Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

Namjua ila ndio keshaniibia.
Hili lipo kwa wenye mamlaka hayo (polisi)
Lawama zangu kwa voda ni iweje line niliyosajili kwa NIDA yangu, LESENI YA BIASHARA yangu TIN number yangu.
Alafu mfanyakazi wangu aweze kukopea bila mimi kuwa na taarifa?
Unatoaje milioni hizo bila uthibitisho kuwa mimi mteja wako ndiye ninayekopa?
Namba ya siri
 
Screenshot_20241011_081639.jpg
loo
 
Sitaki salamu na mtu!

Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa.

Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500

Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa kufungua kesi.

Inakuwaje line yangu ya biashara aweze kukopea mtu mwingine?

Mimi huduma niliyosajiliwa kwenu ni pamoja na hiyo ya kuomba mikopo?

Hamjui kuwa kwenye viduka vyetu tunafanya kazi na watu wa mshahara?

Uthubutu wa kukopesha ovyo mmeupata wapi?
Kiasi Unachoweza kukopeshwa ni kutokana na transaction zako za mpesa ndio mana umepata 2m ña si kutokana na mtu amayetumia line. System haijui kama hizi ussd codes zinabonyezwa na mambia kwa wakati huu, madaam password za mpesa ni hazijakosewa mara tatu mfululizo huyo ni wewe kabisa. Suluhisho ni kupata mtu muaminifu na unayemfahamu.
Sitaki salamu na mtu!

Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa.

Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500

Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa kufungua kesi.

Inakuwaje line yangu ya biashara aweze kukopea mtu mwingine?

Mimi huduma niliyosajiliwa kwenu ni pamoja na hiyo ya kuomba mikopo?

Hamjui kuwa kwenye viduka vyetu tunafanya kazi na watu wa mshahara?

Uthubutu wa kukopesha ovyo mmeupata wapi?
 
Sitaki salamu na mtu!

Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa.

Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500

Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa kufungua kesi.

Inakuwaje line yangu ya biashara aweze kukopea mtu mwingine?

Mimi huduma niliyosajiliwa kwenu ni pamoja na hiyo ya kuomba mikopo?

Hamjui kuwa kwenye viduka vyetu tunafanya kazi na watu wa mshahara?

Uthubutu wa kukopesha ovyo mmeupata wap

Haya makampuni ya simu ni ya wanasiasa wa CCM.
Hivyo isitegemee kutendewa haki .
Rd Waziri Nape aliyadekeza sana haya makampuni ya Mapapa ndani ya CCM.
 
Namjua ila ndio keshaniibia.
Hili lipo kwa wenye mamlaka hayo (polisi)
Lawama zangu kwa voda ni iweje line niliyosajili kwa NIDA yangu, LESENI YA BIASHARA yangu TIN number yangu.
Alafu mfanyakazi wangu aweze kukopea bila mimi kuwa na taarifa?
Unatoaje milioni hizo bila uthibitisho kuwa mimi mteja wako ndiye ninayekopa?
Uelewa wako ni duni sana ,unajidai kuuliza maswali ili yaonekane ni logic questions kumbe ni upupu,wewe ndo ulimpa access huyo msimamizi wa Laini Yako na ukampa password,Sasa unadhani voda wana vifaa vya kujua kuwa huyu anayekopa ni mmiliki wa Laini au siye!?

Jichanganye kuwashitaki waje wakufirisi Hadi uhame mtaa,,mfano Mimi Laini yangu ya voda inakopesheka Hadi sh 2M Sasa siku nikikuta mtu kaikopa hiyo Hela ni washitaki vodacom au mtu niliyempa access ya Laini yangu?

