Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

Usitafute kilema cha makusud 2025 kaa na familia yako utulie hutaweza kupambana na jesh lenye hamu ya kuvunja miguu ya watu vburi,watanzania weng n wanafiki utabak peke yako kweny maumivu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mtu mwenye njaa miguu ya kaz gan?

Hakipo atachopoteza zaidi ya minyororo alofungwa na MKOLONI mweusi!!!!
 
Ndio ujaribu Sasa kuandamana hiyo 2025 hili umwagwe ubongo
Sitakufa Bali NITAISHI Ili niuone WEMA wa Bwana Mungu wangu ktk Nchi ya Walio hai Tanzania.

Jifiche nyuma ya keyboard unawaza 2025 wakat ndo kwanza tupo July 2022,!!!!!!
 
kisa mmeongezwa elfu 20?
watumwa wa umma mna matatizo
😄😄😄😄 kweli mwana mtuwache na Mh Rais Samia Nchi imetulia na watu wana amani ... yule mwingine kakaa miaka 6 hakuwapa chochote na mlifyata mkia 🙌🙌🙌 Jiandae Kisaikolojia tutakuwa Naye sana hadi 2030.
 
Ccm haina mgombea anaeweza uzika. Nani kwa mfano atatufaa watz 2025
 
😄😄😄😄 kweli mwana mtuwache na Mh Rais Samia Nchi imetulia na watu wana amani ... yule mwingine kakaa miaka 6 hakuwapa chochote na mlifyata mkia 🙌🙌🙌 Jiandae Kisaikolojia tutakuwa Naye sana hadi 2030.
Raisi wa matajiri
 
Unaongelea utamaduni wa vipindi viwili wakat Nchi inaelekea SHIMONI,

Mabadiliko yafanyike kabla ya 2025 kuinusulu Nchi kufilisika.
Shimo kama lipi?

Mashimo mazuri kama haya ndio tunayataka sasa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220724-093450.png
    Screenshot_20220724-093450.png
    86.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220724-093215.png
    Screenshot_20220724-093215.png
    118.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220724-093322.png
    Screenshot_20220724-093322.png
    161.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220724-093421.png
    Screenshot_20220724-093421.png
    153.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220724-085622.png
    Screenshot_20220724-085622.png
    245.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220723-205352.png
    Screenshot_20220723-205352.png
    46 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220723-205014.png
    Screenshot_20220723-205014.png
    152.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220723-205107.png
    Screenshot_20220723-205107.png
    137.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220723-204918.png
    Screenshot_20220723-204918.png
    137.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220723-204623.png
    Screenshot_20220723-204623.png
    203.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220723-204506.png
    Screenshot_20220723-204506.png
    127 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220723-201256.png
    Screenshot_20220723-201256.png
    157.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220723-201223.png
    Screenshot_20220723-201223.png
    161.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220723-121147.png
    Screenshot_20220723-121147.png
    174 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220723-121202.png
    Screenshot_20220723-121202.png
    107.8 KB · Views: 3
uyo mgombea mwingine atakua ni January au Mwigulu shida bado itakua ipo palepale.
hii nchi tutaburuzwa karne nyingi zijazo.
 
Ninaomba tujadili jambo hili.
Mnataka muanze kuktupeleka kusikojulikana na kupiga risasi saa 7 chana kama mnawinda pori LA akiba. Sisi huyu anatosha Hadi katiba imkatae acheni mambo ya aajabu. Ingekuwa enzi zile hata wewe kuleta hiki kiuzi ucngejaribu. Kama Mungu ameona anafaa akamteua sisi ni akina nani hadi tukatae. Maana alikataa chaguo la wanadamu akatuteulia Mama.Atukuzwe aliyefanya uteuzi wa Mama.
 
Back
Top Bottom