi na mtu usie na hisia naye ni kazi sana, nikawa naona yote nafanya kumfurahisha yeye tu, kweli ananipenda sawa lakini kwangu je? Nitajidanganya mpaka lini, nikawa nawaza sana hivi huyu kweli ndo wa kufa na kuzikana? Kifupi sikuwahi kuwa proud na yeye hata siku moja, mapenzi yakageuka mateso bila chuki, hakuna kitu kigumu kama unalala na kuamka na mtu ambaye humpendi na wala huna hisia naye
Miezi ilienda mimba ikawa kubwa ikabidi arudi kwao kujifungua, hapo kwao hawanifahamu zaidi ya kuwasiliana na dada ake. Miezi ilienda akajifungua mtoto wa kike, copy yangu kabisa..furaha yake ilikuwa kubwa ila mimi kwangu ilikuwa tofauti nikawa nawaza sana hatma yetu.
Ilipita miezi kadhaa nikawafuata wakarudi nyumbani, hapo furaha sina najilazimisha tu. Mwanamke naye akaanza visirani vya hapa na pale, tatizo dogo mara atishie kurudi kwao, mara naenda lini kujitambulisha (moyoni nikawa najisemea huyu angejua).
Basi kuna siku katika pita pita huko mtaani kuna binti nikapata namba yake nikaanza kumtongoza kwa kutumia kisimu kidogo, sms inbox nikawa nafuta dah kumbe nilisahau kusett sent item zijifute, basi kwenye pekua pekua yake akakuta zile sms, akalia sana mara mimi nataka kumuua sijui mtoto mdogo n maneno mengine mengi sana.(kifupi toka nimekuwa naye sikuwahi chepuka kabisa). Basi baada ya hapo minuno ikaanza, nikijaribu kujirudi anakaza, nikasema poa isiwe shida.
Siku moja niliamka asubuh, sikumsemesha kitu akaweka maji bafuni sikuoga wala chai aliyoandaa sikunywa nikaondoka zangu, baadaye akatuma sms kwa haya maisha yamemchosha nikamwambia sawa, akataka nauli na mtaji. Nikamwambia mm nina nauli tu, akasema bila mtaji haondoki nikamwambia nauli hiyo hapo, ukiondoka sawa usipoondoka sawa ni wewe.
Kweli akakusanya mazaga yake, asubuh nikawapeleka ubt, wakaondoka. Niseme tu ukweli siku hiyo nilijihisi kutua mzigo mzito sana, nafsi ikawa nyeupe sana, japo nilijua nilimkosea na kumpotezea muda lakini ningefanyeje.
Sasa baada ya kuondoka haikupita hata wiki akaanza kuomba kurudi na kuomba msamaha sana. Kiukweli mimi sikuwa tayari, niligoma na sasa ni mwaka umepita tangu aondoke, kifupi bado sijapata mwanamke wa kueleweka atakayetuliza moyo wangu, kwenye hili wala sina haraka najipa moyo nitampata tu hata kama nitatumia miaka kumpata.
Sasa changamoto inakuja huyu mama wa mtoto wangu, bado hajakata tamaa mpka leo anaamini atarudi kwangu, kumwambia ukweli kwamba simpendi naona itamuumiza sana na hii sioni kama ni option nzuri.
Kwa wazoefu wa mambo, nitumie njia gani kumfanya huyu mwanamke aendelee na maisha yake, najua anadeserve furaha na kupendwa, but kwangu hivyo havipo na kamwe hatakuja kuvipata. Je nitumie njia gani kumuweka ajue kwamba hana nafasi kwenye maisha yangu.
Sawa kabisaKakaa lavi01 Acha masihara me nashauri mchukue huyo Mwanamke, Anakufaa huyo
Hapo unaruka mkojo utakanyaga mavi [emoji28]
What's goes around comes around ,Habari wadau! Katika mihangaiko ya hapa na pale kuna binti nilimkuta mahali, kifupi nikamtamani na nikataka nipite tu.

