PreGE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Tunaelewa Mmechanganyikiwa na Chadema, Ila tumieni fedha zenu kwa akili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Heche ni Pandikizi letu mbona mnamkunbatia sasa?

Vp Kuhusu Rupia haha nyie madogo nyie🤣
Nawaambiaje hata nani awe pandikizi wenu, Watanzania wameshazikubali ajenda za Chadema na Wanawaunga mkono na wameuchoka upuuzi wetu CCM.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu.

Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa kuwa Chama cha Kweli cha Siasa ambacho kipo kwa ajili ya kuwapigania kweli ili kuwapatia maisha bora na maendeleo ya kweli ni Chadema.

Support kubwa wanayozidi kuipata Chadema kila siku kutoka kwa Watanzania kwa kutosaini Kanuni za Uchaguzi pamoja na kutaka Mabadiliko ya Katiba na Sheria za Uchaguzi ili kuwe na Uchaguzi Huru na wa Haki kusema kweli inawatesa sana CCM. Inawanyima usingizi hakika.

Sasaivi ukipita mitaani, ukipita kwenye vijiwe vya kahawa, vijiwe cha wacheza pool table, mitandanoni kuanzia twitter, Facebook, Instagram, Tiktok na kwingineko kote unaona namna Watanzania wanavyotoa maoni bila kupepesa macho kuunga mkono misimamo ya Chadema. Hili linawafanya CCM wawehuke sana.

Kinachonisikitisha ni kwamba, CCM baada ya kuogopeshwa na Chadema na kuchanganyikiwa, wanazidi kutumia hela za watanzania kufanya mambo ya ajabu badala ya kuziridisha hizo fedha Serikalini zikaboreshe barabara mbaya zinazowaathiri Watanzania kila siku.

Kinachonisikitisha ni suala kwamba badala ya CCM kujikita kutumia fedha za Watanzania kwa maendeleo yao ikowemo kuboresha madarasa yaliyochakaa wanayosoma watoto wa kitanzania masikini pamoja na mfumo wa elimu wanatumia fedha hizo kuwahonga mapandikizi waliyonayo huko Chadema kujaribu kuleta mtafaruko Chadema ili kuwakatisha tamaa Watanzania.

Makundi ya G55, Covid 19, Vyombo vya habari kuandika propaganda mfu dhidi ya Chadema na hawa wajinga waliofungua Kesi Mahakama Kuu eti kudai shughuli za Chadema zisitishwe kwa sababu chama kimeitenga Zanzibar ni ushahidi wa uhakika namna CCM wamechanganyikiwa na wanatumia fedha za Watanzania kwa shughuli za kipumbavu za kutengeneza mapandikizi Chadema ili yawanusuru Chama chao kutokana na kukataliwa na Watanzania kwa kiwango cha kutisha.

Nawashauri tu CCM. Watanzania wameona Chama Pekee cha Siasa kinachowapigania kweli ili wawe na maendeleo ya Uhakika ni Chadema, hivyo lolote mtakalofanya dhidi ya CHADEMA hamtafanikiwa.

Poleni sana CCM.
J.M Kikwete alikuwa kucheza na wapinzani ,Hawa wa Sasa wanamshauri vibaya Raisi kwa matumbo Yao!
 
Hawa wapuuzi wachumiatumbo wanataka watu wake kimya ili wao waendelee kutafuna rasilimali za taifa bila kuguswa na mtu yeyote.
 
Kama huoni nguvu ya umma inavyowakataa CCM wewe ni tabulalasa namba moja duniani.
Matabulalasa ni wale walikuwa wanavimbisha nyonga ya no uniform, no erection, na wanasema wapo tayari kwa uasi na kumlinda mandela wao feki, halafu wakiwa wamevunja rekodi ya mafuriko(wakiwa maelfu uwanjani) lakin mandela wao feki kachukuliwa kama panya mwizi kati kati yao na akaondoka na hamkufanya chochote...
Matabulalasa ni wale wamekimbia mikutano na kuogopa uasi wamekuja kuwa keyboard master na kuandika ujinga..
MNACHEKESHA SANA.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hii ni hoja dhaifu kabisa hata wajinga hawawazi hivi.
Bali nyie werevu mnawaza kuandamana kwenye keyboard na kuandika free nanihii, free nanihii..
Nyie werevu mnashikiwa akili na maria sarung asiye mwanachama yupo nje..
Hv hao wote mnaowaita mandela feki kuna ambaye familia yake ipo tanzania ili tuasi nao na wote tufie kwenye nchi yetu?
Mandela wenu feki hata dreva wake tu hajarud tz!
Mwiba magar wenu, mke wake na watoto wake wapo canada
Yule mjaluo na yeye familia yake wote wapo canada..
Nyie wenyewe mnashtakiana {YAANI HAMUAMINIANI}

MNATAKA TUASI NA NANI?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu.

Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa kuwa Chama cha Kweli cha Siasa ambacho kipo kwa ajili ya kuwapigania kweli ili kuwapatia maisha bora na maendeleo ya kweli ni Chadema.

Support kubwa wanayozidi kuipata Chadema kila siku kutoka kwa Watanzania kwa kutosaini Kanuni za Uchaguzi pamoja na kutaka Mabadiliko ya Katiba na Sheria za Uchaguzi ili kuwe na Uchaguzi Huru na wa Haki kusema kweli inawatesa sana CCM. Inawanyima usingizi hakika.

Sasaivi ukipita mitaani, ukipita kwenye vijiwe vya kahawa, vijiwe cha wacheza pool table, mitandanoni kuanzia twitter, Facebook, Instagram, Tiktok na kwingineko kote unaona namna Watanzania wanavyotoa maoni bila kupepesa macho kuunga mkono misimamo ya Chadema. Hili linawafanya CCM wawehuke sana.

Kinachonisikitisha ni kwamba, CCM baada ya kuogopeshwa na Chadema na kuchanganyikiwa, wanazidi kutumia hela za watanzania kufanya mambo ya ajabu badala ya kuziridisha hizo fedha Serikalini zikaboreshe barabara mbaya zinazowaathiri Watanzania kila siku.

Kinachonisikitisha ni suala kwamba badala ya CCM kujikita kutumia fedha za Watanzania kwa maendeleo yao ikowemo kuboresha madarasa yaliyochakaa wanayosoma watoto wa kitanzania masikini pamoja na mfumo wa elimu wanatumia fedha hizo kuwahonga mapandikizi waliyonayo huko Chadema kujaribu kuleta mtafaruko Chadema ili kuwakatisha tamaa Watanzania.

Makundi ya G55, Covid 19, Vyombo vya habari kuandika propaganda mfu dhidi ya Chadema na hawa wajinga waliofungua Kesi Mahakama Kuu eti kudai shughuli za Chadema zisitishwe kwa sababu chama kimeitenga Zanzibar ni ushahidi wa uhakika namna CCM wamechanganyikiwa na wanatumia fedha za Watanzania kwa shughuli za kipumbavu za kutengeneza mapandikizi Chadema ili yawanusuru Chama chao kutokana na kukataliwa na Watanzania kwa kiwango cha kutisha.

Nawashauri tu CCM. Watanzania wameona Chama Pekee cha Siasa kinachowapigania kweli ili wawe na maendeleo ya Uhakika ni Chadema, hivyo lolote mtakalofanya dhidi ya CHADEMA hamtafanikiwa.

Poleni sana CCM.
Hapo umekufuru!
CCM wanaiogopa chadema kuliko wanavyomuogopa Mungu?
Unavyoona wewe chadema ni kubwa kuliko Mungu hadi waiogope kiasi hicho?
 
Bali nyie werevu mnawaza kuandamana kwenye keyboard na kuandika free nanihii, free nanihii..
Nyie werevu mnashikiwa akili na maria sarung asiye mwanachama yupo nje..
Hv hao wote mnaowaita mandela feki kuna ambaye familia yake ipo tanzania ili tuasi nao na wote tufie kwenye nchi yetu?
Mandela wenu feki hata dreva wake tu hajarud tz!
Mwiba magar wenu, mke wake na watoto wake wapo canada
Yule mjaluo na yeye familia yake wote wapo canada..
Nyie wenyewe mnashtakiana {YAANI HAMUAMINIANI}

MNATAKA TUASI NA NANI?
Hii ni hoja dhaifu ambayo hata wapumbavu hawawezi kuwaza hivi!
 
Fedha zao ?!!!!!; Kweli inadhihirisha hata vita tunavyopambana kama wenye nchi hatuelewi...; Na mpaka hapo hizi Sarakasi na maigizo yataendelea kula kwa mwananchi ambaye ni Kodi zake ndio zinatumika kama ruzuku kwenye haya maigizo yasiyo na tija...

CCM wako bize na maigizo na punguani wanashangilia kama vile wamefunguliwa lango la mbinguni waingie!!
 
NYIE WEREVU MNAWAZA NINI?
MNA NINI JIPYA NDANI YA ARDHI YA TANZANIA?
Watu wenye akili timamu wanasikitikia nchi yao Tanzania jinsi inavyoibiwa.

