Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,559
- 4,255
Watu wanasahau kuwa pumzi inaweza kukata hata wakati unatembea na una afya nzuri tu, Mungu si wa kudhihaki.
Kuingia chini mita 6 ndio pekee imekuwa haina mjanja. Mwezi wa nne nilipomuona Pope Francis amechoka namna ile pamoja na jitihada zote za kuonyesha kila kitu kiko sawa, niliogopa sana.
Na hata aliyezikwa jana, enzi zake zilikuwa moto moto. Ila angalia alivyoingia ndani ya mita sita.
Hii dunia haina mbabe. Tunajilisha upepo wa puto tukisubiri kupasuka