Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

Kama unamaanisha mama yk mzazi Ni sawa asigombee maana Ni kikongwe, hila kwa Samia yupo Hadi 2030 inshallah
Mkuu inaonekana una kisirani Sana.Au huko na Mimba changia kwa staha.Mama ake kaingiaje hapo?au wewe huna Mama?
 
Kama unamaanisha mama yk mzazi Ni sawa asigombee maana Ni kikongwe, hila kwa Samia yupo Hadi 2030 inshallah
Gazeti la Uhuru ambalo ni mali ya ccm liliandika jambo hilo muda mrefu tu .

Kingine ni hiki , ni kweli mama yangu alikuwa Kikongwe 75yrs , lakini Hayupo kabisa alishafariki miaka 11 iliyopita , Apumzike kwa amani
 
Ok, Mungu amlaze pahala pema inshallah
 
Naunga mkono hoja kwa 99.9%.
Wakijidanganya tu wamlete huyu, watashuhudia ambacho hawajawahi wala hawakutegemea kushuhudia.
 
Yaani amekaa mwaka mmoja, ni kama amekaa miaka kumi, hatupumui Kila kukicha afadhali ya Jana.
Miaka sita ya bwana yule mlikaangwa na mkaufyata,hakuna aliye jaribu kuleta fyokofyoko kama mnavojaribu kufanya sasa, na kama mgejaribu mgepata kipigo cha mbwa koko.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa walau Mama ndani ya mwaka mmoja amejaribu kutoa hata hicho kidogo bado mnalalama.
Kama hujui ulikotoka ni vigumu kujua uendako
Mpe Mama muda ana nia njema na nchi hii.
 
Hakuna mtu mpumbavu kama mtumishi..kisa kuongezewa elfu ishirini ndiyo iwe nongwa kwa mama samia...
Usitukane watumishi, wewe ndio umeuweka ujuha na upumbavu wako hadharani peupe, kwa kutusi watumishi. Sio ajabu unaishi kwa shemeji yako ambae anagonga dada yako pia ni mtumishi.
 
Back
Top Bottom