USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

huyu naye mjinga, ni kweli kwamba hajui umuhimu wake kwa sasa, hata kama utekelezaji wake ndo wa kijinga?

Theophilius mkuu,

Jamaa ameponda sana Viti maalum, hii ni mara ya pili namsikia akiviponda viti hivi vya upendeleo.

Lakini ukiangalia kwa undani viti maalum ni dharau na unyanyasaji kwa wanawake, hii inawajenga na kuwapa taswira kuwa wao ni dhaifu, wamezoea kupewa pewa tu, yani wao ni rahisi rahisi tu, Lakini vile vile wabunge wengi wa viti maalum ni wale wagonga meza na watu wa "ndiyoooooo" huwa hawana michango yoyote ya maana zaidi ya vimini na vikuku.
 
Siku za hivi karibuni cdm imekuwa inajipambanua kama wapinga ufisadi wa aina zote, swali ni kwamba mbona sijawahi kuwasikia wakipinga uwepo wa wabunge wa viti maalum ambao kimsingi uwepo wao ni natumizi mabaya ya fedha za umma?
 
viti maalu vipo kisheria na ndo maana chadema wakaona kwa vile kuna sheria ccm walijitungia nyingi hazina tija kwa taifa ndo maana katiba mpya ikawa kwenye ilani yao na si ya ccm.
ufisadi ni wizi.
 
viti maalu vipo kisheria na ndo maana chadema wakaona kwa vile kuna sheria ccm walijitungia nyingi hazina tija kwa taifa ndo maana katiba mpya ikawa kwenye ilani yao na si ya ccm.
ufisadi ni wizi.
Ufisadi haujalishi kama upo kisheria ama vipi, ufisadi ni ufisadi tu
 
GreatThinkers,
  • Waume kwa Wake kazi yao kuunga mkono hoja.
  • Wanaongoza kwa kupiga mabenchi hata kama hoja hajaielewa
  • Wanaunga mkono hoja 100% lakini wanasema inahitajika marekebisho
  • Wengi wao ni Single au wameachika
  • Wanapenda kujipendekeza pendekeza kwa wakubwa
  • Wapenda pesa, kosa kidogo tu nilipwe Bilioni Tano.
Je unawafahamu?
 
SHILINDE,

1: Hii ni MIZIGO isiyo ya lazima. Kwani hawa wanawakilisha JIMBO GANI ikiwa wananchi wote wa jimbo fulani wanamchagua mwakilishi wao kwa kupiga kura?

2: Na je, kama ni mtu anafkiri waende basi kuwakilisha mbona hawaletwi kwa kundi wanalodaiwa kuwakilisha afu kundi hilo liseme kama linamkubali au laaa?

3: Hivi wa nyie mnaopewa izo nafasi bila kutoka jasho mnajiskia je kulipwa mamilioni kutokana na kodi za wavuja jasho nikiwemo mimi, wanaoteseka kwa mishahara ya TGSD?

4: Watu hamna udhaifu wowote wa viungo mnaitwa mnawakilisha "KUNDI MAALUM" what kind of maalum is this? Mbona sioni wanaume wanaowakilisha makundi maalum? Hakuna wanaume wenye wanaohitaji huo uwakilishi maalum?

5: Nafkiri huu umaalum huenda ni KA_MRIJA kalikobuniwa kumkaba zaidi mtu wa chini maana mi SIONI HAJA Ya wao kuwepo hali wabunge walopigiwa kura wapo, hawajashindwa kazi. Ni muda sasa na ni busara UMAALUM UACHWE ili hizo fedha zihudumie wananchi wa wanaowakilishwa na wabunge halali.

6: Afu inabidi tujifunze kwa wenzetu wa Afrika mashariki. Mi naona wenzetu wana mabunge madogo na wana MAENDELEO af wa TZ maskini af MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA yako juu... This is senceless...

