Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Sasa mbona wamemsweka ndani huyo mungu wenu wanayemwogopa kuliko Mungu?Chadema sio kubwa kuliko Mungu ila huo ndio ukweli kuwa CCM wanaiogopa CHADEMA kuliko wanavyomwogopa Mungu.
Sasa mbona wamemsweka ndani huyo mungu wenu wanayemwogopa kuliko Mungu?Chadema sio kubwa kuliko Mungu ila huo ndio ukweli kuwa CCM wanaiogopa CHADEMA kuliko wanavyomwogopa Mungu.
😅😅😅Sasaivi ukipita mitaani, ukipita kwenye vijiwe vya kahawa, vijiwe cha wacheza pool table, mitandanoni kuanzia twitter, Facebook, Instagram, Tiktok na kwingineko kote unaona namna Watanzania wanavyotoa maoni bila kupepesa macho kuunga mkono misimamo ya Chadema. Hili linawafanya CCM wawehuke sana.
Hii Kesi ni Mpango wa Mungu.Watanzania sasa tumeamka soon tutajua mbivu na mbichi
Itakuwa ni mungu wa Palestine huyu😅😅😅Sasa mbona wamemsweka ndani huyo mungu wenu wanayemwogopa kuliko Mungu?
Lissu sio Mungu wa Chadema.Sasa mbona wamemsweka ndani huyo mungu wenu wanayemwogopa kuliko Mungu?
Mimi mwenyewe ni CCM ila nimepingana na ufedhuli wa CCM.Unapozungumzia wananchi unakua umefanya utafiti gani?.Uko ccm kuna wafuasi kibao nawao ni wananchi.Hoja zakuhusisha wananchi wote uku huna idadi yoyote inayounga mkono hoja yako inakua haina maana kwasababu inawezekana ni kundi dogo sana la watu ndilo unatuaminisha ni wananchi wote.Usitumie wingi au hisia pale unapotaka kuelezea hisia zako.
Sijasema Lissu ni Mungu, nimesema ni mungu.Lissu sio Mungu wa Chadema.
Hata hivyo kumsweka ndani ni kielelezo kuwa hawamwogopi Mungu wa Mbinguni maana Lissu kawekwa ndani kwa hila zao na mashtaka ya Uongo.
Mungu wa mbinguni anakataa hila, uonevu na uongo.
nyie ndyo MMEJIKATAA wenyewe (suicide), ni chama pekee ambacho hamtashiriki uchaguzi,BYEBYE mmetupwa ktk shimo la TEWA😀Poleni sana. Kubalini tu Watanzania wamewakataa
Mtashiriki kushindana ccm kwa ccm😅😅nyie ndyo MMEJIKATAA wenyewe (suicide), ni chama pekee ambacho hamtashiriki uchaguzi,BYEBYE mmetupwa ktk shimo la TEWA😀
tapatapa ya kukata roho, BYEBYE CDM, this time uchaguzi utakuwa umepowa, no violence

Kwa Chadema hana hiyo hadhi.Sijasema Lissu ni Mungu, nimesema ni mungu.
CCMWale wachimba makaa ya mawe?
kuna vyama vyoote 18 kasoro CDM, so what is special about CDM, nothing and you are as GOOD AS DEADMtashiriki kushindana ccm kwa ccm😅😅
Wanachoweza ni kuvunja watu miguu
SureSasa hivi ndiyo CCM inapumua baada ya CDM kukataa kusaini Sheria fake za Maadili.
Uko sawa.. hivi Lissu angesimama mwenyewe Bila Chama akikosoa CCM ungemuelewa anachoongea?hamfai hata kidogo, malizeni tofauti zenu kwanza
njagu ni wetu na serikali yetu ndyo imewaajiri, hadi hiyo inakoma mpaka chama kingine kishinde, and THE END JUSTIFIES THE MEANSMpaka mmekimbilia njagu wawasaidie