Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dah kwa hapo kweli dogo kafeliMkuu hujui usemalo.
Dogo nimekaa nae miaka 5 hadi sasa.
Nimepata chumba analala bure, anakula bure, anatibiwa bure na mshahara wake haijawahi tokea hata siku moja asipate kwa wakati.
Watoto wangu wanamuita kaka. Ni vile ubaya haupigi hodi!