Kuna haja ya kuanzisha vyuo vya kukuza uelewa Kwa watanzania
 
Apo kwel komaa nao ila inaonekana kukopa ni simple yan namba yanida na namba yasiri ambavyo hivyo dogo anavijua
Vodacom wana huduma ya kumkopa wakala kwenye line uwakala kama kaishiwa float uhitaji kufika ofisini na kiwango wanachokupa kinaendana na miamala unayofanya.
Hivyo, uhitaji kufika ofisini kwao maana wanakuamini kutokana wewe ni wakala na kama mtu anajua mpaka password za line ya uwakala bila shaka utakuwa wewe mwenyewe au mfanyakazi wako unayemwamini.
Hapo akomae kumsaka kijana wake
 
Tatizo ulishindwa kuishi nae kwa upendo, hivi mtu anakufanyiaje ubaya kama unaishi nae kibinadamu? Ukute mshahara ulikuwa hulipi kwa wakati unajifanya mwamba na kelele nyingi sasa dogo kapiga kwenye mshono. Pambana na hali yako tu 🤣
Huwajui binadamu wewe. Mm kuna dogo nilikuwa naishi naye anafanya kazi ya kuchomelea ni wakijijini kwetu. Alikuwa akipata tenda za halmashauri namkopesha pesa za kuanzia kufanya hiyo kazi sasa siku moja nilikuwa nimempa milioni 1.5 alafu kesho yake nikamuachia funguo za chumba changu anisaidie kufanya usafi ila nikamtaathalisha awe makini maana ndani kuna pesa milion 2.3 aisee dogo alichofanya nikuiba ile pesa alafu nyumba akaitia moto ili ionekane pesa zimeungulia ndani.
 
Sasa kama kuna options za kukopa kwenye line inashindikana vipi mtu kukopa. Unless voda waweke secondary level security code ambayo ni ya admin tu hio ya mpesa uwakala iwe na pin tofauti.
Hii huduma haukuwepo kabla hata mimi sikujua km voda wameanzisha huduma ya kukopesha.
 
Kabla ya kukopa au kujiunga na huduma fulani huwa kuna vitu hivi tunachukulia poa.
Bonyeza moja kubali vigezo na Masharti <url> au link ya vigezo na masharti unapewa[hatusomagi] ✅️
Weka namba yako ya siri kuthibitisha (Hapa umeweka saini ya kidigitali kuwa ni wewe unakopa, kumbuka namba ya siri ni saini yako kimkataba)✅️

Haya hiyo kesi Voda unawasumbua kwa lipi?
Mikataba babu hatusomi ndo tatizo letu. Terms and Conditions a.k.a Vigezo na Masharti....hapo pambana na huyo uliyemwachia line zako na ofisi
Hii huduma ya kukopesha kipindi naanza hii biashara haikuwepo na mimi sikujua km ipo hadi yalipotokea yaliyotokea .
 
Huwajui binadamu wewe. Mm kuna dogo nilikuwa naishi naye anafanya kazi ya kuchomelea ni wakijijini kwetu. Alikuwa akipata tenda za halmashauri namkopesha pesa za kuanzia kufanya hiyo kazi sasa siku moja nilikuwa nimempa milioni 1.5 alafu kesho yake nikamuachia funguo za chumba changu anisaidie kufanya usafi ila nikamtaathalisha awe makini maana ndani kuna pesa milion 2.3 aisee dogo alichofanya nikuiba ile pesa alafu nyumba akaitia moto ili ionekane pesa zimeungulia ndani.
Aisee. Mimi kuna mmoja nimeishi naye baada ya kufukuzwa kwao na namfaham since akiwa kidato cha kwanza. Aliniibia vitu vya ndani na pesa ya watu akatokomea akaenda kula bata na majimama huko.
 
Hayo mambo yako ya kukariri darasani weka pembeni. Jamaa ana hoja, hiyo line ni ya biashara, mkataba alioingia nao ni wa huduma ya kutoa na kuweka pesa, huduma hiyo tu. Hoja yake,. Inakuaje, muajiriwa wake ameweza kufanikisha hilo la kukopa bila hao "voda" kumjulisha mmiliki?
Hapa ndipo kwenye hoja yangu.
 
Back
Top Bottom