Mwisho kwa apa, kama wewe ni MTANZANIA unaeumia kuona nchi yako haisongi mbele miaka nenda rudi, chukua hatua ya kupinga "VITI MAALUM"
 
Nategemea kupeleka mswada bungeni ili tujadili namna ya kufuta viti maalum. Wabunge wengi wa viti maalum wamekuwa kero bungeni. Wanaongoza kwa ufisadi ushabiki na unafiki. Baya au jema, kazi yao bungeni ni NDIYO. Hasa wadada warembo waliopewa nafasi hizo kwa nzia za panya wamekuwa ni vituko . Mavazi ya ibu na kushindana kuonyesha miili yao.Wamekuwa distractions. Nadhani ni muda muhafaka kuondoa hivi viti ili nafasi zote za ubunge ziwe ni za kupigiwa kura. huku tutawapata wasomi wa kweli wenye kiu na maendeleo...

Chanzo mimi Mbunge (CCM)
 
umenena wazo hilo nilakufanyia kazi ili kuokoa pesa zetu.haina sababu ya kuwa na viti vya wabunge wasiopigiwa kura na wananchi
 
wakikujua waku wako watakumwakyembe ila tunashukuru kwa kutuunga mkono viti hv vifutwe usisahau na wakuu wa wilaya!
 
Nategemea kupeleka mswada bungeni ili tujadili namna ya kufuta viti maalum. Wabunge wengi wa viti maalum wamekuwa kero bungeni. Wanaongoza kwa ufisadi ushabiki na unafiki. Baya au jema, kazi yao bungeni ni NDIYO. Hasa wadada warembo waliopewa nafasi hizo kwa nzia za panya wamekuwa ni vituko . Mavazi ya ibu na kushindana kuonyesha miili yao.Wamekuwa distractions. Nadhani ni muda muhafaka kuondoa hivi viti ili nafasi zote za ubunge ziwe ni za kupigiwa kura. huku tutawapata wasomi wa kweli wenye kiu na maendeleo...

Chanzo mimi Mbunge (CCM)

hao warembo bungeni ni smallhouse za wakubwa
 
acha kisingizio kwa wabunge wa viti maalumu bana!!kuwa muwazi na useme wabunge wa ccm wapigwe chini 2015.
unakumbuka zitto alivyoitisha sahihi sabini na ushehe mlivyopoteana?sasa unataka tuamini tatizo ni wabunge wa viti maalum?
tatizo ni wabunge wa ccm na dawa yenu ni kunyimwa kura full stop.
 
VITI maalum ni BATILI, pia ni unconstitutional. HAKUNA hata sheria moja hapa nchini TANZANIA ambayo inazuia akina mama kugombea uongozi katika ngazi yoyote: ANAYEIJUA SHERIA HIYO ANIAMBIE. KATIBA inakataza upendeleo wa aina yoyote ikiwa ni pamoja na wa kijinsia, kwa maana hiyo kutenga viti kwa ajili ya wanawake tu ni kinyume na KATIBA (tazama IBARA 29). VITI maalum vifutwe kwani havina tija
 
Katika kitu ambacho kinaniumiza ni viti maalumu tuna zaidi ya wabunge 100 ambao hawana majimbo wako bungeni wakipitisha sheria ambazo hazina maslai kwa taifa nyingine za kukandamiza.

Ndoto yangu siku hivi vitu maalumu vikifutwa kabisa sijui viwe vya CHADEMA, CCM, CUF wote hakuna kitu samahani kama nitagusa maslai ya watu sioni tija ya vitu maalumu na sitakaa nione kama mfumo wa viti maalumu watu wanachaguliwa kutoka kwenye vyama vyao na kupelekwa bungeni.

Viti maalumu vya sasa vinakibeba ccm kwa sababu kinaingiza wabunge wengi ndani ya bunge hii ina maana wabunge wengi wa viti maalumu watatoka hiko chama cha ccm.tatizo linakuja wakati wa kupitisha mambo yenye maslai mazuri ya nchi wengi wanaweka ushabiki huhitaji kuvaa miwani kujua kuwa wanatumika.

Viti maalumu vingi vimekuwa kandamizi sana wakina mama/dada wanadiliki kujitoa kwa vigogo wa chama ili wapate upendeleo fulani kuingia bungeni hii ni aibu kubwa sana wengi wanatoa hadi miili ile wapewe viti maalumu.

Viti maalumu vimekua vya upendeleo wa tabaka fulani kwamba ndo wanaweza kuingia bungeni huhitaji kuwa na Phd kujua hili kote chadema ccm kuna matatizo na wengi walilalamika mchakato wa kupata viti maalumu.

