<br />hizo nafasi ni lazima ziendelee kuwapo bungeni kwa mtazamo wa chama cha magamba, hayo ni mapoozeo ya waheshimiwa sana wa magamba wawapo mjengoni.
ulikuwa na haja gani ya kuquote kwani ungetoa mchango tu isingetosha? Mnaudhi sana watu mnaoquote thread ndeefu. Mnatusumbua wenye mobilehizo nafasi ni lazima ziendelee kuwapo bungeni kwa mtazamo wa chama cha magamba, hayo ni mapoozeo ya waheshimiwa sana wa magamba wawapo mjengoni.
wakatae viti maalum?? huyu balozi anacheza nini.. wakikataa dhahabu na ushungi kule bungeni atavaa nani?? steve wassira??
Ndio maana wanasema wakiwezeshwa wanaweza. Vinginevyo hawawezi.Wanawake wa Kitanzania wanasubiria fadhila za mwanaume
ha haaaa haaa...............nao wakubwa hawatakubali coz si unajua wengi wao hadi wapate hyo viti maalum wanakua ni chakula ya flaniwakatae viti maalum?? huyu balozi anacheza nini.. wakikataa dhahabu na ushungi kule bungeni atavaa nani?? steve wassira??