stigajemwa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 449
- 430
Sasa hapa ni ufafanuzi gani huu? Kwahiyo vyama vya siasa husika ndio huchagua jina miongoni mwa majina yaliyopo NEC na kuiomba nec ipitishe .Kama ni hivyo nec haihusiki juu ya lawama zozote juu ya wanaoteuliwa ubunge na pia chama husika nacho hakistahili lawama sababu wamechagua kulingana na orodha iliyopo nec
Vikishafutwa Kengeza atakuwa anahonga nini au ukoo wa Mtei na mamangi wenzao ajira wapate wapi ?Mie nashangaa hasa wabunge viti maalum tena kutoka ccm wakiwaona mabinti (wanawake wenzao) wasiendelee na shule wapatapo ujauzito watimuliwe shule huku wakijua fika kuwa wanawake na watoto hasa wa kike ni kundi maaalum kama wao walivyo maalum na kupewa viti kwa hisani ya umaalum wao.
Kuonyesha kila mtu ajitume kutafta maisha basi na wao viti maalum vifutwe ili kuwe na usawa nao wapambane majimboni kama wanaume ule umaalum ambao wanawafungia wenzao na wao ufutwe.
[emoji23][emoji23][emoji23]kigezo cha kwanza unatakiwa kua mpiga kinubi, pili mchumia tumbo, tatu uhusiano wa kimapnz, nne na ya mwisho haijalishi elimu ulionayo hata umeishia vidudu poa tu ilimradi utakitetea chama husika hadi tone la mwisho!
Wanamwakilisha nani?Wafutwe waende wapi?