Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,559
- 4,255
Watu wanasahau kuwa pumzi inaweza kukata hata wakati unatembea na una afya nzuri tu, Mungu si wa kudhihaki.
Tulia ni mlokole wa TAG
Sijamsikia akifanya huo mzaha lakini kama ni kweli basi mwenye Neno lake atamjibu. Sisi hayo hayatuhusu. Ni yeye na mwenye Neno lake🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
Mimi sikutegemea Mtu kama yeye anaweza kuongea maneno kama yale.Tulia ni mkristo tena mshika deni vizuri sana na anaujuavatavule mfano watajiri aliye jikusanyia mali akasema sasa moyo wangu ufurahi kumbe kesho anakufa.Mda wotee tunatakiwa tujiandae kwasababu uhai tulio nao tumekopeshwa tu Mwenyewe akiutaka saa yoyote anauchukuaKwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
CCM hawana mzaha kwenye kulinda maslahi yao, wewe ndiye uelewi.
Wako tayari kufanya chochote kiovu kubaki madarakani, na hawatanii.
Kweli mkuu, fanya fujo zote, lakini masuala yanayomhusu Mungu, we acha kabisa.Kuingia chini mita 6 ndio pekee imekuwa haina mjanja. Mwezi wa nne nilipomuona Pope Francis amechoka namna ile pamoja na jitihada zote za kuonyesha kila kitu kiko sawa, niliogopa sana.
Na hata aliyezikwa jana, enzi zake zilikuwa moto moto. Ila angalia alivyoingia ndani ya mita sita.
Hii dunia haina mbabe. Tunajilisha upepo wa puto tukisubiri kupasuka
CAG mwenyewe anasali hapo hapo TAG Upanga CCC 😁😁CAG aende kuligakua vizuri hilo kanisa 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Tena mshauri vizuri sana, ukuu wa duniani si kitu, bali Neno na ufalme wa Mungu wadumu kote duniani na mbinguni.Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
Huyo mama anaelekea kufa maana hajaanza hiyo tabia ya kusema anaogopa kifo, na ana hate death....huyu mama anajiitia mikosi, ajipange sana kwenye ulimwengu wa kiroho.Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
Kwakweli Dr anasikitisha sana. Kumbr vyeo wanavipata kwa namna ile. Mimi naona nitakufa hivi hivi.Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
Kwani kafanyaje?Huyo mama anaelekea kufa maana hajaanza hiyo tabia ya kusema anaogopa kifo, na ana hate death....huyu mama anajiitia mikosi, ajipange sana kwenye ulimwengu wa kiroho.
Wafilipi 1:21Kwakweli Dr anasikitisha sana. Kumbr vyeo wanavipata kwa namna ile. Mimi naona nitakufa hivi hivi.
Kwanza kusimama pale ambapo ningeweza kusema ni madhabahu ni kinyume na utamaduni. Mwanamke hapaswi kusimama madhabahuni. Huyu kafanya kejeli kwa Muumba wake. Ikiwa watu wamekuwa wakipotezwa na kuuawa lakini huyu mwanamke kwa kejeli kabisa anasema hakuna utekaji wala watu kupotezwa, sasa anadhani huo ni ujasiri hata akakejeli neno la Muumba wake. Anyway sisi yetu macho na masikio wengi walisikia na wengi wamenena kuupinga ujasiri wa kijinga wa huyu mwanamke. Tunasubiri majibu ya Mwenyezi Mungu.Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
Tulia kalewa mvunyo wa madaraka, anamkufuru hadi MunguKwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
Alisema nini? Alitania nini? Si wote walipata nafasi ya kusikia kilichosemwa na mtuhumiwa!Inawezekana, lakini kuweka utani na Neno la Mungu, kwetu ni mwiko.
Mungu ni alfa na omega,hadhihakiwi wala kufanyiwa mzaha,kwani kabla ya yote anayafahamu yote.Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Mbele ya kadamnasi, wakati wa mazishi ya mzee Msuya, ndugu yangu Tulia alifanya mzaha, wa kuupiga kijembe ujumbe wa Mungu katika wimbo.
Heri kukaa kimya nakujitafakari.
Kumwogopa Mungu ni mwanzo wa hekima.
Nimeandika huko nyuma, Kuishi ni Kristo, kufa ni faida.Mzaha gani tena wakati anaeleza walielekezwa wasio tayari kuimba ubeti wa kutamani kwenda mbinguni wasiimbe maana kwa mazingira ya pale ni mwamba kifo ndio njia ya kwenda mbinguni na yeye anatamni isitokee kabla ya uchaguzi! Kwangu mimi yeye ndio alionyesha imani haswa. if must die, should be not this time.