Comment bora kabsa ya kufungia mwaka.Nimesoma comment zote so far zilizotolewa
Zaidi ya asilimia 90% wanashauri kuwa usifanye hivyo kwani karma itakuja kukuwajibisha. Ni wachache wenye mtazamo kinzani na huo kuwa usiogope kutafuta kile unachokipenda coz sio afya either kuishi kwa kuogopa kuonekana mbaya.
Kundi la kwanza mbali na kusisitiza uwajibikaji ila hoja yao imejengeka kihisia ya hofu, kuwa bila shaka utalipia na utateseka pia. Swali ni kuwa mbona hata sasa unavyoishi nae pia unateseka na hauna furaha???
Maisha siku zote ni kuchagua. Hakuna maisha yaliyokamilika ila ni vizuri kuchagua yale yanayokupa amani na kijisikia vizuri. Maisha yana maudhi sana hivyo ni busara kujaribu kuyaishi katika mazingira yenye shock absorber and stress relief.
Sina uzoefu mkubwa na maisha haya ila naamini always kuna fursa ya kuchagua vyema Kama unahisi umekosea. Kuanza upya sio ujinga wala udhaifu ila ni kuwa na mtazamo chanya wa kuwa you deserve the best.
Daima Kuna changamoto kupata ushauri wa mambo ya mahusiano hasa kunapokua na msingi wa kihisia ndani yake Kama hilo la kutojulikana hatima ya mtoto, na bahati mbaya hujaeleza unavyowajibika au una mipango ipi umeiweka juu ya future ya mwanao.
Ni vizuri kuwa mwajibikaji. Sifa hii ndo inafanya watu ku surcrifice maisha na ku compromise a lot ili tu kubalance mambo . Ndoa nyingi Kama sio zote wanandoa sio kuwa wanafurahia Sana na kulizika bali kinachowaweka pamoja ni hiyo sense ya uwajibikaji.
Hivyo bro ni wakati wako wa kufanya maamuzi. Zingatia mantiki na uhalisia wa mambo na sio hofu pale unapotaka kufanya maamuzi. Zaidi Sana zingatia ndoto zako na maono ya maisha yako. Tunaishi mara moja huna sababu ya kuishi maisha yako kwa huzuni na majuto.
Mungu alivyokuwa fundi, utampata mpya huyo unayehitaji kuwa na hisia naye na atakuchapa matukio uanguke ufe kwa stress na depression... meanwhile kamama samia ka baadae katakuwa kameshapata baba wa kambo anayejali na atalelewa safi tu..Habari wadau! Katika mihangaiko ya hapa na pale kuna binti nilimkuta mahali, kifupi nikamtamani na nikataka nipite tu.
Baada ya mbinu za hapa na pale, alinipa namba na tukajikuta penzini, baada ya mawasiliano ya kama wiki, nilimwambia aje home.. nilitaka kula mzigo akabana na mimi kulazimisha huwa siwezi na ukizingatia sikumuelewa kabisa ikabidi nimpotezee mazima.
Yule binti baada ya hapo hakukata tamaa aliendelea kunitafuta mara kwa mara, kila mara alikuwa akianza yeye, pamoja na kumchunia kote hakukata tamaa na kipindi hicho alikuwa hayupo tena mkoa niliokuwepo!
Muda ulienda ikapita kama miaka miwili, mimi juhudi zangu za kupata mwenzi zikawa zinagonga mwamba, kuna wakati uchumi wangu uliyumba sana na kwa vyovyote nilikuwa nahitaji mtu wa kusimamia shughuli zangu ili mimi nipambane kivingine.
Huyu binti nilimpanga nianze kuishi naye akakubali, hapo kiukweli moyo haukuwepo kabisa kwake, kilichonivuta kwake ni ule uvumilivu na kutoomba hela kabisa. Nikajipa moyo pengine nitampenda nikianza kuishi naye.
