peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ninaomba tujadili jambo hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaomba tujadili jambo hili.
Unaweza kuchangia bila kutukana na ukaeleweka vizuri kabisa.Watu tushasahau mambo ya kutekana na kauli za hovyo,
Samia Ni Rais Hadi achoke yeye, hutaki Hama Nchi
Lete sababu kwanini tumbadirisheNinaomba tujadili jambo hili.
Mpumbavu sio tusi boss! Hata Rais mmoja mstaafu ashawai kulitumia kuwaambia mashabiki wa yanga nadhani"K
Unaweza kuchangia bila kutukana na ukaeleweka vizuri kabisa.
Ni Ushauri tu.
Lete sababu kwanini tumbadirishe
Mama mbona kishasema hatogombea ?Ninaomba tujadili jambo hili.
🤝🤝🤝🤝Mama mbona kishasema hatogombea ?
Kama unamaanisha mama yako mzazi Ni sawa asigombee, ila kwa Samia yupo Hadi 2030 inshallahMama mbona kishasema hatogombea ?
CCM hawapangiwi hivyo..Ninaomba tujadili jambo hili.
Kwani na wewe ulikuwa unaogopa kutekwa?Watu tushasahau mambo ya
kutekana na kauli za hovyo,
Samia Ni Rais Hadi achoke
yeye, hutaki Hama Nchi
Yaani amekaa mwaka mmoja, ni kama amekaa miaka kumi, hatupumui Kila kukicha afadhali ya Jana.Ninaomba tujadili jambo hili.
hampumui au haupumui!? Jisemee nafsi yako mkuuYaani amekaa mwaka mmoja, ni kama amekaa miaka kumi, hatupumui Kila kukicha afadhali ya Jana.
Hatupumui kila kitu kinazidi kupaa bei.hampumui au haupumui!? Jisemee nafsi yako mkuu