masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Inawezekana, lakini kuweka utani na Neno la Mungu, kwetu ni mwiko.She is a good reader but not a leader
That i agree, likija swala la kulinda maslah yao ccm dont play games at allCCM hawana mzaha kwenye kulinda maslahi yao, wewe ndiye uelewi.
Wako tayari kufanya chochote kiovu kubaki madarakani, na hawatanii.
Aliwahi kusema NapeCCM hawana mzaha kwenye kulinda maslahi yao, wewe ndiye uelewi.
Wako tayari kufanya chochote kiovu kubaki madarakani, na hawatanii.
Wako tayari kuua leo na watatubu kesho.That i agree, likija swala la kulinda maslah yao ccm dont play games at all
Ushahidi wa kimazingira unaonyesha hivyoHilo huna ushahidi nalo, hasira zako tu.
Huo uchaguzi wanaotamani hadi kumwaga damu za wenzao wanaweza wasiuone!CCM hawana mzaha kwenye kulinda maslahi yao, wewe ndiye uelewi.
Wako tayari kufanya chochote kiovu kubaki madarakani, na hawatanii.
Mtu akiingia kwenye siasa na akanogewa na hela hamkumbuki tena Mungu.Tulia ni mlokole wa TAG
Ref Gwaji boyMtu akiingia kwenye siasa na akanogewa na hela hamkumbuki tena Mungu.
Watu wanasahau kuwa pumzi inaweza kukata hata wakati unatembea na una afya nzuri tu, Mungu si wa kudhihaki.Madaraka yana tabia ya kukupa imani kwamba ni mkubwa sana na ni untouchable. Kitu pekee kinatuumbua ni namna tunavyoingia ndani ya meter 6 huko chini
Ulokole sio kujiita au kuitwa ni vitendo. Km vitendo vyake haviendani na ulokole huyo hana tofauti na wapagani wengine.Tulia ni mlokole wa TAG
Huyu atakufa vibaya sana time will tell...Watu wanasahau kuwa pumzi inaweza kukata hata wakati unatembea na una afya nzuri tu, Mungu si wa kudhihaki.