Je tukifuta viti maalumu nini cha kufanya kuleta usawa bungeni.

1.Uunde mfumo kila mkoa kuwe na majimbo maalumu ya wanawake
Hapa tutajenga uwanja mpana sana kwenye demokrasia hawa kina mama wagombee kwenye majimbo maalumu yatakayo tengwa kwa ajili yao ukifanya hivi kuna uhakika wa asilimia kubwa ccm ikapoteza viti vingi sana maana wabunge wengi wameingia kwa kubebwa.

Kuna wazo pia nilipewa sehemu mfano jimbo la ubungo mbunge si mnyika kungekua na mbunge wa pili ambaye angepigiwa kura jinsia yake iwe ya kike.hili wazo bado sijaliafiki maana naona kutakua na uingiliaji wa utendaji.

Tuondokane na hili suala la viti maalumu tuunde mfumo mpya ambao wanawake watapambanishwa kumpata mshindi mmoja na kupigiwa kura.

Viti maalumu ni janga si kwa ccm bali kwa taifa kwa ujumla.

Fred kavishe
 
Ni wazo zuri, binafsi sikubaliani na suala la ubunge wa viti maalum kwani mchakato wa kuwapata kwa sehemu kubwa umegubikwa na utoaji wa rushwa ya ngono ndo mana wengi wao hawana impact yoyote si bungen wala mitaani wako kimaslah kuwafurahisha walowapa nafasi.

Tutumie mfumo wa majimbo ambapo mwanamke yeyote mwenye uwezo na uhitaji ataomba nafasi then watafanyiwa mchujo na mwisho watakaopita kwenye mchujo watapigiwa kura kumpata mbunge mwanamke wa jimbo husika, haya mambo ya kupeana ubunge ni udhalilishaji kwa wanawake wote Tanzania!
 
Siungi mkono hoja ya kutenga majimbo maalum kwa ajili ya wanawake kwakuwa wakazi wa majimbo hayo sio wanawake tu.
Siungi mkono kuwa na wabunge wawili kama ulivyopendekeza Ubungo, kwakuwa ni gharama zisizo na maana.

Ninachounga mkono ni kufuta kabisa Viti vya Upendeleo ingawa nyie mnaviita eti Maalum. Maalum kwa lipi? Kuna mbunge gani Maalum aliyefanya jambo maalum huko bungeni hata akastahili recognition? Upuuzi mtupu! Wanawake wanaohitaji ubunge wakachuane na wanaume huko majimboni.

Mbona wapo wengi tu waliofanikiwa kupata kura za kutosha majimboni na sasa ni wabunge wa majimbo.
 
Swala la viti maalum halina tija kwa taifa ni mzigo mkubwa kwa walipa kodi, watu wenyewe wapo tu kama shabiki wa mpira wanakuwa uwanjani! Japo CCM hawatakuwa tayari kufuta kwa sababu wao wanafaidika zaidi kwa kuengeza idadi ya wapitisha hoja zao za ajabu ajabu kwa masilahi ya chama chao!
 
Sidhani kama wataafiki hilo suala
 
Siungi mkono hoja ya kutenga majimbo maalum kwa ajili ya wanawake kwakuwa wakazi wa majimbo hayo sio wanawake tu.
Siungi mkono kuwa na wabunge wawili kama ulivyopendekeza Ubungo, kwakuwa ni gharama zisizo na maana.

Ninachounga mkono ni kufuta kabisa Viti vya Upendeleo ingawa nyie mnaviita eti Maalum. Maalum kwa lipi? Kuna mbunge gani Maalum aliyefanya jambo maalum huko bungeni hata akastahili recognition? Upuuzi mtupu! Wanawake wanaohitaji ubunge wakachuane na wanaume huko majimboni.

Mbona wapo wengi tu waliofanikiwa kupata kura za kutosha majimboni na sasa ni wabunge wa majimbo.

Hilo suala ya kuwa na wabunge wawili wa jimbo moja mimi mwenyewe siungi mkono nilinongonezwa sehemu tu kama wazo but lina utata.

Hatuwezi kufuta bila kuweka usawa bungeni kutakua na mfumo dume lazima itafutwe njia mbadala bado siamini kuna maeneo ni ngumu kwa mwanamke kushinda.
 
Back
Top Bottom