PreGE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Tunaelewa Mmechanganyikiwa na Chadema, Ila tumieni fedha zenu kwa akili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
HAHAH serekali yako ilijarbu kuondoa maisha ya Lissu ukitaka kufahamu Kama ni serekal alihusika na polis uliza Hivi Je uchunguzi unafanyika hadi Leo?? Kama jibu Ndio Pigia Mstari. 🤣MNAMUOGOPA KAMANDA....Badilishine Reform kama MTAEZA KUIBA KURA TENA KAMA HAWAOGOPII🤣🤣COWARDS COWARDS COWARDS....
..a defunct CDM is due to internal strife, kimezalisha G55 et al, wachawi wako ndani yenu wala siyo CCM, kamanda mlemavu na mdumavu wa siasa TAL is never a threat to the GOLIATH, mmempoteza jembe Mzee Mbowe, chama kimesha kufa
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Fwatilia Historia ya Watu wote waliotoa Speech kwa wananchi kuhusu serekali tawala They Got Shot,They Got Jailed There's nothing different here
Your Government is Fkd up and Mostly They Are Cowards Hundred Percent Badilishine Reform Kama You Can Go Mano O Mano with the opposition Party ?
COWARDS kukimbilia kupiga watu risasi kuteka na kueka Rumande 🤣🤣🤣 Pussy Movement Cowards Lifestyle MNAMFANYA LISSU KUWA KAMANDA ZAIDI NA ZAIDI
hamfai hata kidogo, malizeni tofauti zenu kwanza
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
..a defunct CDM is due to internal strife, kimezalisha G55 et al, wachawi wako ndani yenu wala siyo CCM, kamanda mlemavu na mdumavu wa siasa TAL is never a threat to the GOLIATH, mmempoteza jembe Mzee Mbowe, chama kimesha kufa
TENA KIMEKUFA NATURAL DEATH..
 
Kama nyie si wezi mbona mnadhulumiana bara na visiwani hadi mnapelekana mahakamani?
Hapo n chama tu, je mkipewa nchi kuna kitakachosalimika?
Shirika la ndege ATCL lina ndege haijaruka Kwa zaidi ya miaka saba Sasa,ingawa ilinunuliwa Kwa zaidi ya shilingi bilioni 20. Na kampuni ya ATCL imepata hasara ya bilioni zaidi ya 300.

No reforms No Election!
 
Inaonesha hufuatilii hoja za CHADEMA ama hujawahi kujua CHADEMA hufanyaje kazi zake!

Halafu hizo hoja mbadala maana yake ni nini? Kuwa zilizopo toka CCM hazifai?
Nashangaa hujui hata hoja mbadala ni nini?Kama chama cha upinzani ni lazima uwe na sera mbadala za kuaaminisha wananchi kwamba ndio chama sahihi.Huwezi kuwa na chama kazi yake kukosoa bila kuuelezea mkichaguliwa mtafanya nini?
Sera ya uchumi ya Chadema unaijua?Sera ya mambo ya Nchi za Nje?Mwanzoni mlikuwa na sera ya majimbo mwisho umeisikia lini?Siku hizi mmekuwa genge la wanaharakati wa matukio.
 
Nashangaa hujui hata hoja mbadala ni nini?Kama chama cha upinzani ni lazima uwe na sera mbadala za kuaaminisha wananchi kwamba ndio chama sahihi.
CHADEMA sera zake ni za kibepari unasemaje kuwa siyo sera mbadala kwa CCM inayofuata sera za ujamaa uchwara?

Nimesema hufuatilii mambo ya CHADEMA kwa kuwa Kila wakati huwa tunatoa mawazo mbadala.

Heche anapozungumzia makaa ya mawe unaona mawazo yake yanafanana na ya Mzee Wassira? Au huo mbadala unataka kuuona wapi?
 
Hapo umekufuru!
CCM wanaiogopa chadema kuliko wanavyomuogopa Mungu?
Unavyoona wewe chadema ni kubwa kuliko Mungu hadi waiogope kiasi hicho?
Chadema sio kubwa kuliko Mungu ila huo ndio ukweli kuwa CCM wanaiogopa CHADEMA kuliko wanavyomwogopa Mungu.
 
Nashangaa hujui hata hoja mbadala ni nini?Kama chama cha upinzani ni lazima uwe na sera mbadala za kuaaminisha wananchi kwamba ndio chama sahihi.Huwezi kuwa na chama kazi yake kukosoa bila kuuelezea mkichaguliwa mtafanya nini?
Sera ya uchumi ya Chadema unaijua?Sera ya mambo ya Nchi za Nje?Mwanzoni mlikuwa na sera ya majimbo mwisho umeisikia lini?Siku hizi mmekuwa genge la wanaharakati wa matukio.
Kama Chadema kazi yake ni kukosoa sio kuweka sera mbadala kwa nini mnakiogopa na kuchanganyikiwa kiasi hicho nacho?
 
..a defunct CDM is due to internal strife, kimezalisha G55 et al, wachawi wako ndani yenu wala siyo CCM, kamanda mlemavu na mdumavu wa siasa TAL is never a threat to the GOLIATH, mmempoteza jembe Mzee Mbowe, chama kimesha kufa
Usipoangalia utachanganyikiwa kabisa. Kubalini tu kuwa hela yenu mliyompa Mbowe imeenda bure na mission yenu ya kuliweka pandikizi lenu madarakani ilifeli.

