Ushauri wa bure kwa Askofu Gwajima: Ukivuliwa nguo, ukabaki utupu! Ustaarabu ni kuchutama!

Njaa inafunika elimu na taaluma zako, KAZI ya wanahabari makini ni kufukua na kufichua uovu, nyie mnaona sifa kujifunganisha na wezi, mafisadi na wauaji
Hebu soma tena alichoandika, maana kuelewa fasihi ni kipaji, unatukanwa huku unatabasamu.
 
Matu
Maturity Strong.

Ushauri Mzuri...
 
Kavuliwa nguo kivipi yaani?hapo bado sijaelewa ,mtu akiongea ukweli ndio kavuliwa nguo?
 
Awa watoto awamtakii mema G.boy Lisu yupo wapi Washamsaau kolokoloni !!

sasa sijui ndio kumpenda sana Gwaj Sasa ateme Dude akikamatwa mtafanya maandamano !!

Au ndio mtajazana apa kupaza sauti zenu.!!!

Tukumbuke kuna Askofu mwengine alikuwa atingishiki mzee wetu Kakobe sikuizi kaacha kufuraisha Waumini na mitandao bin watoto kwa kuinanga Serikali sasa kabaki na 1 tu.
 
Sijasoma bandiko lako zaidi ya heading
SS nani kavuliwa nguo hapa km sio nyie?
Nakukumbusha tu kuwa Gwajima hajawahi poteza pambano,stay tuned
Ht hmasomi yake tuliyoyaongea hapa hamjui kuwa nabii zinaendelea kutimia
Pole sn
 
Hakuna aliyesahauliwa
Tulieni nabii my ja moja zinatimia
Mbona ndo kwanza kumekucha
 
Acha askofu atimizie wito wake. Kama kila mtu atakaa kimya kwa kuyalinda maslahi yake wasiojulikana watatenda mabaya kuliko waliyokwisha kutenda. Ni lazima mashujaa wachache wakomesha matendo maovu ya wasiojulikana turudi kwenye mstari kama jamii na Taifa.
 
JASUSI LA MBINGUNI AMELIAMSHA DUDEEE
 
Gwajima karusha jiwe kwenye kichaka cha ibirisi ndipo mashetani wote wamejitokeza sasa kila mtanzania kawabaini watesi watekaji waonevu wote chawaccm
Namhurumia poti wangu Mr. Njaa asije akapopolewa na Askofu Gwajima! Maana Bishop akifungulia unaweza kulia!
 
Mmeanza vitisho kama kwa Kitima.

Tunajua utawala huu jibu la mwisho kwa hoja wasizozipenda ni kutekwa , kushambuliwa au kuuwawa.

Hivyo huo uoga unaomuuzia Gwajima upo katika hizo mbinu 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…