Ushauri wa bure: Jitahidi kuyafanya sana haya mambo utakuja nikumbuka baadae

Ushauri wa bure: Jitahidi kuyafanya sana haya mambo utakuja nikumbuka baadae

Naona una arosto ya kitimoto, unaugwadu sema ndo hivo huna kila kitu

Mungu atakusaidia utavuka salama, hallelujah....!!
 
Naunga mkono hoja,kwani hii dunia niyetu,au ambao hawafanyi hayo wao hawozi[emoji41]
 
Naunga mkono hoja,kwani hii dunia niyetu,au ambao hawafanyi hayo wao hawozi[emoji41]
Hawafanyi kwa kuwa wametishwa sana na imani za kijinga jinga,.
Ndugu yangu wewe fanya sana,.
Kama ni mpenzi wa Pombe basi lewa sana ikikupendeza kesha na ulale bar,
Kama wewe ni mpenzi wa NGONO basi jitahidi kufanya sana ikikupendeza jaribu na hata JICHO 👁️
Kwani mwanadamu siku zako zinahesabika
 
Naona una arosto ya kitimoto, unaugwadu sema ndo hivo huna kila kitu

Mungu atakusaidia utavuka salama, hallelujah....!!
Kitimoto huwa natumia sana mda mwingine nachemsha supu na pilipili nakunywa kwani siku zaja nitashindwa hata onja maini,.
Ndugu jitahidi kufanya sana kwenye starehe yako kwani mda ulioubakiza ni mchache sana.
 
Fikra za makabwela ndo kama hizi 🤣🤣🚮🚮
Tajiri pia ni mjinga kama wajinga wengine,.
Utakuta mtu
Ana Hiv
Ana Kisukari
Ana PRESHA
Na bado anaweka ela benki
Huu ni upumbavu wa kiwango cha rami,.
Tajiri wengi wanakufa na kuacha ma milioni ya pesa kwenye account na kunufaika wanaobaki.
Ndugu jitahidi kufanya sana,.
Toa ela yako benki tukutane PUB
 

Attachments

  • Text_28082023_114343.png
    Text_28082023_114343.png
    124 KB · Views: 1
Nilipotoka chuo nilikua na hii mentality basi si nikaotea chaka la kupiga hela aisee nilifanya starehe karibu zote

Matokeo yake pesa ziliisha na chaka likafungwa nimeishia kua na watoto kila mahali wengine nahudumia wengine ndio hvo tena

Sijutii kwa chochote hua nikitizama nyuma nasema at least niliwahi kuishi, najitafuta upya niendelee nilipoachia.
Kwetu watu wa aina yako tunawaita "viazi" 🙂🙂🙂
Kwa hiyo wewe ni kiazi🙂
Pia tuna utaratibu kila mwezi wa 12...tunawachangia nauli walete watoto nyumbani.🛖
 
Kwetu watu wa aina yako tunawaita "viazi" [emoji846][emoji846][emoji846]
Kwa hiyo wewe ni kiazi[emoji846]
Pia tuna utaratibu kila mwezi wa 12...tunawachangia nauli walete watoto nyumbani.🛖
Hakika maisha ni mazuri jitahidi kuishi kabla hujafa
 
Kwetu watu wa aina yako tunawaita "viazi" 🙂🙂🙂
Kwa hiyo wewe ni kiazi🙂
Pia tuna utaratibu kila mwezi wa 12...tunawachangia nauli walete watoto nyumbani.🛖
Mwenzio alifanya sana
 
Hakika maisha ni mazuri jitahidi kuishi kabla hujafa
Safi, tena safi sana.
Kuna wajinga wanasubiri maisha ya baada ya KIFO.
yaani wanaishi kwa shida sana hauwezi amini wao mambo mazuri yote kwao ni haramu,.
Ndugu yangu haya maisha ni zawadi na tumepewa na vilivyomo tuvitumie sana,.

Hivyo ndugu yangu Jitahidi kuyafanya sana ikikupendeza fanya zaidi.
 
Vyote ni ubatili mtupu
Ndugu yangu hivyo unavyoviita ni ubatili vipo tu hapa duniani huko PEPONI kwako wala havipo,.
Usitegemee kama utaenda kunywa SAFARI NA KITIMOTO,.
Usitegemee kama utaenda piga demu wawili kwa wakati mmoja,.
Na ninachokuonea huruma zaidi usikute hata hiyo siku ya malipo hakuna Ukifa umekufa na ujinga wako wa kuacha mambo mazuri kibao,.

Nisikuache bure wacha nikupe na ushauri,.

Fanya sana kila lililo ndani ya uwezo wako kwani huko uendako wenda usipewe nafasi ya kuvitumia au hata kukutana navyo,.

Utakufa bure utamu wa JICHO hauujui utakufa bure utamu wa kulewa hauujui,.

Nakuomba jitahidi kabla haujazeeka na ukafa kizembe hivyo jalibu KUPIGA SAFARI NA KITIMOTO YA KUKAANGA,.
pia jaribu hata na hiyo kitu wanaisifia vijana ya kwa mpalange UTAKUJA NISHUKURU BAADAE
 
Back
Top Bottom