Wabunge wa viti maalumu nao pia ni ufisadi....huko bungeni wanawakilisha interest za mabosi wao and not citizen
narudia tena to me viti maalumu ni mzigo kwa taifa.

Believe me or not, bila viti maalumu hakuna wakuwatetea wanawake, watoto wala wenye uhitaji zaidi(walemavu)

Dhana nzima ha viti maalum ilikua kuwezesha wanawake (wale ambo ni dhahiri wanaweza tokana na u-active wao) waweze jaza hizo nafasi ili kuonesha kua mtu yeyote aweza ongoza regardless ya Sex (female/male) ya mtu.... Hii ilikua proposed as one of the strategies ya kuweka equality na equity kati ya wake kwa waume kweny nchi ambayo bado i wazi kua inakumbatia mfumo dume in some elements... Hivo it was the best decision in politics katika nchi (kwa wanawake)... Pia tokana na ukweli kwamba wanawake wengi hata kama anaweza kuliko hata huyo mwanaume ambae ni candidate mwenzie hutokea kushindwa kwa kudharauliwa kua ni mwanamke - akakae nyumbani na kulea watoto...

Regardless ya maelezo yangu hapo juu... Viti maalum kwa sasa katika hali halisi ni moja ya maeneo ambayo ni useless na taka taka kabisa... hio tokana na ukweli kua hizo nafasi zimechakachuliwa na walowekwa hapo in most cases ni nyumba ndogo au relatives wa karibu... wadada wadogo wadogo wameshika nafasi kubwa mno (sisemi hawawezi but in most cases wanauza sura...) Kuna wilaya niliwahi tembelea... yaani mkuu wa wilaya ni mdada ambae anaonekana kabisa kabebwa na wala haelewi zaidi ya kukaa ofisini afanye nini la ziada.... Sad. Hao ndio wanafanya tuonekane wanawake woote hatuwezi kitu ambacho si kweli... ukweli unabaki means zilizotumika kuchaguliwa zimevuka kabisa sababu na vigezo za kucover hizo nafasi...

My Stand: Hizo nafasi ni muhimu mno for once in a while kuna issues katika aspect mbali mbali nchini zinahitaji a woman's touch. However kama hawatabadilisha vigezo vya mtu kuteuliwa kua speacial seats... ni bora wafute kabisa kuliko kuendelea kutumia mamailioni kwa ajili ya watu wasio faa wala kuwajibika...
jinsi mambo yanavyoelekea kubadilika kuna dalili kwamba viti maalum mwisho wake ni 2014. Je itakuwa jambo la mbolea iwapo tanzania itabakia na wabunge wa kuchaguliwa tu!!!!!
Sasa huoni labda ingekuwa bora kuwe na watu 3 (wanawake) wa kuwatetea wanawake, watoto na ulemavu...Believe me or not, bila viti maalumu hakuna wakuwatetea wanawake, watoto wala wenye uhitaji zaidi(walemavu)

Hapo umesema vzr..unajua hata enzi za mwalimu alikua anasema wazi,kua c kama hawakua na wanawake kwenye mabaraza ya maauzi na ya sheria ila walikua wanamchunguza kwanza kama anafaa au la.ndipo wanamteua..suala la haki sawa na sheria za kimataifa mm sina matatizo nazo.tatizo kwetu viongoz wa juu hawazitekelez kwa kumpima mwanamke kama ana uwezo?wa yeye kuwasemea anaowawakirisha?binafc naona kama bado hatujapata rais anayetufaa,kwa mustakabar wa nch hii.mambo meng yapo hovyo sana..mybe tutakapo badilisha katiba..inaweza kutusaidia walau kidogo.
Sasa huoni labda ingekuwa bora kuwe na watu 3 (wanawake) wa kuwatetea wanawake, watoto na ulemavu...
Hapo kuna watu wanapitia ticket ya viti maalumu wapo hapo zaidi ya miaka kumi..., sasa kama ni kuwezeshwa si ukishawezeshwa mara moja mara ya pili uende kugombea mwenyewe (kama Mdee)..
Mimi hapa naona kuna ufujaji wa pesa hawa wawbunge wenyewe ni wengi sana wangeweza hata kuwapunguza wakawa kama 50 au 60 tu....majimbo yamekuwa mengi mpaka basi
Join Date : 2nd August 2011hata sasa waondolewe wabunge viti maalumu wana muakilisha nani?
Kuna wengine wapo hapo miaka kumi bado tu hajawezeshwa..!!Vifutwe mara moja. Hakuna ulazima wa mwanamke kuwezeshwa. Wanawake wanaweza wenyewe hawahitaji kupewa fursa maalum. Kupewa viti maalum ni kudharauliwa tu
Kuna wengine wapo hapo miaka kumi bado tu hajawezeshwa..!!
Sijui hii mantiki ya tukiwezeshwa tunaweza hivi ni nani aliye ianzisha? ni wanawake au?