USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Wabunge wa viti maalumu nao pia ni ufisadi....huko bungeni wanawakilisha interest za mabosi wao and not citizen

narudia tena to me viti maalumu ni mzigo kwa taifa.

Believe me or not, bila viti maalumu hakuna wakuwatetea wanawake, watoto wala wenye uhitaji zaidi(walemavu)

Dhana nzima ha viti maalum ilikua kuwezesha wanawake (wale ambo ni dhahiri wanaweza tokana na u-active wao) waweze jaza hizo nafasi ili kuonesha kua mtu yeyote aweza ongoza regardless ya Sex (female/male) ya mtu.... Hii ilikua proposed as one of the strategies ya kuweka equality na equity kati ya wake kwa waume kweny nchi ambayo bado i wazi kua inakumbatia mfumo dume in some elements... Hivo it was the best decision in politics katika nchi (kwa wanawake)... Pia tokana na ukweli kwamba wanawake wengi hata kama anaweza kuliko hata huyo mwanaume ambae ni candidate mwenzie hutokea kushindwa kwa kudharauliwa kua ni mwanamke - akakae nyumbani na kulea watoto...

Regardless ya maelezo yangu hapo juu... Viti maalum kwa sasa katika hali halisi ni moja ya maeneo ambayo ni useless na taka taka kabisa... hio tokana na ukweli kua hizo nafasi zimechakachuliwa na walowekwa hapo in most cases ni nyumba ndogo au relatives wa karibu... wadada wadogo wadogo wameshika nafasi kubwa mno (sisemi hawawezi but in most cases wanauza sura...) Kuna wilaya niliwahi tembelea... yaani mkuu wa wilaya ni mdada ambae anaonekana kabisa kabebwa na wala haelewi zaidi ya kukaa ofisini afanye nini la ziada.... Sad. Hao ndio wanafanya tuonekane wanawake woote hatuwezi kitu ambacho si kweli... ukweli unabaki means zilizotumika kuchaguliwa zimevuka kabisa sababu na vigezo za kucover hizo nafasi...

My Stand: Hizo nafasi ni muhimu mno for once in a while kuna issues katika aspect mbali mbali nchini zinahitaji a woman's touch. However kama hawatabadilisha vigezo vya mtu kuteuliwa kua speacial seats... ni bora wafute kabisa kuliko kuendelea kutumia mamailioni kwa ajili ya watu wasio faa wala kuwajibika...

Hakuna sababu ya kuwa mna viti maalumu kwa kweli ni bora viwe mwisho

Believe me or not, bila viti maalumu hakuna wakuwatetea wanawake, watoto wala wenye uhitaji zaidi(walemavu)

HAaa!? Hivi kumbe, viti maalum ni kwa wanawake tu?? au pamoja na wanamume,

Hapo umesema vzr..unajua hata enzi za mwalimu alikua anasema wazi,kua c kama hawakua na wanawake kwenye mabaraza ya maauzi na ya sheria ila walikua wanamchunguza kwanza kama anafaa au la.ndipo wanamteua..suala la haki sawa na sheria za kimataifa mm sina matatizo nazo.tatizo kwetu viongoz wa juu hawazitekelez kwa kumpima mwanamke kama ana uwezo?wa yeye kuwasemea anaowawakirisha?binafc naona kama bado hatujapata rais anayetufaa,kwa mustakabar wa nch hii.mambo meng yapo hovyo sana..mybe tutakapo badilisha katiba..inaweza kutusaidia walau kidogo.

jinsi mambo yanavyoelekea kubadilika kuna dalili kwamba viti maalum mwisho wake ni 2014. Je itakuwa jambo la mbolea iwapo tanzania itabakia na wabunge wa kuchaguliwa tu!!!!!

Sasa hapo tujadili nini, kitu cha kufikirika.Oh, no,jamani leteni thread za kueleweka.

Believe me or not, bila viti maalumu hakuna wakuwatetea wanawake, watoto wala wenye uhitaji zaidi(walemavu)
Sasa huoni labda ingekuwa bora kuwe na watu 3 (wanawake) wa kuwatetea wanawake, watoto na ulemavu...

Hapo kuna watu wanapitia ticket ya viti maalumu wapo hapo zaidi ya miaka kumi..., sasa kama ni kuwezeshwa si ukishawezeshwa mara moja mara ya pili uende kugombea mwenyewe (kama Mdee)..

Mimi hapa naona kuna ufujaji wa pesa hawa wawbunge wenyewe ni wengi sana wangeweza hata kuwapunguza wakawa kama 50 au 60 tu....majimbo yamekuwa mengi mpaka basi

Hapo umesema vzr..unajua hata enzi za mwalimu alikua anasema wazi,kua c kama hawakua na wanawake kwenye mabaraza ya maauzi na ya sheria ila walikua wanamchunguza kwanza kama anafaa au la.ndipo wanamteua..suala la haki sawa na sheria za kimataifa mm sina matatizo nazo.tatizo kwetu viongoz wa juu hawazitekelez kwa kumpima mwanamke kama ana uwezo?wa yeye kuwasemea anaowawakirisha?binafc naona kama bado hatujapata rais anayetufaa,kwa mustakabar wa nch hii.mambo meng yapo hovyo sana..mybe tutakapo badilisha katiba..inaweza kutusaidia walau kidogo.