Saivi Chadema chini ya Lissu imeshaingia mioyoni mwa watanzania. Vyovyote vile mnavyofanya hamtafanikiwa.
 
Shirika la ndege ATCL lina ndege haijaruka Kwa zaidi ya miaka saba Sasa,ingawa ilinunuliwa Kwa zaidi ya shilingi bilioni 20. Na kampuni ya ATCL imepata hasara ya bilioni zaidi ya 300.

No reforms No Election!
Uliwahi kusoma taarifa na mwenendo wa matumizi wa fedha za cdm hapo makao makuu?
Tafuta uzisome halafu uje tena kukoment hapa
 
CHADEMA sera zake ni za kibepari unasemaje kuwa siyo sera mbadala kwa CCM inayofuata sera za ujamaa uchwara?

Nimesema hufuatilii mambo ya CHADEMA kwa kuwa Kila wakati huwa tunatoa mawazo mbadala.

Heche anapozungumzia makaa ya mawe unaona mawazo yake yanafanana na ya Mzee Wassira? Au huo mbadala unataka kuuona wapi?
Achana naye tabulalasa la Lumumba hilo.

Yamekaririshwa mambo ya kuja kuongea humu ili mkono uende kinywani. Yanakupotezea muda tu hayo.
 
CHADEMA sera zake ni za kibepari unasemaje kuwa siyo sera mbadala kwa CCM inayofuata sera za ujamaa uchwara?

Nimesema hufuatilii mambo ya CHADEMA kwa kuwa Kila wakati huwa tunatoa mawazo mbadala.

Heche anapozungumzia makaa ya mawe unaona mawazo yake yanafanana na ya Mzee Wassira? Au huo mbadala unataka kuuona wapi?
Anapozungumzia makaa ya mawe hoja yake mbadala ni nini?Chadema mnapinga uwekezaji?Sera yenu kuhusu uwekezaji ni nini?Kusema tu ubepari ndio sera yenu ni very vague. Mnaamini kwenye free economy?Mixed economy ?
 
Kama Chadema kazi yake ni kukosoa sio kuweka sera mbadala kwa nini mnakiogopa na kuchanganyikiwa kiasi hicho nacho?
Chadema kinaogopewa?Ni wishful thinking.Kiogopwe chama ambacho hata hakina wanachama milioni 1?You are kidding. Hakina ofisi za matawi Nchi nzima.Hakiwezi kuweka wawakilishi Nchi nzima.Wacha kujipa sifa za Mlima wakati hufai hata kuitwa kichuguu.
 
CHADEMA si Chama serious tena, hakiinyimi usingizi CCM na vile hakitashiriki uchaguzi mkuu, kutokana na ujinga wa Messiah wenu Tundu AL. Mzee Mbowe angewafikisha mbali kidogo, lakini ndyo hivyo mmemkataa, chama kimeanza cannibalism ya kujimaliza wenyewe, G55 etc
Sio muda mrefu mlimpachika Mbowe ugaidi mkasema anastahili kunyongwa/kufungwa maisha. Kwenye uchaguzi wa Chadema mlipoona ujio wa Tundu Lissu, mkawa mnampigia Mbowe kampeni ashinde, kwa kuhofia moto wa Lissu. ccm ndio laana kubwa zaidi kwa taifa hili. NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Chadema kinaogopewa?Ni wishful thinking.Kiogopwe chama ambacho hata hakina wanachama milioni 1?You are kidding. Hakina ofisi za matawi Nchi nzima.Hakiwezi kuweka wawakilishi Nchi nzima.Wacha kujipa sifa za Mlima wakati hufai hata kuitwa kichuguu.
Hahahahaha

Kama hakiogopewi kulikuwa na haja gani ya kumpa Mbowe Bil 12 ili Lissu asiwe Mwenyekiti?

Kulikuwa na haja gani ya kuihusisha TISS (Siasa) kuandaa watu Zanzibar na G55 kuleta chokochoko ionekane CHADEMA imeparaganyika.

Tulia mtoto mdogo. Tunajua zaidi ya sana yanayoendelea. Usione tunakurupuka kuongea humu.
 
CHADEMA si Chama serious tena, hakiinyimi usingizi CCM na vile hakitashiriki uchaguzi mkuu, kutokana na ujinga wa Messiah wenu Tundu AL. Mzee Mbowe angewafikisha mbali kidogo, lakini ndyo hivyo mmemkataa, chama kimeanza cannibalism ya kujimaliza wenyewe, G55 etc
Mpaka mmekimbilia njagu wawasaidie
 
Kwa nini upoteze muda kuhangaika na Mamluki wakati wananchi wameshamjua ni mamluki na wameamua kumpuuza?

Wewe umeona kuna sehemu wananchi hata wanawaunga mkono zaidi ya kuwatukana na kuwalaani?
Unapozungumzia wananchi unakua umefanya utafiti gani?.Uko ccm kuna wafuasi kibao nawao ni wananchi.Hoja zakuhusisha wananchi wote uku huna idadi yoyote inayounga mkono hoja yako inakua haina maana kwasababu inawezekana ni kundi dogo sana la watu ndilo unatuaminisha ni wananchi wote.Usitumie wingi au hisia pale unapotaka kuelezea hisia zako.
 
Back
Top Bottom