PreGE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Tunaelewa Mmechanganyikiwa na Chadema, Ila tumieni fedha zenu kwa akili

PreGE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Tunaelewa Mmechanganyikiwa na Chadema, Ila tumieni fedha zenu kwa akili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huwezi kuniamby eti zuia uchaguz mara andamana wakati sioni hata mwanao au mkeo au nduguyo akiandamana..
Ngoja nikuulize swali. Askari waliomkamata Lissu ni nani pale ni mtoto, mume au ndugu wa Samia?

Huko gerezani Lissu anaposhikiliwa, nani ni ndugu wa Tulia Ackson au Majaliwa?

Wale Maaskari wanaowatandika virungu CHADEMA ni ndugu wa kiongozi gani wa CCM?
 
CHADEMA si Chama serious tena, hakiinyimi usingizi CCM na vile hakitashiriki uchaguzi mkuu, kutokana na ujinga wa Messiah wenu Tundu AL. Mzee Mbowe angewafikisha mbali kidogo, lakini ndyo hivyo mmemkataa, chama kimeanza cannibalism ya kujimaliza wenyewe, G55 etc



We leta porojo weeeeeee.
Ila kwenye uchaguzi msipo leta wagombea tunawazika .....

Shubaaaa miti.
Politics Sio kizila zila.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu.

Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa kuwa Chama cha Kweli cha Siasa ambacho kipo kwa ajili ya kuwapigania kweli ili kuwapatia maisha bora na maendeleo ya kweli ni Chadema.

Support kubwa wanayozidi kuipata Chadema kila siku kutoka kwa Watanzania kwa kutosaini Kanuni za Uchaguzi pamoja na kutaka Mabadiliko ya Katiba na Sheria za Uchaguzi ili kuwe na Uchaguzi Huru na wa Haki kusema kweli inawatesa sana CCM. Inawanyima usingizi hakika.

Sasaivi ukipita mitaani, ukipita kwenye vijiwe vya kahawa, vijiwe cha wacheza pool table, mitandanoni kuanzia twitter, Facebook, Instagram, Tiktok na kwingineko kote unaona namna Watanzania wanavyotoa maoni bila kupepesa macho kuunga mkono misimamo ya Chadema. Hili linawafanya CCM wawehuke sana.

Kinachonisikitisha ni kwamba, CCM baada ya kuogopeshwa na Chadema na kuchanganyikiwa, wanazidi kutumia hela za watanzania kufanya mambo ya ajabu badala ya kuziridisha hizo fedha Serikalini zikaboreshe barabara mbaya zinazowaathiri Watanzania kila siku.

Kinachonisikitisha ni suala kwamba badala ya CCM kujikita kutumia fedha za Watanzania kwa maendeleo yao ikowemo kuboresha madarasa yaliyochakaa wanayosoma watoto wa kitanzania masikini pamoja na mfumo wa elimu wanatumia fedha hizo kuwahonga mapandikizi waliyonayo huko Chadema kujaribu kuleta mtafaruko Chadema ili kuwakatisha tamaa Watanzania.

Makundi ya G55, Covid 19, Vyombo vya habari kuandika propaganda mfu dhidi ya Chadema na hawa wajinga waliofungua Kesi Mahakama Kuu eti kudai shughuli za Chadema zisitishwe kwa sababu chama kimeitenga Zanzibar ni ushahidi wa uhakika namna CCM wamechanganyikiwa na wanatumia fedha za Watanzania kwa shughuli za kipumbavu za kutengeneza mapandikizi Chadema ili yawanusuru Chama chao kutokana na kukataliwa na Watanzania kwa kiwango cha kutisha.

Nawashauri tu CCM. Watanzania wameona Chama Pekee cha Siasa kinachowapigania kweli ili wawe na maendeleo ya Uhakika ni Chadema, hivyo lolote mtakalofanya dhidi ya CHADEMA hamtafanikiwa.

Poleni sana CCM.
waliompiga Risasi Lissu Mpaka Leo Hawajamtaja...Kesi ikisemwa iko chini ya Uchunguzi kwa miaka Fahamu Ya Kwamba Kesi hio inahusisha Serikali na Police
Angekuwa Sio mkweli wasingejaribu kuondoa maisha Yake na Kumueka Rumande Hovyoo
 
Kwa nini tufanye hayo? Ili mumuue Lissu?

Nyie nyakati yenu imeshafika. Wakati sahihi ukifika mtajionea tu.
Maskini hujui hata unaandika nini.Sentensi mbili zako zinapingana moja nyakati zimeshafika.Nyingine wakati sahihi ukifika.Which is which?
Wisdom is chasing you but are always faster.
Endelea kuota.
 
CHADEMA si Chama serious tena, hakiinyimi usingizi CCM na vile hakitashiriki uchaguzi mkuu, kutokana na ujinga wa Messiah wenu Tundu AL. Mzee Mbowe angewafikisha mbali kidogo, lakini ndyo hivyo mmemkataa, chama kimeanza cannibalism ya kujimaliza wenyewe, G55 etc
HAHAH serekali yako ilijarbu kuondoa maisha ya Lissu ukitaka kufahamu Kama ni serekal alihusika na polis uliza Hivi Je uchunguzi unafanyika hadi Leo?? Kama jibu Ndio Pigia Mstari. 🤣MNAMUOGOPA KAMANDA....Badilishine Reform kama MTAEZA KUIBA KURA TENA KAMA HAWAOGOPII🤣🤣COWARDS COWARDS COWARDS....
 
Maskini hujui hata unaandika nini.Sentensi mbili zako zinapingana moja nyakati zimeshafika.Nyingine wakati sahihi ukifika.Which is which?
Wisdom is chasing you but are always faster.
Endelea kuota.
Wakati na nyakati ni mambo mawili tofauti. Lord denning yupo sahihi!

Sisi LY tuandikie Kwa kiswahili hicho kiingereza hatukijui!
 
Maskini hujui hata unaandika nini.Sentensi mbili zako zinapingana moja nyakati zimeshafika.Nyingine wakati sahihi ukifika.Which is which?
Wisdom is chasing you but are always faster.
Endelea kuota.
Fwatilia Historia ya Watu wote waliotoa Speech kwa wananchi kuhusu serekali tawala They Got Shot,They Got Jailed There's nothing different here
Your Government is Fkd up and Mostly They Are Cowards Hundred Percent Badilishine Reform Kama You Can Go Mano O Mano with the opposition Party ?
COWARDS kukimbilia kupiga watu risasi kuteka na kueka Rumande 🤣🤣🤣 Pussy Movement Cowards Lifestyle MNAMFANYA LISSU KUWA KAMANDA ZAIDI NA ZAIDI
 
Nimecheka mno eti Mzanzibar anayeitwa Maulida Komu ndio mdhamini toka Zanzibar aliyefungua kesi ya kusitisha shughuli za cdm. Fuatilia kwenye simu yake huyo mdhamini anawasiliana zaidi na Mbowe!
Kwa hiyo akiwasiliana na Mbowe inamyima haki ya kuwa mwanachadema?Roho za visasi ndio tatizo lenu kubwa.Mbowe mnamuona kama adui.
 
Kwa hiyo akiwasiliana na Mbowe inamyima haki ya kuwa mwanachadema?Roho za visasi ndio tatizo lenu kubwa.Mbowe mnamuona kama adui.
Haonekani kama adui, akubali tu ameshindwa kihalali. Hizo pesa alizokuwa anapewa na ccm kuonyesha kuna demokrasia mfu zitamtokea puani. Pesa za mwisho kula ni zile alizowaingiza covid19 bungeni kwa mlango wa uani, ni zile za juzi alizopewa ili amshinde Lisu. Hii kutaka shughuli za chama kusimama kwa wahuni toka Zanzibar anachemka.
 
Keyboard warriors kwenye mitandao ndio nyumbani kwenu.Na hoja za matusi.Tokea muwe chama cha upinzani mmeshawahi kuweka hata bajeti mbadala na kuelezea mapato na matumuzi ya hiyo bajeti?Vyama serious vinaleta sera mbadala.Nyie ni wanaharakati wa kukosoa tu.Na kukosoa hakuhitaji akili kwani huzungumzii solutions.
 
Keyboard warriors kwenye mitandao nduo nyumbani kwenu.Na hoja za matusi.Tokea muwe chama cha upinzani mmeshawahi kuweka hata bajeti mbadala na kuelezea mapato na matumuzi ya hiyo bajeti?Vyama serious vinaleta sera mbadala.Nyie ni wanaharakati wa kukosoa tu.Na kukosoa hakuhitaji akili kwani huzungumzii solutions.
Inaonesha hufuatilii hoja za CHADEMA ama hujawahi kujua CHADEMA hufanyaje kazi zake!

Halafu hizo hoja mbadala maana yake ni nini? Kuwa zilizopo toka CCM hazifai?
 
Watu wenye akili timamu wanasikitikia nchi yao Tanzania jinsi inavyoibiwa.

Hapa tunabishana tayari malori Kwa mamia yapo barabarani yanasafirisha makaa ya mawe bila sisi kujua nani mteja na nani muuzaji.

No Reforms No Election!
Kama nyie si wezi mbona mnadhulumiana bara na visiwani hadi mnapelekana mahakamani?
Hapo n chama tu, je mkipewa nchi kuna kitakachosalimika?
 
Back
Top Bottom