Na suala lingine ni kweli kua vijana wanaweza ongoza ama kukaimu nafasi muhimu mbali mbali... lakini kwa vijana weengi walowekwa katika nafasi mbali mbali iwe wake kwa waume ni kwamba at least wangetumia extra vigezo hasa katika IQ na Intelligence.... maana wao wameshaingia katika system (na siasa zetu in most cases ukiingia you are forever in...) Sasa hebu imagine kua katika walochaguliwa labda ni asilimia 10 tu wana cover zile nafasi wanajitahidi... Sa ingine hata age matters... mda ulokaa katika system ya hizo siasa.... na utambuzi wake katika nchi na katika mambo yanayosumbua wananchi.... na pia katika njia thabiti za kuweza kua na mwanga wa kutatua hayo matatizo... thus la muhimu kuliko yoote hayo ni UZALENDO... Ambalo kwa kweli hapa nchini kwetu Lack of it (Uzalendo) hakuna tofauti kabisa na Ukimwi ulivotawala....

Sasa huoni labda ingekuwa bora kuwe na watu 3 (wanawake) wa kuwatetea wanawake, watoto na ulemavu...

Hapo kuna watu wanapitia ticket ya viti maalumu wapo hapo zaidi ya miaka kumi..., sasa kama ni kuwezeshwa si ukishawezeshwa mara moja mara ya pili uende kugombea mwenyewe (kama Mdee)..

Mimi hapa naona kuna ufujaji wa pesa hawa wawbunge wenyewe ni wengi sana wangeweza hata kuwapunguza wakawa kama 50 au 60 tu....majimbo yamekuwa mengi mpaka basi

Umenena VOR... Wamekua wengi mno mpaka wengine wapo pale for hata more than five years but hata hawajulikani... Hili tatizo la ubunge ni tatizo pia hata upande wa wanaume.... woote badala ya kusimamia maslahi ya wanachi wanao wawakilisha wako more concetrated na kuwakilisha chama na itikadi zao za uongo na ukweli...

And Mdee bana... naona niache tu.... One thing is for sure... she is way great ukifananisha na the speacial seats wengine...

Viti maalumu ni nafasi ambazo ziliwekwa kwa mantiki ya kuziba mapengo ktk mfumo dume ili kuleta uwiano na uwakilishi sawa katika jamii. Kwa bahati mbaya sana nafasi hizo zimetumika vibaya kwa malengo potofu! Viti maalum imekuwa mzigo kwa sababu wengi wao hawakutumia vizuri nafasi hizo na ndio waliosababisha manung'uniko. Kwa kuwa imekuwa dili nafasi hizo zimeongezwa bila sababu za msingi. Kuna wakati viti maalum vilikuwa vikitolewa kitaifa, baadaye kimkoa, haikuwa mbaya kwa kila mkoa kuwa na mwakilishi mmoja wa viti maalum, lkn sasa kila mkoa wawakilishi 2 au zaidi! hapohapo kuna wawakilishi wa jumuiya kama vijana, wafanyakazi, NGOs, elimu ya juuetc! hapo ndipo ufisadi wa viti maalum unapojitokeza! Wanaochukuliwa hawana hata hizo NGOs, ni mjuano na uzandiki!

Nafasi hizo zingetumika vizuri zilikuwa zinaleta maana nzuri, but not now!

Viti maalum havina ubaya ila vigezo vinavyotumika kuteua ndio havieleweki.
Ukiacha vigezo, hata kama wanapewa kwa kubebwa bebwa basi wajiweze na wanachokifanya kionekane na kieleweke ili tutambue na tuthamini umuhimu wa hivyo viti maalum.

Vifutwe mara moja. Hakuna ulazima wa mwanamke kuwezeshwa. Wanawake wanaweza wenyewe hawahitaji kupewa fursa maalum. Kupewa viti maalum ni kudharauliwa tu

Kuna wengine wapo hapo miaka kumi bado tu hajawezeshwa..!!
Sijui hii mantiki ya tukiwezeshwa tunaweza hivi ni nani aliye ianzisha? ni wanawake au?

Viti maalum haina tija kwa Tz ni upendeleo mtupu, ndio maana wanawatumikia waliowapeleka Bungeni badala ya wananchi.

Viti maalum vifutwe halafu wakubwa wale nini? Mtawapelekea wake zenu? Au mnataka kuwaua watu kwa njaa ya matamanio ya kimwili

Kuna wengine wapo hapo miaka kumi bado tu hajawezeshwa..!!
Sijui hii mantiki ya tukiwezeshwa tunaweza hivi ni nani aliye ianzisha? ni wanawake au?

Sielewi alosema mwanamke akiwezeshwa anaweza ...manake kwangu inamaanisha dharau kuwa mwanamke hawezi mpaka awezeshwe!

Hao wanawake kina Condi Rice, Sirleaf, Thacher.........waliwezeshwa na nani? Hivi hawawaoni wanawake makazini, wenye maPhd yao na wenye mavyeo vyao vikubwa, hakuna walipowezeshwa, mbona wameweza?

Mimi nataka wavifute leo 2014 mbali.

Hivi majukumu ya "Viti maalumu" na Wabunge wa "Kuteuliwa" na wa "kuchaguliwa" yanatofautiana?

Back
Top Bottom