PreGE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Tunaelewa Mmechanganyikiwa na Chadema, Ila tumieni fedha zenu kwa akili

PreGE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Tunaelewa Mmechanganyikiwa na Chadema, Ila tumieni fedha zenu kwa akili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..a defunct CDM is due to internal strife, kimezalisha G55 et al, wachawi wako ndani yenu wala siyo CCM, kamanda mlemavu na mdumavu wa siasa TAL is never a threat to the GOLIATH, mmempoteza jembe Mzee Mbowe, chama kimesha kufa
unaeza ukawa uko Sawa, Then lets say Lissu anaongeaga Ukweli Hata kama Chama chake Kinazingua Sindio??
 
Uko sawa.. hivi Lissu angesimama mwenyewe Bila Chama akikosoa CCM ungemuelewa anachoongea?
au ungesema anataka chama pinzani kishike madaraka? Tuseme Lissu Hana Chama Anachoongea Lissu Kinauongo Ndani Yake?? niambie speech yake Lissu Yenye Uongo ndani yake? ukiita Ukweli uchochezi basi inamaanisha unaogopa Ukweli Utawapa ufahamu wengi na utakosa nguvu suluisho nikumficha anaetoa maneno ya kweli.!! kama unapinga niambie toka alivyo pigwa risas mpaka alipoekwa rumande Aliongea Uongo Upi?
🤪KUMBE HAUMJUI LISSU
 
..a defunct CDM is due to internal strife, kimezalisha G55 et al, wachawi wako ndani yenu wala siyo CCM, kamanda mlemavu na mdumavu wa siasa TAL is never a threat to the GOLIATH, mmempoteza jembe Mzee Mbowe, chama kimesha kufa
Mbowe anaeza akawa Ni Jembe Ila Niambie Wewe Apo kwa Mawazo Yako.... Are Election Real Like Do they count the Votes If Sooo Silah Angekuwaga Madarakani
 
njagu ni wetu na serikali yetu ndyo imewaajiri, hadi hiyo inakoma mpaka chama kingine kishinde, and THE END JUSTIFIES THE MEANS
Manjagu siyo mali ya CCM hivyo kuwatumia dhidi ya raia watakaokwenda kusikiliza kesi ni kinyume Cha Sheria.

Unajua ni kwa nini "crown" yao imeandikwa "usalama wa raia"?
 
Mbowe anaeza akawa Ni Jembe Ila Niambie Wewe Apo kwa Mawazo Yako.... Are Election Real Like Do they count the Votes If Sooo Silah Angekuwaga Madarakani
Balozi Silaa hajawahi lalamika hivyo, hizo ni illusion zako tu
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
..haeleweki tu, hana logic nashangaa lawyer gani anauwezo mdogo hivyo, hajui kujenga hoja , ila ni activist mzuri sana
anazo risas mbili mwilini na Amepigwa nchini Kwake Na Watu wasio julikana🤣 na bado yuko nchini hapa Anaipenda Nchi yake sana japo anajua sisi Ni kina Yuda...Ila kama anae mke amshauri atoke hii nchii maana raia wenyewe Yuda Serekali Yuda.. Mbaya Ni Mbaya Tuu Hapa Kwetu...
 
Balizi Silah hajawahi lalamika hivyo, hizo ni illusion zako tu
hahaha kwani sialienda kula Maisha Mbali sana...Ulimsikia Tenaa🤣 au alikua balozi wa wapi Tena? Lissu Hataki Ela Anataka Reform ifanyike bila hivyoo Mnyongeni maana Hatutaacha Kuongea Kuhusiana na Reform🤣
 
..haeleweki tu, hana logic nashangaa lawyer gani anauwezo mdogo hivyo, hajui kujenga hoja , ila ni activist mzuri sana
mimi na wewe nani anazo illusion sasa Sio lazima uchorewe picha ndo ujue kweli.... Kufikiria ni Bure au Hatuna Uhuru wakufikriaa Na Ukauona Ukweli??🤣🤣
 
Back
Top Bottom