Baada ya kama miezi mitatu, alipata ujauzito na mimi mambo yangu angalau yakaanza kwenda mbele. Hapo kuna mwanamke wangu ambaye alikuwa bado A level nilikuwa nachatt naye bado. Kuna siku alikuta sms, akatishia kuondoka akafunga mpaka mabegi, nikaona isiwe kesi nikaomba msamaha nikaita mpaka mtu akaniombea msamaha maisha yakaendelea.
Wakuu kuishi na mtu usie na hisia naye ni kazi sana, nikawa naona yote nafanya kumfurahisha yeye tu, kweli ananipenda sawa lakini kwangu je? Nitajidanganya mpaka lini, nikawa nawaza sana hivi huyu kweli ndo wa kufa na kuzikana? Kifupi sikuwahi kuwa proud na yeye hata siku moja, mapenzi yakageuka mateso bila chuki, hakuna kitu kigumu kama unalala na kuamka na mtu ambaye humpendi na wala huna hisia naye
Miezi ilienda mimba ikawa kubwa ikabidi arudi kwao kujifungua, hapo kwao hawanifahamu zaidi ya kuwasiliana na dada ake. Miezi ilienda akajifungua mtoto wa kike, copy yangu kabisa..furaha yake ilikuwa kubwa ila mimi kwangu ilikuwa tofauti nikawa nawaza sana hatma yetu.
Ilipita miezi kadhaa nikawafuata wakarudi nyumbani, hapo furaha sina najilazimisha tu. Mwanamke naye akaanza visirani vya hapa na pale, tatizo dogo mara atishie kurudi kwao, mara naenda lini kujitambulisha (moyoni nikawa najisemea huyu angejua).
Basi kuna siku katika pita pita huko mtaani kuna binti nikapata namba yake nikaanza kumtongoza kwa kutumia kisimu kidogo, sms inbox nikawa nafuta dah kumbe nilisahau kusett sent item zijifute, basi kwenye pekua pekua yake akakuta zile sms, akalia sana mara mimi nataka kumuua sijui mtoto mdogo n maneno mengine mengi sana.(kifupi toka nimekuwa naye sikuwahi chepuka kabisa). Basi baada ya hapo minuno ikaanza, nikijaribu kujirudi anakaza, nikasema poa isiwe shida.
Siku moja niliamka asubuh, sikumsemesha kitu akaweka maji bafuni sikuoga wala chai aliyoandaa sikunywa nikaondoka zangu, baadaye akatuma sms kwa haya maisha yamemchosha nikamwambia sawa, akataka nauli na mtaji. Nikamwambia mm nina nauli tu, akasema bila mtaji haondoki nikamwambia nauli hiyo hapo, ukiondoka sawa usipoondoka sawa ni wewe.
Kweli akakusanya mazaga yake, asubuh nikawapeleka ubt, wakaondoka. Niseme tu ukweli siku hiyo nilijihisi kutua mzigo mzito sana, nafsi ikawa nyeupe sana, japo nilijua nilimkosea na kumpotezea muda lakini ningefanyeje.
Sasa baada ya kuondoka haikupita hata wiki akaanza kuomba kurudi na kuomba msamaha sana. Kiukweli mimi sikuwa tayari, niligoma na sasa ni mwaka umepita tangu aondoke, kifupi bado sijapata mwanamke wa kueleweka atakayetuliza moyo wangu, kwenye hili wala sina haraka najipa moyo nitampata tu hata kama nitatumia miaka kumpata.
Sasa changamoto inakuja huyu mama wa mtoto wangu, bado hajakata tamaa mpka leo anaamini atarudi kwangu, kumwambia ukweli kwamba simpendi naona itamuumiza sana na hii sioni kama ni option nzuri.
