USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Sasa hapa ni ufafanuzi gani huu? Kwahiyo vyama vya siasa husika ndio huchagua jina miongoni mwa majina yaliyopo NEC na kuiomba nec ipitishe .Kama ni hivyo nec haihusiki juu ya lawama zozote juu ya wanaoteuliwa ubunge na pia chama husika nacho hakistahili lawama sababu wamechagua kulingana na orodha iliyopo nec
 
Wewe unaweza

kuwa unaelewa lakini wengine wengi wakawa bado hawaelewi ndio maana ya ufafanuzi. Uteuzi wa wabunge viti huzingatia vigezo na sifa za mtu kuwa Mbunge wa Viti maalum sio kila jina linapitishwa tu.
 
Kuna wabunge wa viti maalum wanapiga kazi balaa next time nawataja mmoja baada ya mwingine
 
Mie nashangaa hasa wabunge viti maalum tena kutoka ccm wakiwaona mabinti (wanawake wenzao) wasiendelee na shule wapatapo ujauzito watimuliwe shule huku wakijua fika kuwa wanawake na watoto hasa wa kike ni kundi maaalum kama wao walivyo maalum na kupewa viti kwa hisani ya umaalum wao.

Kuonyesha kila mtu ajitume kutafta maisha basi na wao viti maalum vifutwe ili kuwe na usawa nao wapambane majimboni kama wanaume ule umaalum ambao wanawafungia wenzao na wao ufutwe.
 
viti maalam vibaki kwa wawakilishi maalum kama wateuliwa wa rais, wasio jiweza.... lkn sio kwa wale wanaopewa nafasi kisa ni watoto wa vigogo....
 
Mie nashangaa hasa wabunge viti maalum tena kutoka ccm wakiwaona mabinti (wanawake wenzao) wasiendelee na shule wapatapo ujauzito watimuliwe shule huku wakijua fika kuwa wanawake na watoto hasa wa kike ni kundi maaalum kama wao walivyo maalum na kupewa viti kwa hisani ya umaalum wao.

Kuonyesha kila mtu ajitume kutafta maisha basi na wao viti maalum vifutwe ili kuwe na usawa nao wapambane majimboni kama wanaume ule umaalum ambao wanawafungia wenzao na wao ufutwe.
Vikishafutwa Kengeza atakuwa anahonga nini au ukoo wa Mtei na mamangi wenzao ajira wapate wapi ?
 
Habari wapendwa
Husika na kichwa cha habari hapo juu,kuna kitu kinanitatiza sana. Naomba kujua hao wabunge wa viti maalamu wanachaguliwa kwa kuangalia vigezo vipi?Nimeingia kwenye page ya lemutuz,kuna post kasema kuwa kuwachagua ma DC wameangalia elimu(ya degree),uaminifu na uchapakazi,,sasa nataka kujua kwa wabunge wa viti maalumu napo wanaangalia hivyo vigezo?? So to make things short and clear,,,naombeni kujua vigezo wanavyoangalia kuwachagua wabunge wa viti maalumu
 
kigezo cha kwanza unatakiwa kua mpiga kinubi, pili mchumia tumbo, tatu uhusiano wa kimapnz, nne na ya mwisho haijalishi elimu ulionayo hata umeishia vidudu poa tu ilimradi utakitetea chama husika hadi tone la mwisho!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ya viti maalumu pamoja na wateule 10 wa rais ni upotezaji wa fedha za walipa kodi
 
Viti maalumu vifutwe vibaki vya walemavu tu.

Rais aongezewe number ya watu anayopaswa kuchagua, na iwekwe wazi lazima hao anaowachagua wawe wabobezi kwenye Kada za Uchumi na wenye uwezo wakusaidia Taifa kwenye mbalimbali na iwe marufuku kuchagua wanasiasa.
 
Habari za muamko Wana jamvi,

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, binafsi nimekuwa nikikereka sana na hili Jambo"mbunge wa viti maalumu"daaah, hata kutamka hilo nahisi kichefuchefu kwakweli, tuna wabunge wa majimbo ambao pia niwawakilishi kwa Jimbo husika, bado tuna weka viti maalumu ambavyo kiujumla sioni chochote wanacho kifanya bungeni zaidi sana kula posho na mishahara monono nakupewa magari na 500lt za Diesel kwa mwezi na mwisho wa miaka mitano 230 ml Kama mafao, hii ndiyo Tanzania, najiuliza idadi ya viti maalumu bungeni ×kiasi Cha pesa kinacho tumika wakati vijijini Kuna mwananchi anaishi under 1$ per day,!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom