Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

Hata akiwa Samia kushinda kupo pale pale, kwa akili zako timamu kwa tume hii au mfumo wa polisi unategemea box la kura ndio litaiondoa CCM madarakani pole ndugu
 
Unaongelea utamaduni wa vipindi viwili wakat Nchi inaelekea SHIMONI,

Mabadiliko yafanyike kabla ya 2025 kuinusulu Nchi kufilisika.
Usitafute kilema cha makusud 2025 kaa na familia yako utulie hutaweza kupambana na jesh lenye hamu ya kuvunja miguu ya watu vburi,watanzania weng n wanafiki utabak peke yako kweny maumivu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika gani wa hiyo ccm kuwepo ifikapo 2025! Inaweza ikajifia tu kifo cha mende halafu Wazalendo tukachukua nchi yetu kupitia chama cha Kizalendo (Tanzania Nationalist Party - TNP) nitakacho kisajili mwakani panapo majaliwa.
Huna uzalendo wowote bali tamaa tu znakusumbua,mtu kama ww upewe nchi utawapa had shemej zako uwazir, unafikir nch inaendeshwa kama familia?Hata ww n fisad tu asiye na cheo.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
"Jamini tumedanganywa mimesakilifai maisha yangu Niwaambie ukweli au nasema uongo nudge zangu"Alisikika jemedali mmoja kiafrika.
 
Back
Top Bottom