Hapa tunabishana tayari malori Kwa mamia yapo barabarani yanasafirisha makaa ya mawe bila sisi kujua nani mteja na nani muuzaji.

No Reforms No Election!
 
CCM wako bize na maigizo na punguani wanashangilia kama vile wamefunguliwa lango la mbinguni waingie!!
Takes two to Tango....

Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu.

Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa kuwa Chama cha Kweli cha Siasa ambacho kipo kwa ajili ya kuwapigania kweli ili kuwapatia maisha bora na maendeleo ya kweli ni Chadema.

Support kubwa wanayozidi kuipata Chadema kila siku kutoka kwa Watanzania kwa kutosaini Kanuni za Uchaguzi pamoja na kutaka Mabadiliko ya Katiba na Sheria za Uchaguzi ili kuwe na Uchaguzi Huru na wa Haki kusema kweli inawatesa sana CCM. Inawanyima usingizi hakika.

Sasaivi ukipita mitaani, ukipita kwenye vijiwe vya kahawa, vijiwe cha wacheza pool table, mitandanoni kuanzia twitter, Facebook, Instagram, Tiktok na kwingineko kote unaona namna Watanzania wanavyotoa maoni bila kupepesa macho kuunga mkono misimamo ya Chadema. Hili linawafanya CCM wawehuke sana.

Kinachonisikitisha ni kwamba, CCM baada ya kuogopeshwa na Chadema na kuchanganyikiwa, wanazidi kutumia hela za watanzania kufanya mambo ya ajabu badala ya kuziridisha hizo fedha Serikalini zikaboreshe barabara mbaya zinazowaathiri Watanzania kila siku.

Kinachonisikitisha ni suala kwamba badala ya CCM kujikita kutumia fedha za Watanzania kwa maendeleo yao ikowemo kuboresha madarasa yaliyochakaa wanayosoma watoto wa kitanzania masikini pamoja na mfumo wa elimu wanatumia fedha hizo kuwahonga mapandikizi waliyonayo huko Chadema kujaribu kuleta mtafaruko Chadema ili kuwakatisha tamaa Watanzania.

Makundi ya G55, Covid 19, Vyombo vya habari kuandika propaganda mfu dhidi ya Chadema na hawa wajinga waliofungua Kesi Mahakama Kuu eti kudai shughuli za Chadema zisitishwe kwa sababu chama kimeitenga Zanzibar ni ushahidi wa uhakika namna CCM wamechanganyikiwa na wanatumia fedha za Watanzania kwa shughuli za kipumbavu za kutengeneza mapandikizi Chadema ili yawanusuru Chama chao kutokana na kukataliwa na Watanzania kwa kiwango cha kutisha.

Nawashauri tu CCM. Watanzania wameona Chama Pekee cha Siasa kinachowapigania kweli ili wawe na maendeleo ya Uhakika ni Chadema, hivyo lolote mtakalofanya dhidi ya CHADEMA hamtafanikiwa.

Poleni sana CCM.
Nimecheka mno eti Mzanzibar anayeitwa Maulida Komu ndio mdhamini toka Zanzibar aliyefungua kesi ya kusitisha shughuli za cdm. Fuatilia kwenye simu yake huyo mdhamini anawasiliana zaidi na Mbowe!
 
Hii ni hoja dhaifu ambayo hata wapumbavu hawawezi kuwaza hivi!
Nyie mna hoja gani ambayo werevu wanaweza kuwaza?
Huwezi kuniamby eti zuia uchaguz mara andamana wakati sioni hata mwanao au mkeo au nduguyo akiandamana.. Kufanya hvo ni upumbavu zaidi ya huo unaouita upumbavu
Mnatumia wananchi kama ngao ili mchote hela za mabepari mnadhani wote wanafkria kutumia matko kama nyie..
 
CHADEMA si Chama serious tena, hakiinyimi usingizi CCM na vile hakitashiriki uchaguzi mkuu, kutokana na ujinga wa Messiah wenu Tundu AL. Mzee Mbowe angewafikisha mbali kidogo, lakini ndyo hivyo mmemkataa, chama kimeanza cannibalism ya kujimaliza wenyewe, G55 etc
Angewafikisha cdm mbali vipi wakati kilikuwa chama cha wachaga na wakristo? Au mmesahau mapema hivi propaganda zile? Safari hii mtakula mlipopeleka mboga. Ni hivi, NRNE.
 
Huo umma si muingie Gerezani mmmtoe Lissu kwa nguvu au?

Umma unajificha huku na majina feki pumbavu
Basi wanachukua nchi, anaapishwa His Exellence Tundu Antipasi Lissu, 7th Present of URT, illusion ni mbaya sana😀
 
Back
Top Bottom