Kwa wazoefu wa mambo, nitumie njia gani kumfanya huyu mwanamke aendelee na maisha yake, najua anadeserve furaha na kupendwa, but kwangu hivyo havipo na kamwe hatakuja kuvipata. Je nitumie njia gani kumuweka ajue kwamba hana nafasi kwenye maisha yangu.
Kwa uwezo huu aliotuonesha anaonekana kabisa bado ni mtoto hajapevuka. Umejitahidi kumwelezea kwa mapana kama akielewa itakuwa bahati yakeJambo moja ambalo huwa asilani nashindwa kuelewa watu. Mkuu, wewe kwanza ni opportunist. Ukiachilia mbali kwamba hukumpenda ulitaka kujiburidisha tu.
Mara ya pili kwakua mambo yako hayakua yakiwnda poa ndo ukaona umtafute ili akisaidie shughuli zako. Kwahiyo baada ya kukusaidia na uchumi ukapanda ghafla basi ndo ukaona hafai. From the scratch wewe ni mbinafsi. Hii ya kisema sijui ulitaka uendelee kujifunza kumpenda ni uongo na mnafiki. Ulitaka kupunguza gharama za operating kwa kumuweka yeye kama mpenzi ili usimlipe. Mambo yamekua mazuri ndo hafai.
Inafurahisha zaidi una mpenz ndo kwanza yuko advance[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] niko eager sana kujua umri wako mkuu. Unayajua mambo ya chuo wewe? Unaijua safari yake bado ni ndefu kiasi gani? Sitaki kusema sana.
Nikuhakilishie, kuna wanawake wengine wajapo katika maisha yako ni barakaa. Na biashata yako ukute ilichanua kwa kupitia mgongo wake. Siku ikiyumbaaaaaa ndo utaelewa vzr.
Sikuambio umuache ama umrudie, akili kumkichwa. Wewe ndo umenishangaza kulala na kuishi na mtu mpaka kuzalishana na humpendi. Muda wako waja
Tuko hapahapa. Kama utakua na mwingine, nakushauri sana epuka hili. Epuka sana. Naongea kwa experience. Ni mbaya sana nakuambia. Baadae usije kuishia kumtafuta unamuomba msamaha akusamehe ili mambo yako yaende
Lets hope ataelewa mkuu. Haya mambo tumetapitia. Mtu anakwambia kbs sijawahi kukupenda i was just having fun. Haya machozi huwa ni mabaya sana asikwambie mtu. Wala sikumshtakia mtu kwa Mungu. Umashangaa tu unaombwa misamaha ya kutosha ili mambo yake yaachiliwe Mungu anamuadhibu sana. Kuna watu wana dharau nyie acheni tu. Mpaka leo wanahangaila na dunia tuKwa uwezo huu aliotuonesha anaonekana kabisa bado ni mtoto hajapevuka. Umejitahidi kumwelezea kwa mapana kama akielewa itakuwa bahati yake
Mkuu nakuona unaomgea through Experience..Heheheh na hapo ndipo karma itakapomshughulikia 😂😂😂 unless awe hana mvuto kabisa ila mwanamke atakayenipenda nikajua ananipenda haswa sintomuacha. Soko la wanawake limejaa matapeli sana ukipata mwanamke real kwako namna hio aheri utulie tu kabla hujaangukiwa kwa jambazi la kike. Ndicho kitakachofuata, jamaa atapata mwanamke atampenda ila atafanyiwa vimbwanga hadi akome.
Mkuu hiz point unamwaga hapa ni Hatari sana..Unajikuta unapambana kumfurahisha mtu ambaye anakuona option. Hii ni mbaya zaidi kwetu wanaume sababu mwanamke wako kuna possibility ya 90% atakazwa nje tu na watu wampendao.
Ukishaligundua hilo hata ile furaha utakuwa huna tena.
Na hapa ndo noma sasaUsijali, utapata unayempenda ila asiyekupenda!