Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Mola Mlezi hajakuumba uje duniani kufanya starehe yenye kutenda maovu, kuvunja Sheria na amri zake.
fanya sala na kuishi vyema katika hii dunia hakika utabashiriwa pepo.
ukitenda uovu basi hakika utaenda motoni kwa hukumu.
fanya sala na kuishi vyema katika hii dunia hakika utabashiriwa pepo.
ukitenda uovu basi hakika utaenda motoni kwa hukumu.