masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.